KotelaMamba
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 701
- 1,241
Huko Instagram, Facebook ndio ishu inayotrend kwa sasa.Hahami ntu hapa, Kwanza hatujawahi kuona mikia Yao ukute hawana Matrakoooo aka wowowoo. Misabwanda.
Yaani tuache kujadili swala nyeti la bandari kisa wanawake wakimbizi never ever
Ndio tujue sasa, lengo lao ni kufifisha mjadala wa BandariKwani hao wadada wa Sudan wana nini cha ziada? wanapostiwa kwenye mitandao sura zina unafuu lakini maumbile ya ajabu ajabu, hilo si muhimu kwetu kuliko mjadala wa bandari
Bro hujui hawa jamaa wanavyofanya kaz. Hawa jambo likiwakaba serikali wanatafuta chochote cha kudraw ateshen kwa watu. Wanajua watz wanafuatilia ujinga kuliko vitu vya maana. Hawachelew kuandika Diamond afumaniwa
Kwani hao wadada wa Sudan wana nini cha ziada? wanapostiwa kwenye mitandao sura zina unafuu lakini maumbile ya ajabu ajabu, hilo si muhimu kwetu kuliko mjadala wa bandari
Si mchezoLabda watawahamisha vijana wa Uvccm wasiojua kitu!
Nimeshangaa hadi Diamond kakomaa na Wadada wa SudanNilishasema humu humu jukwaani mapeema ndo wamefika
Kama Ina make sense hivi.Wabongo kwa kutunga hamjambo ila hamjawahi kuvunja rekodi yeyote duniani
Naona hata hao Simba wanaouwa ng'ombe mtasema ni Kiki tu kututoa kwenye mstari
Bandari hii ilikuwa imetoboka na kila kinachoingia mfukoni kinapitiliza na kuchukuliwa na wachache
Sasa miaka yote hiyo tumefaidika na nini ?
Haohao ndotunategemea tudai nao katiba mpya πHizi siku mbili tatu, nikiingia status za whatsap, fb ...watu wapo busy na wanafunzi wapya waliohamishiwa MNH kutoka sudan
Chaajabu hadi watu maarufu nao wapo busy na huo uzuzu.
Hivi ina maana hamjawahi/hawajawahi kuona wadada warembo?
They are acting like they were in boarding schools for 10 consecutive years
Wanaboa π
vinavyo wahusu vinawashinda, busy kudandia u-shushushu
Kabisa yaani, miwazo ya kijingajingaaa imewajaa muda wote mpaka inakera!!Hizi ndio akili za watanzania safari bado ipo sana ya maendeleo Mh. Rais usikatishwe tamaa.
πHaohao ndotunategemea tudai nao katiba mpya π
π€£π€£Nimeshangaa hadi Diamond kakomaa na Wadada wa Sudan
πUna hoja usikilizwe.
Nimekwambia kitengo wanafanya Kaz kuendana na mazingira ya matukio. Hili la wanafunz limetokea katikat ya inshu ya bandari na wakapita nalo ili kuwatoa watu kwenye mjadala.Kwahiyo baada ya ishu ya bandari kitengo wakakimbia chap chap kuchukua wanafunzi Sudan au mpango ulianza lini? Ishu ya bandari imeisha Sasa?
"Maisha haya ya kiwaki hayataki usiriaz"Hizi siku mbili tatu, nikiingia status za whatsap, fb ...watu wapo busy na wanafunzi wapya waliohamishiwa MNH kutoka sudan
Chaajabu hadi watu maarufu nao wapo busy na huo uzuzu.
Hivi ina maana hamjawahi/hawajawahi kuona wadada warembo?
They are acting like they were in boarding schools for 10 consecutive years
Wanaboa π
vinavyo wahusu vinawashinda, busy kudandia u-shushushu