Tetesi: Wabunge kumpigia kura Spika wa Bunge kutokuwa na imani

Yaani wampinge 1 of their own?
 
Hoja zote hizo hazina mashiko ya kutokuwa na imani na Mhe Spika, bora hoja ya Kikokotoo
 
Huyo spika alizoea bunge lenye wapinzani, na akawa kazi yake ni kuwakomoa kwenye kila hoja yao. Matokeo yake tabia ile imegeuka kilema kwake, hivyo kila mwenye hoja kinzani na serekali kwake ni kumzuia tu. CCM vumilieni upuuzi mlioulea kugeuza bunge kuwa chombo cha kuikinga serekali, badala ya kuisimamia na kuiwajibisha.
 
Miano tena! Wapinzani wametuchelewesha sana guys in the voice of lemutus you know!
 
yuko kwa ajili ya Rais ashasema mbona ni mkubwa na yuko juu ya mihimili yote mnataka ahatarishe kibarua chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…