Wabongo tuache unafiki wa kumkandia DSTV na Kumpa sifa AZAM wakati huohuo hao AZAM huko majumbani kwetu tunabaki kuwalaumu na kulalamika kwa huduma mb

Labda kam
Labda kama unazungumzia DSTV ya Nyamuswa
 
Unless iwe kichwa panzi ila kama una akili huwezi kufananisha Azam na Dstv hata kidogo.
Zaidi ya mpira wa kibongo Azam hakuna cha maana labda uwe beki 3 kuangalia mitamthilia ya kipumbavu iliyotafsiriwa.
 
Kumbe wewe nawe wa juzi, dstv toka tunalipia kwa Dola mpaka Leo bado tupo. Kuna siku nilihama sasa huwa na kawaida ya kufungiwa dish na mafundi wa dstv wenyewe sio hawa kanjanja WA mtaani. Jamaa lishangaa sana aliniuliza weee mzee hili dish umepata wapi? Ya kitambo sana.
 
Malalamiko ya Azam ni udini, wengi wanalaumu kugemea udini wakati hawajasajiliwa kama kituo cha dini.
Wanaolalamika Azam Wana udini wao ndiyo Wana udini.ukitulia na kuangalia vizuri Azam Wana channels nyingi za dini ya kikristo kuliko kiislamu,anaebisha ntarudi hapa kumuorodheshea channels za kiislamu dhidi ya channels za kikristo
 
Udini na uswahili unao wewe ndo maana hata mwandiko umekaa kiswahili swahili
 
Azam ninaipenda kwa ajili ya LIGI KUU BARA na zile channel za dini ( Joy gospel Tv, Upendo tv et al), nje ya hapo ni upuuzi mtupu.

Kukiwa na wingu juu kidogo tu ni chenga tupu tofauti ni baba lao DSTV
Hii nakubishia mkuu, maswala ya hali ya hewa yanawaathiri wote
 
Nashangaa hawa wajinga wanaropokwa tu,
Kabla hujajiona mjinga zaidi. Kwa uwezo wa komwe lako hilo unadhani Dstv na Azam unaweza kulinganisha? Azam kwa Tanzania NI sawa na Dstv kwa South Africa. Swali je? Nje ya nchi hizi, subscribers wa Azam na Dstv Hali ikoje? Nenda Tu Kenya Uganda ambako Azam na Dstv wote wako Nani mbabe? Achilia mbali Nigeria huko
 
DStv ana miaka mingapi sokoni na Azam ana mingapi? Mtoto hawezi kukua siku moja fala wewe pili hakuna aliyekushikia bunduki uwe na Azam, tatu huyo Yusuf kauzidi ukoo wenu wote kwa utajiri sasa unahangaika nini kuja kumponda huku?
 
DStv ana miaka mingapi sokoni na Azam ana mingapi? Mtoto hawezi kukua siku moja fala wewe pili hakuna aliyekushikia bunduki uwe na Azam, tatu huyo Yusuf kauzidi ukoo wenu wote kwa utajiri sasa unahangaika nini kuja kumponda huku?
Kwahiyo ulipolinganisha Azam na Dstv akili zako uliziweka Mata.Koni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…