Wabongo wengi wanaoishi Marekani wana maisha magumu tofauti na wale wanaoishi nchi za Scandinavian

Wabongo wengi wanaoishi Marekani wana maisha magumu tofauti na wale wanaoishi nchi za Scandinavian

Ni vizuri ukaendelea kufatilia Maisha yako maana aliyekuzidi kakuzidi tu Mtu Kama wewe hata Kenya haujafika Sasa unajua Nini wewe mtoto mdogo
Huyo ni mpuuzi ,
Nimeishia tu alivo zitaja hizo NCHI,

Huyo anaitaji ,
Kuwapoteza wa tz ,kwenye ramani,

Jamaa anaonekana ana ROHO mbaya mno,

Yaani anataka kuwapoteza watu ,wasiojuwa kitu
 
Mkuu usiwazingatie mademu wa JF tushawazoea wengi wapo depressed na singo maza wapo buza
Mkuu unadhani namzingatia basi? namshauri apumzike tu, sababu hata ukiangalia chronological order ya nchi anazotaja haimake sense kwa traveller, amefika Gambia lakini zaidi sana ana mpango wa kwenda Ivory Coast mwaka huu [emoji16], kipato chake ni chini ya dollars 400 kwa mwezi (kwa mujibu wa maelezo yake) ila akiugua anaweza kutibiwa Sweden, ana umeme wake wa uhakika, akitaka kusomesha atawasomesha wanae kwa mtaala wa Cambridge, it's ridiculous.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Bado sijafahamu ni kwanini watanzania wengi wanaoishi nchi za Marekani,Canada na Uk huwa wanamaisha magumu kupita kiasi tofauti kabisa na wale wanaoishi nchi za Scandinavian na Germany!.
Watafutaji lazima wakutane na maisha magumu. Hiyo ni popote, iwe Scandinavia, iwe UK, German or Euarope. Watu wameenda kwa vigezo na status tofauti. Unapaswa kuwaheshimu.
Ninawafahamu jamaa kadhaa wanaoishi huko tangu zamani na hakuna walichofanya cha maana kwenye familia zao(Wazazi) hapa Tanzania,wengi huwa wanarudishwa kipindi cha matatizo tu lakini huwezi kuwaona wakiwa wanarudi kipindi cha furaha kuwasalimia ndugu zao.
Hiyo ni tabia ya mtu, regardless yupo wapi. Hata hapo Scandinavia kuna watu tangu wameenda ni kama wamepotea lakini they are doing fine na msisha yao.
Watanzania wengi wanaoishi nchi za Scandinavian huwa wamerekebisha makazi ya wazazi wao na pia huwa wamejenga nyumba za kifahari ili wanapokuwa wanakuja likizo basi hufikia huko,siyo nyumba tu bali huwa na usafiri mzuri!.
"Wengi"...ulitaka wote waishi life style ya aina moja?
Swali la msingi ni kujiuliza anafanya nini? Kama anafanya hystles zake kihalali unapaswa umheshimu tu. Nchi zenyewe hazifanani kuanzia utoaji visa.
Kuna wanaofanikiwa bongo, kuliko nje
Hii ni tofauti kabisa na wabongo wanaoishi Marekani,Canada na UK,hawa huwa wanarudi makwao endapo Baba au Mama ni mgonjwa au amefariki kabisa,na huwa wakija hata vaa yao inatia mashaka!.
Lazima utakuwa na uduni kwenye kufikiri. Kwamba watanzania waliopo nchi hizo hakuna walichofanya kwao? You can't be serious, lazima kuna watu utakua na chuki nao waliopo hizo nchi, ila hii style wala haitasaidia kukuondolea maumivu na chuki zako dhidi yao.
Kwa akili ya kawaida tu, angalia vijana wengi waliokuja bongo kutoka nje na kuleta exposure kwenye mambo mbalimbali nchini walitokea nchi gani?
Huwa wanapenda kuvaa miwani mikubwa kama wachomelea welding na kujifanya kuishangaa Tanzania kana kwamba ni chooni!,Unakuta hata hela ya kuwatoa marafiki zake tu Out hawana zaidi ya kujiongelesha blah blah na masifa kibao!.Wengi wamechoka kimuonekano,Sura hazina nuru na mionekano yao imefubaa!.
Kumbe ugomvi eote chanzo ni kutotolewa out?
Ukiwauliza wanabaki kusingizia Marekani Kodi ni kubwa na Ishu za Bills zinabana kila kona,Unabaki kumshangaa kana kwamba huko Marekani ni yeye tu ndiye Bills hupewa kubwa!.
Kumbe kuna mtu specific umemlenga ndiyo umekuja kumfungulia Uzi kwa kujumuisha wote?
Ngoja niishie hapa. Maana uzi hauna maana mpaka hapo hakuna maana ya kuendelea kusoma chuki za mtu dhidi ya wenzako.
 
Ok !,Kwenye hizo Takwimu wewe ulichangia kiasi gani?

Yaani unaleta takwimu za kisiasa kwa watu wenye utimamu wa akili kama mimi unadhani nitakuelewa?

Tuachane na hizo takwimu Uchwara Sorongai wewe!,Wewe kama wewe una nini cha kujivunia Tanzania?
Kumbe nabishana na mjinga?

Nilileta takwimu ukabisha , nimeweka article hujasoma sababu imekushinda kuelewa unabwatuka tu hapa.

Ngoja niishie hapa.
 
Watafutaji lazima wakutane na maisha magumu. Hiyo ni popote, iwe Scandinavia, iwe UK, German or Euarope. Watu wameenda kwa vigezo na status tofauti. Unapaswa kuwaheshimu.

Hiyo ni tabia ya mtu, regardless yupo wapi. Hata hapo Scandinavia kuna watu tangu wameenda ni kama wamepotea lakini they are doing fine na msisha yao.

"Wengi"...ulitaka wote waishi life style ya aina moja?
Swali la msingi ni kujiuliza anafanya nini? Kama anafanya hystles zake kihalali unapaswa umheshimu tu. Nchi zenyewe hazifanani kuanzia utoaji visa.
Kuna wanaofanikiwa bongo, kuliko nje

Lazima utakuwa na uduni kwenye kufikiri. Kwamba watanzania waliopo nchi hizo hakuna walichofanya kwao? You can't be serious, lazima kuna watu utakua na chuki nao waliopo hizo nchi, ila hii style wala haitasaidia kukuondolea maumivu na chuki zako dhidi yao.
Kwa akili ya kawaida tu, angalia vijana wengi waliokuja bongo kutoka nje na kuleta exposure kwenye mambo mbalimbali nchini walitokea nchi gani?

Kumbe ugomvi eote chanzo ni kutotolewa out?

Kumbe kuna mtu specific umemlenga ndiyo umekuja kumfungulia Uzi kwa kujumuisha wote?
Ngoja niishie hapa. Maana uzi hauna maana mpaka hapo hakuna maana ya kuendelea kusoma chuki za mtu dhidi ya wenzako.
Umekula lakini?
 
Kumbe nabishana na mjinga?

Nilileta takwimu ukabisha , nimeweka article hujasoma sababu imekushinda kuelewa unabwatuka tu hapa.

Ngoja niishie hapa.
Hili ndilo tatizo lako na wenzio kama wewe msiokuwa na akili timamu!

Nimekuuliza wewe kama wewe umewasaidia nini ndugu zako?
 
Kumbe nabishana na mjinga?

Nilileta takwimu ukabisha , nimeweka article hujasoma sababu imekushinda kuelewa unabwatuka tu hapa.

Ngoja niishie hapa.
Wewe si una akili?

Njoo pm uniwekee vyeti vyako kuanzia O -Level hadi chuo na mimi nikuwekee vya Kwangu kuanzia O -level hadi chuo halafu tuone nani mwenye akili ya Darasani na Maisha kuzidi mwenzie!
 
Ukirudi Bongo na uzoefu wa 5 years unapata kazi kubwa kutokana na exposure yako practically unakuwa upo mazingira tofauti kabisa you will meet people who can not deliver with a lot of excuses.
Bro you have a point but I am willing to risk it. Uwanja wa nyumbani una raha yake. Japokuwa huku ukiwa na profession wako very welcoming. Unaweza ukajiona upo nyumbani. Japo kuna vielement itakumbana mara moja moja kukumbusha where you are from.
 
Mkuu kuna mmoja juzi katoka Marekani ni mshikaji wetu kitaani yaani jamaa kachoka utadhani alikuwa gerezani,Amefika kuona nina drive Bima(BMW) anabaki kunishangaa na kunipa masifa kibao!

hiki ndo kimefanya nimeandika uzi!
yani mtu katoka marekani anakuona unaendesha BMW la mtumba akakushangaaa hii ni chai ☕️
 
yani mtu katoka marekani anakuona unaenda BMW la mtumba akakushangaaa hii ni chai ☕️
Tena alikuwa analaani na kujilaumu kwa kuendelea kupoteza muda Marekani wakati huo wana tunaendelea ku-roll na Mandinga Makali!
 
Back
Top Bottom