[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushoga na ufisadi ni kama bp na kisukari
Kataa ndoa hawakatai kutombaNyie mnashindwa kuwazuia humu wale wa kataa ndoa hao ndo wanaanzisha ushoga badae nilimuelewa jamaa mmoja humu alileta uzi wa mfumo dume inabid tuishi ivo
Msimamo wa serikali ni huu, au wee unataka upi tenaa??Tunamtaka Mama atoke nje na apinge Ushoga hadharani kabisa na wala sio kimafumbo mafumbo hii ya kupinga ushoga kwa mafumbo mafumbo haikubaliki kamwe, make kuwa neutro ni sawa tu unasapoti.
Tunataka msimamo rasimi wa Serikali kuhusu Ushoga na huo msimamo usambazwe nchi nzima, na tofauti na hapo nitaendelea kuhesabu Tanzania ni moja ya mataifa yanayo sapoti ushoga na kujifanya kupinga ushoga kimafumbo mafumbo.
Bado kauli ya Kangi Lugola kuhusu Ushoga haijawahi kakanushwa.
Ni huruma ya majaji tu, hata yule James Delicious na Amber Rutty, ilikuwa ni huruma ya jaji tu, hakimu hakatazwi kuweka hurumaSasa mbna hawajawahi kufungwa?? Ile sheria iko relevant kwenye ulawiti, na sio ushoga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeee
Haitokaa itokee mzee Mimi Ni dume halisiUnahisi unaweza kugeuka kuwa shoga??
Kwahiyo mkuu unajisikia raha sana kupumuliwa huku una mashine kabisa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo hapo sasa. Yaan wanachekeshaa had bas.
Yapi maoni yako,🤔Habari wana JF.
Kwa sasa mataifa ya Kiafrika yameshuhudia ujio na uwepo mkubwa wa matendo ya ushoga na usagaji ambao kama hatutakuwa makini mataifa yetu yataangamia.
Tanzania kama zilivyo nchi nyingine za Kiafrika imeathrika.Ikumbukwe majirani zetu Uganda na Kenya zimeishaonyesha misimamo yao ya kupinga kwa nguvu kubwa suala hili kwa ama kutunga sheria kali au kukusudia kupeleka mswada wa kutoruhusu mambo haya.
Kwa Tanzania Mama hajasema kitu, natamani kusikia sauti yake juu ya hili.
Ikumbukwe mambo haya ni mipango ya wazungu kupunguza idadi ya wa Afrika na kuwafanya wapumbavu ili wachukue rasilimali zetu.
Vita hii hi yetu sote.
Sheria Za kupinga ubasha zililetwa na wazungu.Mind colonization ni mbaya sana mzungu aliweka malengo ya muda mrefu na anafanikiwa kwa sasa
Mambo lazima yaitwe kwa lugha sahihi, ni UBASHA sio ushogaHii nchi ina viongozi wa ajabu sana naweza kusema hvyo. Yaani wanajali matumbo yao kuliko vizazi vya taifa hili. Tumeona Uganda na Kenya Marais wao wamejitokeza hadharani kuupinga ushoga wazi wazi lakini Tanzania sijaona kiongozi yoyote hata Mwenyekiti wa mtaa akiliongelea jambo hilo.
Hivi mama Samia Mbona sikusikii katika hili? Kizazi kinaharibika mikononi mwako hiki. Simama zungumza hadharani sio zile propaganda mara sijui msiige kutoka sijui wapi. Simama mbele ya hadhara zungumza kwa sauti dunia ikusikie kwamba "Mimi kwenye nchi yangu ushoga ni marufuku." Kwani jamani hiyo misaada sisi ndio tutakuwa wa kwanza kuikosa? Kwani tutakufa? Pamoja na hiyo misaada mbona mchele ni 3500 na mafuta ni 8000/tr mbona hatufi?
Na nyie Wabunge mnaojiita mnawawakilisha wananchi ndio bure kabisa. Hivi kweli hamuoni kizazi kinavyoangamia hiki? Sasa angalia askari naye kafanya yake. Yaani mume wa mke na baba wa watoto na askari mtuliza ghasia naye ni shoga. Hivi hamuoni kama tumefika mbali sana? Potelea pote, peleka muswada wa sheria, itungieni sheria kwamba ushoga na usagaji ni kosa tena litungiwe adhabu kali. Dunia itaiheshimu Tanzania.
Yaani mnajali tu hiyo misaada mnasahau kabisa kizazi kijacho. Hivi kweli nchi kama Tanzania sasa ushoga umeingia mpaka jeshini kuna usalama hapa kweli?
Nayaandika haya kwa uchungu sana. Kinachoniuma sijaona kiongozi hata mmoja mwenye dhamira ya dhati ya kulikomesha hili. Inabaki ni propaganda tu lakini kama nchi hatuna msimamo katika hili.
Nashauri mashoga,wateja wao,machangudoa na wateja wao waminywe kimyakimya.Yaani Kama kuwe na predator hivi la kuwakata vichwa au tupu zao!Hapa wasiojulikana wanatakiwa waanze kazi ambayo kwa miaka kadhaa wamekula mishahara bure