Kivumbi leooooo!!! πππKwanza ulipata mme ??
Natafuta mume mtu mzima, mwenye kipato kizuri
Hello, Mimi ni mwanamke wa kikristo, msomi, mtu mzima 39 (40 ileee π¬), mfanyabiashara, sio tajiri ila namudu maisha yangu, kipato sio chini ya 1M kwa mwezi. Pamoja na kuwa umri umeenda ila sioni dhambi kuchagua, na wale wa bora wanavaa suruali na kupumua siwatakiπ¬π¬. Sababu kuzeeka sio sababu...www.jamiiforums.com
Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
πππππ mpe nipate new shemela in townMdio ila tushaachana sasa hivi niko na mwingine.
Na wewe unatafuta nikupe ID ya aliyeniacha ujaribu bahati yako?
Kuna sehemu nilikua nakutafuta naona mbona simuoni huyu vipi tena, kumbe upo huku kunogesha[emoji23][emoji23]Shemeji narudi ngoja niongeze balimi nyingine kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekushindwa tabia πππππ we lete tucheke kijiwe kichangamke!! Me kwenye hekaheka km hizi had skendo yangu mwenyewe nakazia!!!
Wahi bana kabla haijachacha π€£π€£π€£
π€£π€£π€£π€£ usinishindwe bhana!!!Nimekushindwa tabia π
Heeee kumbe tupo wawili na huniambii ukimaliza kunyoosha huko uwahi na huku ππ€£π€£π€£π€£ usinishindwe bhana!!!
Hebu nikanyooshe nguo za baby kwanza kesho ana meeting na tajiri TUKANA UONE
Asije kukosa wawekezaji bure πββοΈπββοΈπββοΈ
Ndo mana basiππ€£πKanakunywa vitu vikaliπ€£π€£π€£
π€£π€£π€£π€£ wewe unataka nipewe talaka na Countrywide kabla ile sapuraizz yetu haijafika!!! raraa umetumwa??? π€£π€£π€£Heeee kumbe tupo wawili na huniambii ukimaliza kunyoosha huko uwahi na huku π
Ha haaaahaaaa kwenye Vanga msiniache Kwa namna yeyote Ile....Leo naona uko una Hype peke Yako shangazi Yako Shunie umemuacha wapi?Dada una jeuri ss hivi hata Samvula chole hutaki kuja eti wewe ushavuka level za kucheza vanga kweli??? πππ
Mkoleni umesusa kuja kufunda wali kisa umempata tajiri TUKANA UONE na nasikia shem anataka kuinunua Simba ashindane na GSM πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
π€£π€£π€£π€£ matajiri mnaongea sasaKanakunywa vitu vikaliπ€£π€£π€£
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe unataka nipewe talaka na Countrywide kabla ile sapuraizz yetu haijafika!!! raraa umetumwa??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakuja kukiwasha ππ€£π€£π€£π€£ wewe unataka nipewe talaka na Countrywide kabla ile sapuraizz yetu haijafika!!! raraa umetumwa??? π€£π€£π€£
Wacha sifa we mshamba, wenye hela hawajinadi namna hiyo.Hili ndilo tatizo la vijana wasiokuwa na uhakika na kesho yake!
Matusi ya nini kijana?Au hujala!
π€£π€£π€£π€£ hao wanawagombania nyie, me najaribu kuwafanya tujue nani tajiri kweli ili msibebe choka mbaya πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈYaani wewe unaweza chochea watu wapigane bila kutarajiaππ€£π