Yaani kuna watu wana upopoma kwenye magari wanajifanya wanajua kumbe madalali njaa wa mjini, mmoja yupo kwenye sledi hii hapo juu magari hayajui anahororojoka tu[emoji1787][emoji1787]hawana tofauti na wale wanaodai gari inakimbia zaidi kwenye rough road kuliko kwenye lami.
Labda kwa factor hii ya weight naweza kukubaliana kiasi sababu factor ya uzito nayo inamataMkuu Nyadikwa sio hisia hiyo Raptor ya mbali sana nimetoka kumuachia dereva muda huu hapo Soweto analeta daslm Wildtrack X imetoka SA ilikua na 30km kwenye Cluster ikiwa Bruma imefika Mwanjelwa na 3003 Km hii mashine nayo ni Bi Turbo namuheshimu sana Ford Ranger...
Mambo zake hii gari ntazituma humu imetengenezwa kwa Fibre body yake ni nyepesi sana ila ina Balance ya kutosha na mwendo upo...Wlidtrack X ya 2024..
Itashuka?Ngoja dola ishuke shuke hapo 2025... now ni kisanga
Hope so....Itashuka?
Rais wa 2025 atakuwa na urafiki na $ dollar?Hope so....
Nadhani by that time miradi mikubwa inayotutoboa itakua inaelekea mwisho. Import ya material itakua si kubwa kama sasa. Uhitaji wa dola kwa sirikali utapungua.Rais wa 2025 atakuwa na urafiki na $ dollar?
Tutaona!Nadhani by that time miradi mikubwa inayotutoboa itakua inaelekea mwisho. Import ya material itakua si kubwa kama sasa. Uhitaji wa dola kwa sirikali utapungua.
Haka kadude huwa mnakapa kichwa tu ila ni kakawaida tu. Huwezi kukafananisha na higher performance salons sedans au SUVs nyingine ambazo ni Kaka na dada zake wa haka...chukua tu mfano wa haka ka 2024 Kale ka turbo ukikaweka kwenye kundi moja na Benz C class sedan yenye CC kama za haka yaani 2.0L both bado utaona haka kana HP 240 Benz ya CC hizohizo anakupa 255 HP ukijumuisha na vigezo vingine bado unaona Benz nyingi au BMW au higher versions za VW zinakazidi sana.....haka labda ukafananishage na SUVs za Japan kv Harrier kanaweza kuwatesa ila sio Kaka na dada zake wa Ulaya kanakaa na kakilazimisha katajamba jamba katakufa njiani...haka ligi yake iwe na forester sawaShida mnazungumzia madude yote hayo lakini mnakasahau ka vw polo gti tu kanawalamba watu kama wamesimama.
Kutana na kadude kanawalamba mpaka akina 1vd
View attachment 3002919
Suremwafrica haziwezi hizo gari swala la muda tu baada ya mwaka wataweka juu ya mawe
Zilikuwa ni gari za mwanzoni kutumia coil springs, inapita kwenye mashimo na bado mliokuwa ndani hamyumbi yumbi, kwa speed ya ukweli.Enzi zile tunaziita Guluwe. Ila enzi zake hizi gari zilitesa sana.