Wabunge 19 wa CHADEMA watinga Mlimani City

Majibu ya kile husichokifahamu ni kwamba hukijui.
 

Mazingira yamebadilika japo bado uchaguzi ule ulikuwa wa kihayawani. Ukitaka kujua mazingira yamebadilika tazama zile kejeli za dhalimu dhidi ya wazungu, na jinsi mama yuko karibu na Wazungu kwasasa, mpaka Piraah katengeneza movie la Roho Tua na bi tozo. Kwasasa dhalimu yuko motoni, na spika aliyekuwepo anagombea nafasi za maswali ya nyongeza na kina msukuma. Kipi huelewi hapo?
 
Whatever the case, Mbowe ndio muamuzi! Tutulie na kusubiri nini ataamua. Akitaka kuwasamehe mtabadili gia angani penda msipende. Hizi siasa zetu usiwe na maneno mengi sana! Subiri matokeo
Endelea kumfuatilia na yule padri wenu balozi mstaafu muendelee kula mihogo
 
Yule mmoja mnamuogopa sana inashangaza mno uchaguzi mliouona batili na onyo akapewa kapuuza(since day one alikubali ushindi wake kuwa halali)

Pili mnaowaita covid mnawaogopa sana. Chadema kinajulikana kutimua wanachama wake fasta ila akina halima wanawahenyesha,kama kweli walifoji saini mbona mnapiga danadana kuwafukuza,zitto na wenzie wala chama hakikuchukua muda mrefu kuwatimua. Acheni kiki wakuu iwe covid 19 au 20 wote kwa apomoja waliutambua kuwa uchaguzi halali wakati chama kiliukataa
 
Yule dem mwenye kimuhemuhe wa cdm haonekani leo!!! naona atakuwa mkutanoni kusikilizia dili wabunge 19 wachomoke na yy apate chansi.....
yule dem mwenye pic ya kihindi
 
Lakini bado Ccm ni ile ile.
 
Utabiri wangu watasamehewa tu hakuna jipya.
 
Wewe umeanza kumpinga Mbowe sasa, yatakukuta yaliyomkuta Zitto na Kitila Mkumbo.

Mbowe ni nguzo muhimu ndani ya Cdm kwa Sasa.
Retired JokaKuu Nguruvi3 zitto junior
 
Hii pointi yako ya msingi sana, let's wait and see the outcome.
 
Kisha uchaguzi wa 2020 utakuwa ulikuwa wa haki?
 
Zama zimebadilika mkuu! Ni kweli tulikataa matokeo ya uchafuzi ule, lakini kazi ya Mungu ya tarehe 17 March 2021, haina makosa! Hatuwezi kukataa matokeo ya kazi ya Mungu, ni lazima kushirikiana na walio baki kuijenga nchi!
 
Siipuzi nguvu ya Mbowe acha upotoshaji wa kijinga, nasema kwa sasa muda wa yeye kuendelea kuwa mwenyekiti umepita. Kipi huelewi hapo?
Unasema wewe kama nani?

Kama umepita mbona anaendelea kuwa mwenykiti?

Mkubali tu kwamba chadema ni Mbowe na Mbowe ndio chadema!

Na kwa maneno yenu huwa mnasema kabisa akitoka mbowe uenyekiti chama kitakufa maana ccm itaweka mamluki.
 
Kusaliti msimamo wa chama wa kutotambua matokeo ya uchaguzi haramu wa yule dhalimu wa chattle.
Vipi wakiteuliwa wengine.?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Huwa nakuonea huruma Mbowe anavyowapelekesha
 
Kwahiyo sasa hivi mna haki zote za kisiasa baada ya dhalimu kuwa motoni?
 
Kwa hiyo wakiadhibiwa alafu mkapelekewa wabunge wengine msimamo huo vipi unakuwaje?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mashabiki wa chadema hadi huruma yani
 
Hawa kukumaji wakisamehewa na kuachwa waendelee kuwa wabunge kwa uharamia waliofanya natangaza rasmi narudisha kadi yangu rasmi ya cdm najiunga na chama kingine........ tutakua tumetofautiana sana kiitikadi na mitazamo
Mbona hukurudisha Lowasa na Sumaye walipoiteka chadema?
 
Acha kuongopa!

Mbowe mwenyewe kwa mdomo wake alisema chadema haitambui matokeo na haina mbunge hata mmoja bungeni
 
Hayo ndio yamefanya sasa ule uchaguzi uwe halali?

Kwa hiyo kuwasifia wazungu ndio furaha yenu?

Ok.. Kama bado mnasema siyo halali, kwa hiyo mnaenda kushiriki na watu haramu?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mbowe huwa anajigeuzia tu wafuasi wake kama chapati!

Na vipi katiba mpya mmefikia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…