Los santos
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 1,167
- 2,591
Barabara ni hovyo aisee ila wenye 4wd wanatapa tuBongo BMW tu mpaka ufisadi wakuu?
Barabara za Dar vipi lakini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barabara ni hovyo aisee ila wenye 4wd wanatapa tuBongo BMW tu mpaka ufisadi wakuu?
Barabara za Dar vipi lakini?
Tutafika tu. Ni muda sasa barabara za Dar zitengenezwe.Barabara ni hovyo aisee ila wenye 4wd wanatapa tu
Utasubiri sanahayo magari hayatumii spare parts ambazo sio orginal
Percentage error kwenye spare zake ni kwenye 0.005 hiyo huwezi foji/chonga
Si kweli unaongea usichojua.NJE wamejazana Siku HIZI wanaenda km KWAO zamani ilikua mpaka Wazamie
Noma sana hilo chuma. Nalionaga mtaan kwetu kuna mtu ana limiliki najisema tu one day yesHata kimuonekano tu European cars acha kabisa. We kaicheki Audi Q5 😎 yaani mnyama fulani hvi
Nadhani ni velar lakini hata sport hivi sasa zinakuwa hivyo.
Utashangaa ushuru wa TRA sasa.Miaka 2 ijayo UK magari yatakuwa rahisi sana kwani wanategemea kupiga marufuku magari ya petrol. Tutakuwa na magari ya 5G ambayo yanatumia umeme tu. Kwa sasa dunia inajiongeza katika kutafuta Betri bora za kudumu muda mrefu na rahisi kupokea charge. Hivyo hayo magari tununue kwa wingi tuje tuyafanyie modification washangae
Kuna hizi sport car ground clearance ni ndogo sana bongo tutabaki kuzisikia.Tutafika tu. Ni muda sasa barabara za Dar zitengenezwe.
Zile hata barabara ikiwa na lami tupu, ukiweka matuta tu yale ya speedbumps umeharibu kabisa.Kuna hizi sport car ground clearance ni ndogo sana bongo tutabaki kuzisikia.
Kweli, ila mkuu nilimsikiliza yule CeO wao, anasema their first priority is for local market,na akasema kuwa purchasing power ya Tanzania ni ndogo mno kuweza kuwa customer base yao,so waka choose Rwanda for a geographical location, kwamba kwanza rwanda inawapa favor kwenye running cost, pia wana market sheet nzuri,so wakiwa hapo wataweza kuiuzia africa bidhaa yao bila beurocracy za kiserikali, hence wakachagua rwanda,nisahihishe nilipokosea mkuu.Mimi nipo US. BMW zinatakiwa kuwapo za kila hali mpaka teksi.
Tatizo watu wakitaka kuleta viwanda Bongo siasa nyingi.
Wajerumani walitaka kuanzisha kiwanda cha kutengeneza Volkswagen Tanzania, za umeme, serikali ikawaletea danadana nyingi za kisiasa. Wakaona huu ujinga.
Wakaenda Rwanda, wakapata ushirikiano mzuri wa serikali, wakaanzisha kiwanda huko.
Rwanda halikuwa chaguo lao la kwanza, walitaka kiwanda kiwe Tanzania, ila Tanzania tunapenda kujizibia fursa tu.
![]()
Rwanda launches the first Volkswagen Electric vehicle in Africa
www.mininfra.gov.rw
Zile hata barabara ikiwa na lami tupu, ukiweka matuta tu yale ya speedbumps umeharibu kabisa.
1.) Umesema gari za ulaya zina ulaji mzuri wa mafuta. Kwamba Audi Q6 ya ulaya, tuseme labda yenye CC 3000, ile mafuta kidogo kuliko Premio ya Japan yenye CC 1450?Hizi zako zote ni hoja mpya ambazo hazishabihianì na hoja yangu. Ukiziweka kama hoja mpya na kuzitolea ufafanuzi tunduizi wa kitaalamu na wenye weledi utakuwa umetisha! Karibu tupate madini mtaalamu
Bakhresa ana ferrari na hizo aston martin plate number A, jamaa ni mweupe..Wewe ndiye uliyesema umeendesha magari yote, sasa sijui kama uliyaendeshea bongo au hollywood.
Hayo matatizo yote chanzo ni bureaucracy ya serikali.Kweli, ila mkuu nilimsikiliza yule CeO wao, anasema their first priority is for local market,na akasema kuwa purchasing power ya Tanzania ni ndogo mno kuweza kuwa customer base yao,so waka choose Rwanda for a geographical location, kwamba kwanza rwanda inawapa favor kwenye running cost, pia wana market sheet nzuri,so wakiwa hapo wataweza kuiuzia africa bidhaa yao bila beurocracy za kiserikali, hence wakachagua rwanda,nisahihishe nilipokosea mkuu.
Inasikitisha sana.Hayo matatizo yote chanzo ni buteaucracy ya serikali.
Purchasing power ya watu srikali inazuia mpaka watu kulipwa mitandaoni. Serikali si tu inaleta bureaucracy kwenye fursa zilizopo, inafunga mpaka fursa ambazo watu wanajitafutia wenyewe kwenye mitandao. Vijana hawana ajira, fine, wakijitafutia ajira mitandaoni, serikali inakataza watu kupokea malipo kwa PayPaly. Mpaka watu wanapitisha malipo Kenya kwa an extra 30%.
Umesema Rwanda inawapa favor kwenye running cost. Tanzania hawajui ku compete kuvutia wawekezaji. Ndiyo bureaucracy hiyo. Hatujiongezi kwenda na wakati.
Tatizp kubwa ni political will na vision. Nia na maono. Hatuna nia wala maono katika uongozi wetu.
Sisi tunaweka sheria za mwaka 1947 halafu hatutaki kubadikisha. Elon Must kataka kuleta internet ya satellite tunamlazimisha awe na ofisi Tanzania, katika dunia hii ya mtandao. Watu wanatushangaa.
Hayo mengine yote nchi mdogo kama Rwanda haiwezi kutushinda