Wabunge kama kweli mnalipenda taifa hili na kizazi chake tungeni sheria kupiga marufuku ushoga

Wabunge kama kweli mnalipenda taifa hili na kizazi chake tungeni sheria kupiga marufuku ushoga

Mtamkumbuka mwamba sasa, round hii iko pamoja na mqbeberu. Hiyo misaada unaonekana ndio pesa ya kuitunza familia, ikikosekana familia itakufa kwa njaa. Cha muhimu ni kushikiza mpaka watoe msimamo wao katika janga hili. Kelele zipigwe kwa wingi kuwashinikiza watoe ufafanuzi, tujue wako upande gani au sio?
 
Mtamkumbuka mwamba sasa, round hii iko pamoja na mqbeberu. Hiyo misaada unaonekana ndio pesa ya kuitunza familia, ikikosekana familia itakufa kwa njaa. Cha muhimu ni kushikiza mpaka watoe msimamo wao katika janga hili. Kelele zipigwe kwa wingi kuwashinikiza watoe ufafanuzi, tujue wako upande gani au sio?
Enzi za mwamba hili swala ndio lilihalalishwa

 
Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana naweza kusema hvyo. Yaani wanajali matumbo yao kuliko vizazi vya taifa hili. Tumeona Uganda na Kenya Marais wao wamejitokeza hadharani kuupinga ushoga wazi wazi lakini Tanzania sijaona kiongozi yoyote hata Mwenyekiti wa mtaa akiliongelea jambo hilo.

Hivi mama Samia Mbona sikusikii katika hili? Kizazi kinaharibika mikononi mwako hiki. Simama zungumza hadharani sio zile propaganda mara sijui msiige kutoka sijui wapi. Simama mbele ya hadhara zungumza kwa sauti dunia ikusikie kwamba "Mimi kwenye yangu ushoga ni marufuki." Kwani jamani hiyo misaada sisi ndio tutakuwa wa kwanza kuikosa? Kwani tutakufa? Pamoja na hiyo misaada mbona mchele ni 3500 na mafuta ni 8000/tr mbona hatufi?

Na nyie Wabunge mnaojiita mnawawakilisha wananchi ndio bure kabisa. Hivi kweli hamuoni kizazi kinavyoangamia hiki? Sasa angalia askari naye kafanya yake. Yaani mume wa mke na baba wa watoto na askari mtuliza ghasia naye ni shoga. Hivi hamuoni kama tumefika mbali sana? Potelea pote, peleka muswada wa sheria, itungieni sheria kwamba ushoga na usagaji ni kosa tena litungiwe adhabu kali. Dunia itaiheshimu Tanzania.

Yaani mnajali tu hiyo misaada mnasahau kabisa kizazi kijacho. Hivi kweli nchi kama Tanzania sasa ushoga umeingia mpaka jeshini kuna usalama hapa kweli?

Nayaandika haya kwa uchungu sana. Kinachoniuma sijaona kiongozi hata mmoja mwenye dhamira ya dhati ya kulikomesha hili. Inabaki ni propaganda tu lakini kama nchi hatuna msimamo katika hili.
Hawapingi ushoga, bali wanazungumzia ushoga kupinga ushoka ni kuweka mikakati kama vile madawa kulevia, ubakaji, kupatika na silaha, kuozesha mtoto chini ya miaka 18. Hayo niliyotaja ndio yanayopigwa vita na hao wanaosema sio ushoga ndugu, lakini Waafrika ni wanafiki sana, wanajitia kupiga vita ushoga hali ya kuwa kwenye majumba yao kuna watoto wao, dada zao, mama zao kutwa wana kodisha miili yao kwa wanaume. Hili ni zinaa, halafu wanajiita watu wa dini. Dini gani inayopinga ushoga na kuruhusu ukahaba hovyo kabisa?
 
Mbona yapo mengi tu serikali imeshindwa kuyadhibiti lakini angalau wanatoa matamko, kwanini Katika hili unataka wanyamaze?
kusema bila vitendo haisaidii mse7 tangu ameanza kupinga ushoga kwenye nchi yake usinge kuwepo
 
Kwa jinsi Tanzania ilivyo na changamoto nyingi kuanzia Maji, Umeme, Afya, Elimu, Uchumi, Ajira, Ufisadi, Rushwa,n.k

Halafu Wananchi wasililie hayo wakalilie sheria ya kupinga Ushoga aisee tutaendelea kutawaliwa vizazi na vizazi kwa ujinga wetu.
 
Nyie mnashindwa kuwazuia humu wale wa kataa ndoa hao ndo wanaanzisha ushoga badae nilimuelewa jamaa mmoja humu alileta uzi wa mfumo dume inabid tuishi ivo
 
We vipi? Angalia upepo wa ushoga unavuma kutoka wapi. Kama unavuma kutoka nchi wafadhili na wahisani itakuwa ni shughuli pevu kutunga sheria hiyo. Nchi itaandamwa kuwa inakandamiza haki za binadamu na haina demokrasia.
 
Hali inazidi kuwa mbaya sijui Nani atanusuru
 
Sheria mbona ipo, kinachotakiwa ni utashi wa kisiasa na matamko ya kusimamia hiyo sheria

It is prohibited under the Penal Code 1945, which criminalises acts of ‘carnal knowledge against the order of nature’ and ‘gross indecency’. This law carries a maximum penalty of life imprisonment. Both men and women are criminalised under this law.
 
Tupe sheria ya karne ya 7 hapa mke wa papa wewe


Au unampinga papa kutaka nyie muolewe
Acha makasiriko
Mbusu jiwe mwenzako kasema ni mbaya kuoza mtoto
Kajisahau mudy alikuwa anapiga mbupu mbaya kabisa katoto Cha miaka 6 ka Aisha , kakachakaza mbaya kabisa mudy kafa ka Aisha ndo kana miaka 18
 
Acha makasiriko
Mbusu jiwe mwenzako kasema ni mbaya kuoza mtoto
Kajisahau mudy alikuwa anapiga mbupu mbaya kabisa katoto Cha miaka 6 ka Aisha , kakachakaza mbaya kabisa mudy kafa ka Aisha ndo kana miaka 18
Hapa sio makasiriko tuoneshe sheria ya karne ya 7 hapa kama huna tulia

Subiri kuolewa kama mkubwa wenu alivyo sapoti
 
Back
Top Bottom