Wabunge kama kweli mnalipenda taifa hili na kizazi chake tungeni sheria kupiga marufuku ushoga

Wabunge kama kweli mnalipenda taifa hili na kizazi chake tungeni sheria kupiga marufuku ushoga

Tunamtaka Mama atoke nje na apinge Ushoga hadharani kabisa na wala sio kimafumbo mafumbo hii ya kupinga ushoga kwa mafumbo mafumbo haikubaliki kamwe, make kuwa neutro ni sawa tu unasapoti.

Tunataka msimamo rasimi wa Serikali kuhusu Ushoga na huo msimamo usambazwe nchi nzima, na tofauti na hapo nitaendelea kuhesabu Tanzania ni moja ya mataifa yanayo sapoti ushoga na kujifanya kupinga ushoga kimafumbo mafumbo.

Bado kauli ya Kangi Lugola kuhusu Ushoga haijawahi kakanushwa.
Msimamo wa serikali ni huu, au wee unataka upi tenaa??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums-460527473.jpg
 
Sasa mbna hawajawahi kufungwa?? Ile sheria iko relevant kwenye ulawiti, na sio ushoga.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeee
Ni huruma ya majaji tu, hata yule James Delicious na Amber Rutty, ilikuwa ni huruma ya jaji tu, hakimu hakatazwi kuweka huruma
 
Ni kweli Kuna uhusiano mkubwa kati ya HALI YA KUMCHA MUNGU NA KAULI YA MKUU WA NCHI.MUNGU YUKO TAYARI KUISAIDIA NCHI ILA ANASUBIRI KAULI YA ANAYEKALIA KITI CHA UFALME.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo hapo sasa. Yaan wanachekeshaa had bas.
Kwahiyo mkuu unajisikia raha sana kupumuliwa huku una mashine kabisa?
 
Habari wana JF.
Kwa sasa mataifa ya Kiafrika yameshuhudia ujio na uwepo mkubwa wa matendo ya ushoga na usagaji ambao kama hatutakuwa makini mataifa yetu yataangamia.
Tanzania kama zilivyo nchi nyingine za Kiafrika imeathrika.Ikumbukwe majirani zetu Uganda na Kenya zimeishaonyesha misimamo yao ya kupinga kwa nguvu kubwa suala hili kwa ama kutunga sheria kali au kukusudia kupeleka mswada wa kutoruhusu mambo haya.

Kwa Tanzania Mama hajasema kitu, natamani kusikia sauti yake juu ya hili.
Ikumbukwe mambo haya ni mipango ya wazungu kupunguza idadi ya wa Afrika na kuwafanya wapumbavu ili wachukue rasilimali zetu.

Vita hii hi yetu sote.
 
Mbona kashasema Sana tu ikiwa ni pamoja na kuasa vijana kuiga haya mambo kutoka nje?
 
Habari wana JF.
Kwa sasa mataifa ya Kiafrika yameshuhudia ujio na uwepo mkubwa wa matendo ya ushoga na usagaji ambao kama hatutakuwa makini mataifa yetu yataangamia.
Tanzania kama zilivyo nchi nyingine za Kiafrika imeathrika.Ikumbukwe majirani zetu Uganda na Kenya zimeishaonyesha misimamo yao ya kupinga kwa nguvu kubwa suala hili kwa ama kutunga sheria kali au kukusudia kupeleka mswada wa kutoruhusu mambo haya.

Kwa Tanzania Mama hajasema kitu, natamani kusikia sauti yake juu ya hili.
Ikumbukwe mambo haya ni mipango ya wazungu kupunguza idadi ya wa Afrika na kuwafanya wapumbavu ili wachukue rasilimali zetu.

Vita hii hi yetu sote.
Yapi maoni yako,🤔
 
Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana naweza kusema hvyo. Yaani wanajali matumbo yao kuliko vizazi vya taifa hili. Tumeona Uganda na Kenya Marais wao wamejitokeza hadharani kuupinga ushoga wazi wazi lakini Tanzania sijaona kiongozi yoyote hata Mwenyekiti wa mtaa akiliongelea jambo hilo.

Hivi mama Samia Mbona sikusikii katika hili? Kizazi kinaharibika mikononi mwako hiki. Simama zungumza hadharani sio zile propaganda mara sijui msiige kutoka sijui wapi. Simama mbele ya hadhara zungumza kwa sauti dunia ikusikie kwamba "Mimi kwenye nchi yangu ushoga ni marufuku." Kwani jamani hiyo misaada sisi ndio tutakuwa wa kwanza kuikosa? Kwani tutakufa? Pamoja na hiyo misaada mbona mchele ni 3500 na mafuta ni 8000/tr mbona hatufi?

Na nyie Wabunge mnaojiita mnawawakilisha wananchi ndio bure kabisa. Hivi kweli hamuoni kizazi kinavyoangamia hiki? Sasa angalia askari naye kafanya yake. Yaani mume wa mke na baba wa watoto na askari mtuliza ghasia naye ni shoga. Hivi hamuoni kama tumefika mbali sana? Potelea pote, peleka muswada wa sheria, itungieni sheria kwamba ushoga na usagaji ni kosa tena litungiwe adhabu kali. Dunia itaiheshimu Tanzania.

Yaani mnajali tu hiyo misaada mnasahau kabisa kizazi kijacho. Hivi kweli nchi kama Tanzania sasa ushoga umeingia mpaka jeshini kuna usalama hapa kweli?

Nayaandika haya kwa uchungu sana. Kinachoniuma sijaona kiongozi hata mmoja mwenye dhamira ya dhati ya kulikomesha hili. Inabaki ni propaganda tu lakini kama nchi hatuna msimamo katika hili.
Mambo lazima yaitwe kwa lugha sahihi, ni UBASHA sio ushoga
 
Sheria inayoongoza dunia ya giza ni Thesis + Antithesis = Syntheisis.

Tengeneza hoja A + Tengeneza hoja B inayopinga A = Kile kiovu kilichokusudiwa kuhalalishwa.

Kwa kanuni hii hii natabiri nchi za kwanza EA kuhalalisha Ushoga zitakuwa Kenya na Uganda.

Kwa sababu Sheria zipo, Misimamo yetu inafahamika. Tuanzie hapo tu kutekeleza sheria. Kuwaminya kimyakimya kama wao wanavyojipenyeza kimyakimya. Kuziba mianya yote kama ambavyo tulizuia vitabu mashuleni vinavyohamasisha janga hili.

Suala la Ushoga ni suala la kiroho na kimaadili sio kisiasa. Tukiliingiza kwenye siasa nchi shoga zote zitatushinda.
 
SEXUAL CONSENT AND VICTIMHOOD ARE ESSENTIAL CRITERIA IN DETERMINING WHETHER A PARTICULAR SEXUAL-RELATED MATTER SHOULD BE OUTLAWED OR OTHERWISE.

YOU CAN NOT CRIMINALIZE A CONSENSUAL VICTIMLESS ACT.

IT CONTRAVENES PRINCIPLES OF CRIMINAL LAW AND CONSTITUTIONALLY PROTECTED BASIC RIGHTS WHICH THE GOVERNMENT SWORE TO UPHOLD.
 
Back
Top Bottom