Wabongo wengi wanapenda sana kudandia vitu visivyokuwa na maana. Rejea Wanafunzi wapya wa MNH

Wabongo wengi wanapenda sana kudandia vitu visivyokuwa na maana. Rejea Wanafunzi wapya wa MNH

Pamoja na wewe kuiona kama ni issue serious sana kwa wanaoandika na kupost, unapaswa kuelewa sometimes watu wanafanya utani kusongesha maisha mbele.

Kila kitu ukiweka serious mkuu, hakika utoboi, binafsi kwa umri wangu najifunza kupitia tweeter au hapa, mtu anakutukana humjui/hakujui so ukiwa na hasira unarusha matusi kumjibu, then what you gain next?.
 
Usikariri maisha Mkuu mambo yenyewe ni mengi na yanatushinda Wacha tupate break kidogo....don't be toooo serious in life utateseka sana[emoji13][emoji13]muda mwengine unajiachia vimizaha kidogo userious kidogo life linasonga...
Umeongea point sana muulize tukiwa serious ndo bandari haitouzwa alafu atupe jibu wacha watu wafurah maana hakuna cha maana viongozi wetu wanachofanya ni upuuzi
 
Unashanga Watanzania sisi
Uzizi
Kushadadia ujinga kama unayosema
Elimu ya uraia
Kipato duni
Ukosefu wa ajira ya inayoeleweka inakufanya akili yako ishindwe kufikiria ya maana ili kuleta maendeleo
👆hivyo vitu ndivyo utafanya hivyo unavyotuona na baadhi ya viongoz ufurahi ili waendelee kutawala mjomba tunasafari ndefu tena Sana usije shangaa wengine hapa wakaja kukuponda
 
Hizi siku mbili tatu, nikiingia status za whatsap, fb ...watu wapo busy na wanafunzi wapya waliohamishiwa MNH kutoka sudan

Chaajabu hadi watu maarufu nao wapo busy na huo uzuzu
Hivi ina maana hamjawahi/hawajawahi kuona wadada warembo?

They are acting like they were in boarding schools for 10 consecutive years

Wanaboa 😠

vinavyo wahusu vinawashinda, busy kudandia u-shushushu
Utuache na watoto wa Khartoum hata Kama hawana chura

They are gorgeous
 
Bro hiyo ni kazi ya kile kitengo wala usiumize kichwa. Wanataka kupotezea watu waache kujadili kuhusu ishu ya bandari imewakalia vibaya.
Kama nimekuelewa vile nikijaribu kuunganisha dots[emoji848]
 
Kitengo kina mbinu nyingi ku-divert, raia watanzania ndo the cheapest pple to be managed/manipulate ni wepesi sana kuwatoa kwenye mada, kitengo hakitumii nguvu nyingi kabisa.......mbinu nyingi za kuwapoteza hawa semi literate na iliterate raia ebu nikupe mfano, sasa hivi watangaze kwamba yanga ananyanganya ubingwa kwa kukiuka cannot za TFF hata kama ni hoax, hamna atakae jadili bandari tena hapa.
Nakukatalia hapo uliposema raia wa Tanzania ni warahisi, unadhani hata utoke useme kwa kutumia njia zote uzijuazo ni nini kitabadilika katika kile ambacho kilishaamriwa hata kabla hakijaja kwako..???

Mifumo mibovu ya nchi na uendeshaji mbovu wa nchi msiunganishe na akili za wa Tanzania, tujadili ana tusijadili kuhusu bandari hakuna kitakachobadilika, sababu ya wachache ambao wao ndio wana mamlaka ya kutaka nini na waache nini...??

Hivyo waacheni watanzania wale raha ya maisha angalau hata kwa kufanya mizaha mitandaoni, siasa zenyewe hazieleweki
 
Back
Top Bottom