Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,084
- 15,998
Wivu unawasumbua lakini....ππππ Tulia wewe leo tuna match kali hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu unawasumbua lakini....ππππ Tulia wewe leo tuna match kali hapa
Nimeamua kuacha kumjibu sababu he is a desperate , incoherent racketeer playing into ephemeral populism.Wayu wanazunguka sana, kafungua uzi lengo lake awatangazie watu kuwa anamiliki Bimmerπ
Juz kuna jamaa yangu wa marekani kanitembelea kakuta nasukuma discover 6 ya 2015 aisee alipagawa sanamandinga gani tena mtoa mada kashasema anasukuma bimmer la mtumba mpaka wa marekani wanaona wivu
atakuwa mvivu au atakuwa kaoa mzungu au atakuwa na familia kubwa na mke ni joblessMshikaji ana Green Card mkuu
Huyo ni mtoa mada sio mimi.mandinga gani tena mtoa mada kashasema anasukuma bimmer la mtumba mpaka wa marekani wanaona wivu
Wewe hata hujui maana ya gereji kwa muktadha wa Marekani.Marekani ukiwa na Gereji ya Magari bila shaka wewe utakuwa Makenika,unaenda kuzoa majararani magari mabovu yaliyotupwa unakuja kuyaripea unauza ili upate chochote!.
Aisee kama hiyo ndiyo kazi inayokuweka huko basi bado unasafari ndefu ya mafanikio
Shemeji kibongo land we tajiri imagine unaishi jumba la 280millions??!! Wenzio tumepanga tandale kwa tumbo na bado tunatoka saa 9 usiku ili kumkwepa faza house kodi yake ya nyumba!!! Fanya mchezo nini?!!! ππππShem mimi si Tajiri,mimi ni mtu mwenye maisha ya kawaida kama watu wengine!
Utofauti wangu na Kiranga ni kwamba,mimi namiliki nyumba ila yeye amepanga!
Mkuu umelipa kodi lakini?Wewe hata hujui maana ya gereji kwa muktadha wa Marekani.
Nikiongea nawe huwezi kunielewa, ni kama naongea nawe Kigiriki cha kale.
Shemeji kibongo land we tajiri imagine unaishi jumba la 280millions??!! Wenzio tumepanga tandale kwa tumbo na bado tunatoka saa 9 usiku ili kumkwepa faza house kodi yake ya nyumba!!! Fanya mchezo nini?!!! ππππ
We tajiri bhana sema Kiranga aje atujibu NYC anakaa nyumba ya dollar ngapi tu compare hapa tuone km anafikia utajiri wako πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Hawa watu wana matatizo sana.Ndio hapo me ninaposhangaa!!
Me najua shemeji yangu mtu mzito uko NYC
Sasa shemeji yangu mwingine TUKANA UONE naye anasema we choka mbaya!!!
Hebu muelezee vizuri ule utajiri wako uliokuwa nao ππππ
Afu kasema mpk leo unazurula hata green card huna unaishi kimagumashi π
Dada una jeuri ss hivi hata Samvula chole hutaki kuja eti wewe ushavuka level za kucheza vanga kweli??? πππEwaaaaaah!umegundua Hilo?tatizo lao wanamakasiriko sanaπ€£π€£
Kumiliki nyumba ni mipango tu,mimi sikutaka kufanyia starehe pesa niliyopata nikaamua nijenge nyumba ili niishi kwa raha na mustarehe!Shemeji kibongo land we tajiri imagine unaishi jumba la 280millions??!! Wenzio tumepanga tandale kwa tumbo na bado tunatoka saa 9 usiku ili kumkwepa faza house kodi yake ya nyumba!!! Fanya mchezo nini?!!! ππππ
We tajiri bhana sema Kiranga aje atujibu NYC anakaa nyumba ya dollar ngapi tu compare hapa tuone km anafikia utajiri wako πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Straight to ignore list.Mkuu umelipa kodi lakini?
Nasikia Handymen au mafundi wa kitaa kama plumbers wanapesa ndefu kuliko Proffessional white collar men
Hongera mkuu kwa kukutana na Kenge,mie na umri wangu huu sijawahi ona Kenge huwezi amini!Ila kuna KENGE za jamii forum zinavunga zina life ila ulikutana nazo unaweza cheka mpaka ukazimia [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ,
Hizi ID fake zinaficha mengi sana
ππππ TUKANA UONE shemeji eti una nyege ya mgao wa Tanesco sababu unauza barafu biashara imesimama πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈHawa watu wana matatizo sana.
Just for the sake of argument, hata nikiwa choka mbaya kweli, naishi maisha yangu, sijamuomba mtu kitu, yeye kinamuuma nini kama si umbeya tu?
Hawa watu wana nyege tu wamepigika na umeme wa mgao wanatumalizia hasira zao sisi huku.
Uko sawa kabisa. Mimi nimeishi Washington DC kwa muda wa miezi sita kama mwanafunzi kwa kweli maisha ya Marekani ni magumu sana. Ni vigumu kuweka akiba. Tunasema ni Hand to mouth. Hakuna cha bure. Mshahara wako unaoupokea unakwisha wote mwisho wa mwezi. Wenzetu wa Ubalozini kwetu ni watu ambao hawawezi kukukaribisha kwake kutokana na ugumu wa maisha. Kuna bar moja ya mtu wa Kenya inayoitwa Kilimanjaro ndo mara chache sana mnakutana na waafrika wenzako. Ndugu yangu ogopa kwenda Marekani kama Ukoma kule siyo mahala pa kwenda hata kama unapata $8,000 kwa mwezi. Hakuna rafiki. Rafiki yako ni pesa yako na passport yako.