Bendera ya Bati
JF-Expert Member
- Apr 6, 2011
- 279
- 369
Juzi hivi niliiiona post yako ukitafuta IST iliyotumika ya kukodi ili iwe inakurahisishia usafiri wa home kwenda job. Mara hii una BMW Mkuu? Au ndio tuseme cocoa imezidi kwenye chai?😂Mkuu kuna mmoja juzi katoka Marekani ni mshikaji wetu kitaani yaani jamaa kachoka utadhani alikuwa gerezani,Amefika kuona nina drive Bima(BMW) anabaki kunishangaa na kunipa masifa kibao!
hiki ndo kimefanya nimeandika uzi!