Tetesi: Wabunge kumpigia kura Spika wa Bunge kutokuwa na imani

Hiyo jeuri hawana! Kwanza 95% next uchaguzi wanatupwa nje maana walibebwa na JPM. Bora wajijengee heshima wapiganiwe na wananchi lakini kwenye chama hawatoboi.
 
Kuna tetesi kuwa baadhi ya wabunge wamejipanga kuwasilisha hoja bungeni ya kutokuwa na imani na Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson baada ya kuonekana wazi kushindwa kuuongoza mhimili huo kwa manufaa ya watanzania.

Hatua ya wabunge hao inakuja baada ya Spika kuzima ajenda za wananchi ambapo baadhi ya wabunge walitaka masuala hayo yajadiliwe bungeni yeye akayazuia yote.

(i) Hoja ya kujadili Ripoti ya CAG (Mhe. Ole Sendeka)
(ii) Hoja ya kujadili uvamizi wa tembo kwa wananchi( Mhe. Bahati)
(iii)Hoja ya tatizo la mbolea na kufutiwa leseni mawakala wa mbolea( Mhe. Msambatavangu)
(iv)Hoja ya ajira kutolewa kwa upendeleo (Mh. Mwita Waitara)
Tanzania haijawahi kuwa na spika wa hovyo kama tulia ametulia kweli kweli

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hyo ni ndoto ya alinacha haijawahi na haitowahi tokea Tz
Kuna tetesi kuwa baadhi ya wabunge wamejipanga kuwasilisha hoja bungeni ya kutokuwa na imani na Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson baada ya kuonekana wazi kushindwa kuuongoza mhimili huo kwa manufaa ya watanzania.

Hatua ya wabunge hao inakuja baada ya Spika kuzima ajenda za wananchi ambapo baadhi ya wabunge walitaka masuala hayo yajadiliwe bungeni yeye akayazuia yote.

(i) Hoja ya kujadili Ripoti ya CAG (Mhe. Ole Sendeka)
(ii) Hoja ya kujadili uvamizi wa tembo kwa wananchi( Mhe. Bahati)
(iii)Hoja ya tatizo la mbolea na kufutiwa leseni mawakala wa mbolea( Mhe. Msambatavangu)
(iv)Hoja ya ajira kutolewa kwa upendeleo (Mh. Mwita Waitara)
 
Swali kwanini Ndugai leo siyo spika?

Tulia anamtumikia bosi wake
Hawezi kufanya kinyume na matakwa ya boss

Leta hoja ya kumuwajibisha bosi wa Tulia
Kwa kuwa anachofanya Tulia ndiyo msimamo wa bosi wake

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kati ya vitu chechefu sana ni kusukuma hoja ya report ya CAG hadi Nov sio sawa kabisa MAWAZIRI katika wizara zao huwa hawajibu hiyo report ni Katibu mkuu ama Mkuu wa Taasisi na wasaidizi wake WAZIRI HUPEWA TAARIFA YA MAJIBU BAADA YA CAG KUITWA KUKAGUA MAJIBU WHY SASA ISIKUMWE HADI NOV
 
Kuna tetesi kuwa baadhi ya wabunge wamejipanga kuwasilisha hoja bungeni ya kutokuwa na imani na Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson baada ya kuonekana wazi kushindwa kuuongoza mhimili huo kwa manufaa ya watanzania.

Hatua ya wabunge hao inakuja baada ya Spika kuzima ajenda za wananchi ambapo baadhi ya wabunge walitaka masuala hayo yajadiliwe bungeni yeye akayazuia yote.

(i) Hoja ya kujadili Ripoti ya CAG (Mhe. Ole Sendeka)
(ii) Hoja ya kujadili uvamizi wa tembo kwa wananchi( Mhe. Bahati)
(iii)Hoja ya tatizo la mbolea na kufutiwa leseni mawakala wa mbolea( Mhe. Msambatavangu)
(iv)Hoja ya ajira kutolewa kwa upendeleo (Mh. Mwita Waitara)
Nitashangaa sana kama hoja yao itafanikiwa!
 
Labda wamemchoka kabana MASLAHI yao lakini siyo ya WANANCHI.

Yule spika alishasema Rais halazimishwi kufuata ushauri wa bunge. Sasa wananchi maslahi yao yatalindwaje?. Huyo spika ni kibaraka wa Ikulu bungeni.
 
Kuna tetesi kuwa baadhi ya wabunge wamejipanga kuwasilisha hoja bungeni ya kutokuwa na imani na Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson baada ya kuonekana wazi kushindwa kuuongoza mhimili huo kwa manufaa ya watanzania.

Hatua ya wabunge hao inakuja baada ya Spika kuzima ajenda za wananchi ambapo baadhi ya wabunge walitaka masuala hayo yajadiliwe bungeni yeye akayazuia yote.

(i) Hoja ya kujadili Ripoti ya CAG (Mhe. Ole Sendeka)
(ii) Hoja ya kujadili uvamizi wa tembo kwa wananchi( Mhe. Bahati)
(iii)Hoja ya tatizo la mbolea na kufutiwa leseni mawakala wa mbolea( Mhe. Msambatavangu)
(iv)Hoja ya ajira kutolewa kwa upendeleo (Mh. Mwita Waitara)
Drama hizi
 
Back
Top Bottom