Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana naweza kusema hvyo. Yaani wanajali matumbo yao kuliko vizazi vya taifa hili. Tumeona Uganda na Kenya Marais wao wamejitokeza hadharani kuupinga ushoga wazi wazi lakini Tanzania sijaona kiongozi yoyote hata Mwenyekiti wa mtaa akiliongelea jambo hilo.
Hivi mama Samia Mbona sikusikii katika hili? Kizazi kinaharibika mikononi mwako hiki. Simama zungumza hadharani sio zile propaganda mara sijui msiige kutoka sijui wapi. Simama mbele ya hadhara zungumza kwa sauti dunia ikusikie kwamba "Mimi kwenye nchi yangu ushoga ni marufuku." Kwani jamani hiyo misaada sisi ndio tutakuwa wa kwanza kuikosa? Kwani tutakufa? Pamoja na hiyo misaada mbona mchele ni 3500 na mafuta ni 8000/tr mbona hatufi?
Na nyie Wabunge mnaojiita mnawawakilisha wananchi ndio bure kabisa. Hivi kweli hamuoni kizazi kinavyoangamia hiki? Sasa angalia askari naye kafanya yake. Yaani mume wa mke na baba wa watoto na askari mtuliza ghasia naye ni shoga. Hivi hamuoni kama tumefika mbali sana? Potelea pote, peleka muswada wa sheria, itungieni sheria kwamba ushoga na usagaji ni kosa tena litungiwe adhabu kali. Dunia itaiheshimu Tanzania.
Yaani mnajali tu hiyo misaada mnasahau kabisa kizazi kijacho. Hivi kweli nchi kama Tanzania sasa ushoga umeingia mpaka jeshini kuna usalama hapa kweli?
Nayaandika haya kwa uchungu sana. Kinachoniuma sijaona kiongozi hata mmoja mwenye dhamira ya dhati ya kulikomesha hili. Inabaki ni propaganda tu lakini kama nchi hatuna msimamo katika hili.