mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,013
- 10,000
Labda kam
Labda kama unazungumzia DSTV ya NyamuswaDStv hawana channel ya uhd/4k wana HD peke yake na ni chache. Nyingi ni SD
Nafahamu packages na pay tv nyingi za nje na ndani. Nyingi nimeshazitumia, beIN sports uwe unaangalia moja kwa moja toka Satellites zao wanazorushia (7w/8w/25w) ndio utaona ubora wao sio hizo za kwenye cable TV.