Wabongo wengi wanaoishi Marekani wana maisha magumu tofauti na wale wanaoishi nchi za Scandinavian

Kiukweli fursa ni nyingi sana ila kikubwa ni mtu kujitambua ,Sasa wengi wakienda USA kazi kupiga picha maeneo ya Bata na kuringishia Facebook ila kiuhalisia unakuta Hana hata kiwanja alichonunua bongo Kwa ajili ya kujenga na unakuta kwakuwa kule ni kuzuri sana na mazingira yanavutia unajikuta miaka 10 imekatika hakuna lolote ulilofanya ukija kurudi bongo wenzako wamepiga hatua unajikuta pressure inakuandama ..Kuna kazi nyingi za kubeba mabox ,usafi wa garden ,kunyoosha nguo za watu zinalipa sana ila Sasa uwe na akili ya kuwekeza nchini kwako
 
Mchokoza mada / thread / mgongano wa diaspora na waliobaki nyumbani kuhusu mambo kadhaa na mitizamo

Professor Joseph Mbele kuhusu tofauti za maono, fikra, mawazo, kitamaduni pia mkorogano na tafrani katika dunia hii ya kijijini afafanua kupitia kitabu : Kuku Ndani Ya Bus


View: https://m.youtube.com/watch?v=Au4IbTrlWkcProf. Joseph Mbele kuhusu wamarekani na tamaduni kila mtu kupigana kimaisha mwenyewe hakuna kujali Shangazi, mjomba, binadamu wala wa kutoka kijiji kimoja.....

Kaka yenu yupo Marekani mwambieni awalipie ada ya shule, mchango wa harusi ... hiyo haipo katika tamaduni za Marekani na Ulaya ... Kukopeshana kwa mali kauli haipo sana Marekani kama ilivyo Tanzania au Afrika .....
Source : America Swahili News
 
Mkuu kuna mmoja juzi katoka Marekani ni mshikaji wetu kitaani yaani jamaa kachoka utadhani alikuwa gerezani,Amefika kuona nina drive Bima(BMW) anabaki kunishangaa na kunipa masifa kibao!

hiki ndo kimefanya nimeandika uzi!
Wee Ni mpumbavu SAS Ni kwamba hujawi kwenda popote uko tu hapo mbeya unajiona umefika Sasa hyo bm yako na hi mashine ipi na ipi
 

Attachments

  • IMG-20230907-WA0010.jpg
    163.6 KB · Views: 4
Dah![emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
 
Mkuu kuna mmoja juzi katoka Marekani ni mshikaji wetu kitaani yaani jamaa kachoka utadhani alikuwa gerezani,Amefika kuona nina drive Bima(BMW) anabaki kunishangaa na kunipa masifa kibao!

hiki ndo kimefanya nimeandika uzi!
Kuna gari inaitwa "Bima"?

Napata shaka kama kweli hata gari unayo kweli.
 
Mkuu Kiranga anaishi kwenye tu-Apartment tumefanya anakosa hewa kila siku ndiyo maana anapinga uwepo wa Mungu
Shemeji unaitwa huku Kiranga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Dada Joannah shemeji una uhakika Leo alikunywa chai au kuna vitu vingine alikunywa πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ
 
Acha uongo na mjumlisho. Kwani umeongea na au unawajua wote? Mbona wapo wenye maisha mazuri tu wanamilki kila kitu wazungu wanamilki? Hata huko scandinavia kwako wapo wachovu. Ni kitu cha kawaida katika maisha.
 
Hapo pia tunatofautiana maana mimi huku sikuja kwa njia za kimagumashi. Nilikuja kwa ajili ya kusoma lakini nimepata kazi, pia malipo sio mabaya. Na mazingira ya kazi pia sio mabaya. Ndo nakomaa na lugha hapa nina A2 nimeanza B1 hii October.
Endelea kujinadi uanzwe kufuatwa P.M na ombaomba wa JF na mashoga wakiwemo

Usipende kuweka wazi kila kitu kukuhusu hata kama tunajadili mada. Privacy ni muhimu.

Watu hawawezi kukiharibu wasichokijua. Behave!
 
Niishie kukueleza kwamba unachokijua ni kusoma tu ila kuelewa bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…