Wabongo siku hizi wameamka, ndinga za Ulaya kama zote

Ukikatisha mitaa ya Dar es salaam na Arusha naona vyuma kama BMW, Porsche Cayenne, VW, Audi za kutosha.

Haya magari japo ni expensive kuyamaintain kwenye vipuri ila ulaji wake wa mafuta ni wa wastani kabisa kiasi kwamba kama wewe ni mtu wa safari na unajali muda na usalama, hizi ndo ndinga za maana.
Majority ya hizo zingekuwa zinapatikana kihalali, haina shida, lakini, nyuma ya huo, ukwasi, kuna wengi wamefukarishwa
 
Ukikatisha mitaa ya Dar es salaam na Arusha naona vyuma kama BMW, Porsche Cayenne, VW, Audi za kutosha.

Haya magari japo ni expensive kuyamaintain kwenye vipuri ila ulaji wake wa mafuta ni wa wastani kabisa kiasi kwamba kama wewe ni mtu wa safari na unajali muda na usalama, hizi ndo ndinga za maana.
Mafuta,? hata kama ina CC kubwa? Usalama hata ksma tairi ni kipara? Muda kwamba utatembea zaidi ya 180kph ya Japanese?

Sioni hoja
 
Back
Top Bottom