Wabongo wengi wanaoishi Marekani wana maisha magumu tofauti na wale wanaoishi nchi za Scandinavian

Hakuna sehemu yenye maisha rahisi. Narudia tena hakuna sehemu rahisi yenye maisha rahisi... Labda ubaki Bongo uwe chawa wa mama Samia ila ujue nako kuna ugumu wake. Inabidi uwe mpiga kelele kweli kweli na ujitoe akili zako.
Mkuu hilo nalifahamu lakini kwa hali ya Marekani ni nchi iliyoendelea tulitegemea angalau wawe na maisha ya kuridhisha!
 
Wamekuudhi mkuu, umeamua kuwachamba[emoji3]
Ila hata mimi uwa sishobokei nchi zenye waafrika wengi kwani zinakuwa na kshifa nyingi kutuhusu
Wizi, fujo, uuzaji wa madawa na utaperi
Tunakuwa hatuaminiki, na hata ukimsogelea mzungu anahisi unataka kumuibia
Hapo uwa napakumbuka sana afrika nauwaza uhuru wangu na hakuna wa kunibagua au kuninyanganya haki yangu na ninakuwa na sauti imara tofauti na kuomba haki
Naipenda afrika shida maendeleo tu, ambayo yameshikwa na viongozi wetu
Wewe unadhani Afrika ndiko kwenye uhuru zaidi? Mimi nadhani hili ni jambo lililopo kwenye akili yako zaidi kuliko uhasilia. Ukiwa majuu ukikutana na mzungu levi akikuambia fuc*k unaumia zaidi na kuona umebaguliwa kwa sababu ya rangi yako lakini ukiwa Bongo mlevi akikumbia ''mbwa we'' wewe unasema ''nimekutana na mlevi anatukana hovyo japo anatia huruma''. Hivyo hivyo ukilalamikia jambo na ukiambiwa rudi kwenu unaona ni ubaguzi, lakini ukiwa Bongo Mwingulu akikuambia hamia Burundi unaona ni sawa.
 
Mkuu mafanikio huonekana kwa aliyenayo,wao hata mafanikio hawana hata nauli za kuwaleta kuwaona wazazi wao huwa ni kipengele!
Kuna jamaa nilimuacha sehemu, sitaki kupataja sababu tulikuwa tunafanya shughuli za kialifu so mara kwa mara tulikuwa tukikamatwa
Hiyo life sikuipenda ilibidi nirudi afrika
Nikajichanga vizuri na vipesa nilivyorudi navyo kiukweli nilikuwa mtu wa furaha tofuti na uko uzunguni
Jamaa yangu alivyorudi akanikuta ninamaisha yangu poa kabisa nina kiusafiri na na tv kubwa nchi 65 nina mke wa kiswahili anamkia wa maana, na vitoto yan vifaida vya ndoa viwili
Super marker kama Ulaya
Jamaa hakuvumilia akaapa
Dah yanini kurudi kule na maisha haya mzee?!
Nami kiukweli nitafia apa apa nyumban na uzee wangu mzuri baada ya maangaiko
Samahanini mambo mengi nimeficha sababu kama nilivyokwisha ieleza hapo mwanzo, sio sifa nzuri niadithie life mbovu kufundisha vijana wenye mawazo mazuri ya kutafuta maisha ughaibuni
 
Mkuu hilo nalifahamu lakini kwa hali ya Marekani ni nchi iliyoendelea tulitegemea angalau wawe na maisha ya kuridhisha!
Umeshawahi kufika huko? Siyo kila mtu ana maisha ya kuridhisha. Na siyo kila anayeishi nchi yenye maisha mazuri naye anakuwa na maisha mazuri. Mawazo yako ni kama yale ya wazee wa vijijini wanaodhani kila mtu aliye jijini Dar ana maisha mazuri.
 
Mkuu kuna mmoja juzi katoka Marekani ni mshikaji wetu kitaani yaani jamaa kachoka utadhani alikuwa gerezani,Amefika kuona nina drive Bima(BMW) anabaki kunishangaa na kunipa masifa kibao!

hiki ndo kimefanya nimeandika uzi!
Kabisa hii ni sana utokea yaan mpaka mtoto unadhurumiwa unarudi peke yako
Nyumbani raha kwa kweli
 
Kuna jamaa nilimuacha sehemu, sitaki kupataja sababu tulikuwa tunafanya shughuli za kialifu so mara kwa mara tulikuwa tukikamatwa
Hiyo life sikuipenda ilibidi nirudi afrika
Nikajichanga vizuri na vipesa nilivyorudi navyo kiukweli nilikuwa mtu wa furaha tofuti na uko uzunguni
Jamaa yangu alivyorudi akanikuta ninamaisha yangu poa kabisa nina kiusafiri na na tv kubwa nchi 65 nina mke wa kiswahili anamkia wa maana, na vitoto yan vifaida vya ndoa viwili
Super marker kama Ulaya
Jamaa hakuvumilia akaapa
Dah yanini kurudi kule na maisha haya mzee?!
Nami kiukweli nitafia apa apa nyumban na uzee wangu mzuri baada ya maangaiko
Samahanini mambo mengi nimeficha sababu kama nilivyokwisha ieleza hapo mwanzo, sio sifa nzuri niadithie life mbovu kufundisha vijana wenye mawazo mazuri ya kutafuta maisha ughaibuni
Share kisa nasi mkuu utawafunza wengi!
 
Sasa wewe huoni kama siyo kwenda huko pengine usingefanikiwa? Watanzania ni watu wa ajabu sana. Dirisha ulilopitia wewe ni kwa nini wenzako wakitaka kupitia unawakatisha tamaa? Ukweli ni kwamba siku zote kutembea na kuishi nchi za wengine ni jambo zuri sana na linakufanya ujifunze na kujua mengi.
 
Mkuu kuna mmoja juzi katoka Marekani ni mshikaji wetu kitaani yaani jamaa kachoka utadhani alikuwa gerezani,Amefika kuona nina drive Bima(BMW) anabaki kunishangaa na kunipa masifa kibao!

hiki ndo kimefanya nimeandika uzi!
Kuna mtu tulisoma naye kaenda us, kaja likizo Cha maana Hamna Cha kushangaza, kutwa kutafuta classmate kupiga nao picha hatuoni Cha msaada alichowapa Wala Nini, michango yenyewe tunayosaidiana anayotoa Kama tunayotoa sisi tuliokuwa huku tu na Kuna watu wapo huku wanamzidi dau la utoaji, ulichoongea kweli.
 
Ni vile hawawezi tu kurudi nyumbani
Maana wameshapoteza uelekeo.
Wanaona aibu marafiki na ndg waliowaacha wengine wanakuwa wameshapiga hatua fulani kimaisha. Hii linawavuruga sana
Maisha si kushindana.Ukiishi kwa kushindana na wengine basi utaishi kwa stress .Ishi maisha kwa kushindana na wewe mwenyewe kuhusu jana ,leo na kesho yako.
 
Kila mahali ni maisha hata kama uko bongo kuna wanaopasua na wengine miaka nenda rudi unawakuta vijiweni tu tena palepale utafikiri MITI
Mafanikio ni wewe na bahati yako pia unaweza kuwa unafanya kazi miaka yote na hujaomba mtu ila utajiri huna

Kama unaishi kwa kujitegemea huna haja ya kulalamikia watu na maadam hawakuombi kitu
Pambana na hali yako kwani hata hiyo 🇺🇸 unayosema kuna watu wana maisha mazuri pia na wengine wamekwama kama walivyokwama wengine
 
Mkuu kuna mmoja juzi katoka Marekani ni mshikaji wetu kitaani yaani jamaa kachoka utadhani alikuwa gerezani,Amefika kuona nina drive Bima(BMW) anabaki kunishangaa na kunipa masifa kibao!

hiki ndo kimefanya nimeandika uzi!
Wewe upeo wako wa kupambanua mambo ni mdogo. Na unaweza kukuta hilo BMW ni haya mamitumba waliyoendesha wajapani au waarabu wakayachoka na wewe ukaletewa. Watu wakijibina hapo Bongo wewe utawapa ajira? Tatizo lako unadhani ni kila anayekwenda Marekani anafanikiwa.
 
Wewe unadhani Afrika ndiko kwenye uhuru zaidi? Mimi nadhani hili ni jambo lililopo kwenye akili yako zaidi kuliko uhasilia. Ukiwa majuu ukikutana na mzungu levi akikuambia fuc*k unaumia zaidi na kuona umebaguliwa kwa sababu ya rangi yako lakini ukiwa Bongo mlevi akikumbia ''mbwa we'' wewe unasema ''nimekutana na mlevi anatukana hovyo japo anatia huruma''. Hivyo hivyo ukilalamikia jambo na ukiambiwa rudi kwenu unaona ni ubaguzi, lakini ukiwa Bongo Mwingulu akikuambia hamia Burundi unaona ni sawa.
Yaani hapo nimefunguka life langu mkuu, ndivyo nilivyokuwa najisikia na sio kila mzungu aliekuwa ananibagua, mimk nina rasta na mpaka sasa ninazo, kuna ambao walikuwa wananipenda sana, ila kwangu mimi nadhani sijazoea kuwa chini najithamini na weusi wangu na uafrika wangu nadhani ndicho kilichonituma niwe rasta halisi so mtu aiondoe thaman yangu naumia sana mkuu
Na nikikutana na mswahili mwenzangu yan hata awe msenegar au mnaigeria nahisi ni ndugu yangu a damu tofaut na hapa home bongo
Nimekuelewa lakini
 
Kila mahali ni maisha hata kama uko bongo kuna wanaopasua na wengine miaka nenda rudi unawakuta vijiweni tu tena palepale utafikiri MITI
Mafanikio ni wewe na bahati yako pia unaweza kuwa unafanya kazi miaka yote na hujaomba mtu ila utajiri huna

Kama unaishi kwa kujitegemea huna haja ya kulalamikia watu na maadam hawakuombi kitu
Pambana na hali yako kwani hata hiyo 🇺🇸 unayosema kuna watu wana maisha mazuri pia na wengine wamekwama kama walivyokwama wengine
Kongole. Huyu jamaa ni wale wajinga wajinga wanaonunua haya magari mtumba ya mjapana na wanaona wamemaliza kila kitu. Dunia ya leo unaona kuendesha gari ndiyo mafanikio? Kila sehemu kuna wenye mafanikio na wasiyo na mafanikio.
 
Back
Top Bottom