#COVID19 Wabunge 38 wa Uganda waliokuwa Arusha wakutwa na Corona, waliobaki waambiwa wajitenge

haya mambo yanafikirisha san, au Tanzania hatuna uwezo wa kupima kitusi kipya
 
haya mambo yanafikirisha san, au Tanzania hatuna uwezo wa kupima kitusi kipya
Unapima ili upatiwe dawa gani? Wewe chukua tahadhari ugonjwa upo na pengine umesha ugua na kupona au unaishi nao mwilini. Sasa kuna maana gani kwenda public na kupublish takwimu ambazo hazikusaidii kuleta dawa
 
Jumuiya ya Afrika Mashariki inaundwa na Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Sudan ya kusini

Ndio kusema katika wabunge wote wa hizi nchi 6 ni wale wa Uganda pekee ndio wamepata maambukizi ya covid 19 jijini Arusha?

Kuna kitu hakiko sawa bwashee!
 

Wengine watakuwa waliondoka na yale mafua yetu ya kawaida
 
ukimwamini huyu imekula kwako,
alituaminisha Mh. Rais Magufuli yu mzima na anaendelea kuchapa kazi. Aibu kubwa ikamkuta ile March 17, 2021! RIP JPM
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hao wa kwenu wamejipima? Ugonjwa wa sasa hugundulika kwa kupima, dalili zinajificha.
 
Huo ugonjwa upo ila huku unaitwa mafua ya msimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…