Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Kivumbi leooooo!!! 😂😂😂Kwanza ulipata mme ??
Natafuta mume mtu mzima, mwenye kipato kizuri
Hello, Mimi ni mwanamke wa kikristo, msomi, mtu mzima 39 (40 ileee 😬), mfanyabiashara, sio tajiri ila namudu maisha yangu, kipato sio chini ya 1M kwa mwezi. Pamoja na kuwa umri umeenda ila sioni dhambi kuchagua, na wale wa bora wanavaa suruali na kupumua siwataki😬😬. Sababu kuzeeka sio sababu...www.jamiiforums.com
Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
Haya sisy Pridah unaitwa kamu zisi wei eti unaulizwa “Mume ulipata?”