Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Kufika sawa ila kuishi Je?
That is your call to make. Nchi za nje zipo nyingi ila kiwanja ni kimoja tu- USA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufika sawa ila kuishi Je?
Kwa jinsi ulovyoeleza waweza kuwa sahihi kwa asilimia 80.Ukihitaji salamu nenda pwani kwa waswahili,kwangu utaambulia chuya ukalishie kuku!
Bado sijafahamu ni kwanini watanzania wengi wanaoishi nchi za Marekani,Canada na Uk huwa wanamaisha magumu kupita kiasi tofauti kabisa na wale wanaoishi nchi za Scandinavian na Germany!.
Ninawafahamu jamaa kadhaa wanaoishi huko tangu zamani na hakuna walichofanya cha maana kwenye familia zao(Wazazi) hapa Tanzania,wengi huwa wanarudishwa kipindi cha matatizo tu lakini huwezi kuwaona wakiwa wanarudi kipindi cha furaha kuwasalimia ndugu zao.
Watanzania wengi wanaoishi nchi za Scandinavian huwa wamerekebisha makazi ya wazazi wao na pia huwa wamejenga nyumba za kifahari ili wanapokuwa wanakuja likizo basi hufikia huko,siyo nyumba tu bali huwa na usafiri mzuri!.
Hii ni tofauti kabisa na wabongo wanaoishi Marekani,Canada na UK,hawa huwa wanarudi makwao endapo Baba au Mama ni mgonjwa au amefariki kabisa,na huwa wakija hata vaa yao inatia mashaka!.
Huwa wanapenda kuvaa miwani mikubwa kama wachomelea welding na kujifanya kuishangaa Tanzania kana kwamba ni chooni!,Unakuta hata hela ya kuwatoa marafiki zake tu Out hawana zaidi ya kujiongelesha blah blah na masifa kibao!.Wengi wamechoka kimuonekano,Sura hazina nuru na mionekano yao imefubaa!.
Ukiwauliza wanabaki kusingizia Marekani Kodi ni kubwa na Ishu za Bills zinabana kila kona,Unabaki kumshangaa kana kwamba huko Marekani ni yeye tu ndiye Bills hupewa kubwa!.
Wabongo wengi wanaoishi Marekani na Canada waliofanikiwa huwa ni kuanzia Umri wa Miaka 50 - na Kuendelea,hawa ndiyo angalau huwa wamejenga makwao na hata hujitahidi kuprovide kwenye familia zao.
Ila hawa wenzangu na mie kuanzia miaka 25 - 45 huwa hawana cha maana zaidi ya blah blah na ngonjera kibao huku kila muda wakipiga simu na kusimanga serikali na kuwakashifu ndugu kana kwamba wanaishi kwenye vyoo!.
Wengine tunawafahamu wamekwenda huko miaka ya 90 lakini hadi leo ni kuzurura tu hawana paper!.
Any way:
Ukitaka kuona walivyo na hasira,wewe soma comments!
Kidumu cha petroli ezi yujo! Carleen njoo uone huku🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Oyooooooooo!!! Tajiri kaongea sasa!!!
TUKANA UONE kumbe thamani ya nyumba yako ya madale ya 280millions Kiranga anahifadhia mbwa wake 😂😂😂😂
Una lolote la kuongezea tajiri??
Hapa leo tuna matajiri wawili
Kiranga vs TUKANA UONE
Mpambano mkareee kweri kweri wadau mna maoni yoyote??? 😂😂😂😂😂
Weye waonekana (kama si vinasaba vya uchawa) huwa una mawazo positive sana.Kufika wapi ambako mipango imegoma? Mimi huko kwenu ntakuja kutalii mambo ikikaa sawa sio kuishi ,siwezi ishi sehemu ambayo Kila mtu ana habari zake no social cohesion kama ya Bongo.
Kiufupi sijawahi tamani kuishi Nje ya Nchi ila natamani kufika kuona kulivyo.
Mtu wa miaka 25 sio mwanafunzi huyo? Ugenini ni ugenini tu sio kwao na kama ulivyosema wengine hawana uhalali wa kuishi huko, basi hata kujikimu itakuwa ni kwa kuunga unga.Ukihitaji salamu nenda pwani kwa waswahili,kwangu utaambulia chuya ukalishie kuku!
Bado sijafahamu ni kwanini watanzania wengi wanaoishi nchi za Marekani,Canada na Uk huwa wanamaisha magumu kupita kiasi tofauti kabisa na wale wanaoishi nchi za Scandinavian na Germany!.
Ninawafahamu jamaa kadhaa wanaoishi huko tangu zamani na hakuna walichofanya cha maana kwenye familia zao(Wazazi) hapa Tanzania,wengi huwa wanarudishwa kipindi cha matatizo tu lakini huwezi kuwaona wakiwa wanarudi kipindi cha furaha kuwasalimia ndugu zao.
Watanzania wengi wanaoishi nchi za Scandinavian huwa wamerekebisha makazi ya wazazi wao na pia huwa wamejenga nyumba za kifahari ili wanapokuwa wanakuja likizo basi hufikia huko,siyo nyumba tu bali huwa na usafiri mzuri!.
Hii ni tofauti kabisa na wabongo wanaoishi Marekani,Canada na UK,hawa huwa wanarudi makwao endapo Baba au Mama ni mgonjwa au amefariki kabisa,na huwa wakija hata vaa yao inatia mashaka!.
Huwa wanapenda kuvaa miwani mikubwa kama wachomelea welding na kujifanya kuishangaa Tanzania kana kwamba ni chooni!,Unakuta hata hela ya kuwatoa marafiki zake tu Out hawana zaidi ya kujiongelesha blah blah na masifa kibao!.Wengi wamechoka kimuonekano,Sura hazina nuru na mionekano yao imefubaa!.
Ukiwauliza wanabaki kusingizia Marekani Kodi ni kubwa na Ishu za Bills zinabana kila kona,Unabaki kumshangaa kana kwamba huko Marekani ni yeye tu ndiye Bills hupewa kubwa!.
Wabongo wengi wanaoishi Marekani na Canada waliofanikiwa huwa ni kuanzia Umri wa Miaka 50 - na Kuendelea,hawa ndiyo angalau huwa wamejenga makwao na hata hujitahidi kuprovide kwenye familia zao.
Ila hawa wenzangu na mie kuanzia miaka 25 - 45 huwa hawana cha maana zaidi ya blah blah na ngonjera kibao huku kila muda wakipiga simu na kusimanga serikali na kuwakashifu ndugu kana kwamba wanaishi kwenye vyoo!.
Wengine tunawafahamu wamekwenda huko miaka ya 90 lakini hadi leo ni kuzurura tu hawana paper!.
Any way:
Ukitaka kuona walivyo na hasira,wewe soma comments!
Ni kweli, lakini mimi nimefanya kazi kwenye construction industry nimeona ni wazungu na wahindi ndo wenye nafasi kubwa ya kushinda tender za kazi kuliko kampuni ya mtu mweusi.Una exposure ndogo sana ndio maana unabwabwaja vitu usivyojua. Kwa kifupi manual skills job kama mechanic, plumbing, carpenter nk zinalipa sana tu kuliko hata baadhi ya white color job.
Kuwa nje ya nchi haimaanishi una pesa za kumwaga, ni sehemu mtu aliyoamua kuendesha maisha yake kama sehemu yoyote Tz.Mkuu mafanikio huonekana kwa aliyenayo,wao hata mafanikio hawana hata nauli za kuwaleta kuwaona wazazi wao huwa ni kipengele!
Biashara gani Tz utafanya kwa mafanikio? Watu wanakuja kuwekeza, wanaishia kila siku kuandamwa na kodi, ushuru na ada zisizoeleweka, bado hujaingelea rushwa na wizi. Taratibu, mikataba, haiheshimiwi, haifuatwi, ila kauli ya ccm. WaTz wa Scandinavia waliwekeza Bagamoyo, kwa kukaribishwa na awamu ya 4, imekuja ya 5, hawatakiwi tena.Kwa hali ilivyo sasa kutoboa Marekani ni vigumu sana. Haki za mfanyakazi ni ndogo na pia mfumo wa bima ya afya ni mbovu. Ujerumani ni nchi nzuri sana lakini mpaka uje ujiseti inabidi upate cheti cha huku huku na ujue lugha. Huku malipo yako poa na mfanyakazi unalindwa sana.
Kwa kumalizia mimi naona ukishafanya kazi kwa miaka mitano ukawa na experience ya kutosha kwenye field yako Bora urudi Bongo. Maana kama una mtaji unaweza hata ukaanzisha biashara yako.
Naona umeamua kumsaidia kazi Mzee au sio?Ha ha ha 😳😳😳
Shem TUKANA UONE hohehahe anakuita kenge etii!!
Sasa mkuu niunganishe na rizi moko kwanza kuna kero huku chalinze nataka nimwambie atutatulie 😜
Mbona mizinga haiishi?Ukihitaji salamu nenda pwani kwa waswahili,kwangu utaambulia chuya ukalishie kuku!
Bado sijafahamu ni kwanini watanzania wengi wanaoishi nchi za Marekani,Canada na Uk huwa wanamaisha magumu kupita kiasi tofauti kabisa na wale wanaoishi nchi za Scandinavian na Germany!.
Ninawafahamu jamaa kadhaa wanaoishi huko tangu zamani na hakuna walichofanya cha maana kwenye familia zao(Wazazi) hapa Tanzania,wengi huwa wanarudishwa kipindi cha matatizo tu lakini huwezi kuwaona wakiwa wanarudi kipindi cha furaha kuwasalimia ndugu zao.
Watanzania wengi wanaoishi nchi za Scandinavian huwa wamerekebisha makazi ya wazazi wao na pia huwa wamejenga nyumba za kifahari ili wanapokuwa wanakuja likizo basi hufikia huko,siyo nyumba tu bali huwa na usafiri mzuri!.
Hii ni tofauti kabisa na wabongo wanaoishi Marekani,Canada na UK,hawa huwa wanarudi makwao endapo Baba au Mama ni mgonjwa au amefariki kabisa,na huwa wakija hata vaa yao inatia mashaka!.
Huwa wanapenda kuvaa miwani mikubwa kama wachomelea welding na kujifanya kuishangaa Tanzania kana kwamba ni chooni!,Unakuta hata hela ya kuwatoa marafiki zake tu Out hawana zaidi ya kujiongelesha blah blah na masifa kibao!.Wengi wamechoka kimuonekano,Sura hazina nuru na mionekano yao imefubaa!.
Ukiwauliza wanabaki kusingizia Marekani Kodi ni kubwa na Ishu za Bills zinabana kila kona,Unabaki kumshangaa kana kwamba huko Marekani ni yeye tu ndiye Bills hupewa kubwa!.
Wabongo wengi wanaoishi Marekani na Canada waliofanikiwa huwa ni kuanzia Umri wa Miaka 50 - na Kuendelea,hawa ndiyo angalau huwa wamejenga makwao na hata hujitahidi kuprovide kwenye familia zao.
Ila hawa wenzangu na mie kuanzia miaka 25 - 45 huwa hawana cha maana zaidi ya blah blah na ngonjera kibao huku kila muda wakipiga simu na kusimanga serikali na kuwakashifu ndugu kana kwamba wanaishi kwenye vyoo!.
Wengine tunawafahamu wamekwenda huko miaka ya 90 lakini hadi leo ni kuzurura tu hawana paper!.
Any way:
Ukitaka kuona walivyo na hasira,wewe soma comments!
SawaWewe una matatizo,maisha Yako ya Daraja 3 Kwa Kila Nchi ,Sasa ukifika Marekani utaishia Daraja lipi? Hata Tanzania hapa wapo wa Maisha ya Juu,ya kati na chini kama kwingine Sasa unaposena viongozi
Nimefika Nchi za Africa kadhaa ila Nje ya Nchi Bado na Africa yote Kwa sehemu kubwa inafanana.
Huko Ulaya nk nakuona kwenye picha,video nk na pia nasoma Hali ya maisha, biashara na Uchumi lakini siwezi kutamani.kuishi huko ila kufika na ntafika before 2030 nikiwa mzima.
Nitapata exposure na experience Mpya ila siwezi tamani kuishi Kwa sababu tayari ntakuwa nimejiwekeza Afrika.
👍Wewe una matatizo,maisha Yako ya Daraja 3 Kwa Kila Nchi ,Sasa ukifika Marekani utaishia Daraja lipi? Hata Tanzania hapa wapo wa Maisha ya Juu,ya kati na chini kama kwingine Sasa unaposena viongozi tuu ndio wanaishi maisha mazuri kisa viongozi sio kweli,hao viongozi ni wachache kuliko wengine.
Kinachonikera hapa Tanzania ni kwamba Ukiwa na vihela Ili uwe salama inatakiwa uwe Chana tawala hata kama hutaki hii ndio kero kubwa Sasa kiasi kwamba huna uhuru wa Mali Yako.
MKUU HOJA CYO NAULI HOJA KUISHI HUKO KM INGEKUWA NAULI KILA MTU ANGEFIKAAcha ujinga yaani kufika Marekani ndio mafanikio?,kufika huko ni nauli bei gani? Inazidi mil.2.5?
Afrika ukikomaa hauchelewi kupata mtaji wa kuwa na boda boda tuu Nje kuna mitaji na unakuja kuwekeza Afrika mtu mwenye Njaa ya mafanikio Nchi zilizoendelea ni sahihi kwake kwa kuchanga...Huu ujinga ndio Huwa naukataa,Nchi hizo ziko very exhausted kwenye Kila nyanja ya uchumi.
Afrika ndio Kuna fursa ingawa Changamoto ya Afrika ni mtaji na sio fursa.Binafsi uniambie nichague kazi Ulaya na Afrika nachagua Afrika
Fact.Kwa wengine kufika tuu Marekani ni Mafanikio makubwa.
🤣🤣🤣 eee dada nishakua chawa wa mama na me!!!Naona umeamua kumsaidia kazi Mzee au sio?
Nikuweze kwani nakutaka?😂😂😂Napiga miguu yote miwili, utaniweza?
Yeah.Sawa tubaki wote nyumbani huku tukisubiri umeme wa mgao kutoka kwa mama Abdul