Wabunge 19 wa CHADEMA- Matokeo ya kughushi uchaguzi wa 2020

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Uchaguzi wa 2020 ulikuwa wa kughushi-forgeries, kwa vigezo vyote.
Hata CCM wanalijua hilo.

Mazingira na mipango yote ya serikali ilitayarishwa ili mtu mmoja aamue, na ni kwa matakwa yake tu, nani anaingia bungeni.
Kuanzia tume ya uchaguzi, wasimamizi hadi kura za mabegi za kughushi.

Watanzania wanalijua hilo.

Kuna wakati Magufuli alisema hadharani, siwezi kumpa DED kazi na akampitisha mpinzani kuwa mbunge ati kisingizio uchaguzi!

Aliyetayarisha huo ughushi hakuwa na akili sana, matokeo yake yakawa predictable. Nchi nzima mpinzani aliyepata kura ni mmoja tu!
Naye sijui alipitaje!

Kwa viongozi wa kughushi wakawa wamejipatia tatizo jingine kubwa.

Kuna nafasi za kamati bungeni Kikatiba lazima ziongozwe na kambi ya upinzani! Sasa ilibidi Forgerer-in-Chief aagize forgery na kuwaingiza tume ya uchaguzi kughushi namna ya kuwaingiza hao wajumbe 19 toka upinzani kwa nafasi ya wanawake.

Mchezo ulichezwa na Spika Ndugai na tume ya uchaguzi.

Hapo ndipo tulipo-wabunge 19 wa CHADEMA wa kughushi, na wengine wengi tu wa CCM.

UPDATE
Wabunge 19 wa kughushi kupitia uchochoro wa Spika Ndugai ndio wameenguliwa rasmi ufadhili wa chama chao CHADEMA.

Wale 19 hawakuwahi kuwa chagup la chama chao.
Ni muhimu sasa kuwa na tume ya kuchunguza walifika fikaje kuwa wabunge.Heads must roll Tume ya Uchaguzi.
 
Lawama za udhaifu wa upinzani zote anapewa Magufuli.

Wapinzani wetu wamejaa njaa tupu. Ni wachache sana ambao wanaweza kusimama peke yao.

Anzia Mbowe, huyu ni mchumia tumbo, Msigwa, huyu njaa inataka kumuua anaropoka tu. Lissu, atleast huyu anaweza kuishi bila kuhongwa ila tayari kwa sasa yuko compromised.

Ukija kwa wanawake na kina Zitto ndio hao mnaowaona, njaa tupu.

Hii nchi kinachotuangusha ni udhaifu wa upinzani. Wana njaa sana.
 
Uchaguzi wa 2020 ulikuwa wa kughushi-forgeries, kwa vigezo vyote.
Hata CCM wanalijua hilo.

Mazingira na mipango yote ya serikali ilitayarishwa ili mtu mmoja aamue, na ni kwa matakwa yake tu, nani anaingia bungeni...
It was a mechanized robery kind of election. Ukipita nao vibaya ile tar 27 na 28 wangekufanya kitu kubaya.

Tunashukuru Rais Samia wetu anataka kuleta utengano nchinj
 
Lawama za udhaifu wa upinzani zote anapewa Magufuli.

Wapinzani wetu wamejaa njaa tupu. Ni wachache sana ambao wanaweza kusimama peke yao.

Anzia Mbowe, huyu ni mchumia tumbo, Msigwa, huyu njaa inataka kumuua anaropoka tu. Lissu, atleast huyu anaweza kuishi bila kuhongwa ila tayari kwa sasa yuko compromised.

Ukija kwa wanawake na kina Zitto ndio hao mnaowaona, njaa tupu.

Hii nchi kinachotuangusha ni ushaifu wa upinzani. Wana njaa sana.
Haya majiby kamwambie Jaji Mtungi, Jaji Mihayo na Dr Wilson Mahera🤣🤣🤣
 
Na aliyeapishwa kimagumash sasa hivi yuko six feet under.
Yule mtu alikuwa mshenxi hasa. Kwanza ni fedheha kwa taifa kuendelea kulitumia jina lake katika vitu vya kitaifa kama madaraja, barabara au stand.

Pia hata familia yake kuipatia pension na stahili zingine ni makosa maana alipaswa kulaaniwa yeye na uzao wake hadi kizazi cha tatu.
Maelfu ya watu wameharibikiwa maisha hadi wengine ni vilema au kufa kwa sababu za roho yake mbaya kisha wana mtajataja kama wa maana vile mtu wa maana vile?
 
Pesa kitu gani, waache walipwe mafao ya maliemu lakini laana ya kuvuruga uchaguzi itawafikia mpaka kizazi cha nne.
 
Uchaguzi wa 2020 ulikuwa wa kughushi-forgeries, kwa vigezo vyote.
Hata CCM wanalijua hilo.

Mazingira na mipango yote ya serikali ilitayarishwa ili mtu mmoja aamue, na ni kwa matakwa yake tu, nani anaingia bungeni...
Wanajitahidi kuwashawishi CHADEMA wawasamehe ili waponee aibu yao ya wizi uliopitiliza wa kura halali. Aibu yao!

Wanaanza kumkaribisha Mh.Mwenyekiti White House mara kwa mara.
 
Lawama za udhaifu wa upinzani zote anapewa Magufuli.

Wapinzani wetu wamejaa njaa tupu. Ni wachache sana ambao wanaweza kusimama peke yao.

Anzia Mbowe, huyu ni mchumia tumbo, Msigwa, huyu njaa inataka kumuua anaropoka tu. Lissu, atleast huyu anaweza kuishi bila kuhongwa ila tayari kwa sasa yuko compromised.

Ukija kwa wanawake na kina Zitto ndio hao mnaowaona, njaa tupu.

Hii nchi kinachotuangusha ni udhaifu wa upinzani. Wana njaa sana.
Nani ccm Hana njaa
 
Back
Top Bottom