Wabunge wa CHADEMA kurejea Bungeni kuanzia leo

Si waliambiwa na Shorty warudi na majibu ya vipimo na mashine ya COVID mbovu hadi sasa.

Sampuli walituma Nairobi au maabara gani?
 

Bro ww ni mgeni hapa bongo? Hujui bunge linabvyoendeshwa wakiwepo wasiwepo bajet na kila kitu kitapita kama zamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee wakati mwingine CHADEMA ni wajinga balaa, yani wanarudi tena bungeni, hapo ndio nimeona mfano wa Mataifa yaliyoweka lockdown halafu mwisho wa siku yanafungua yanajumuika na wengine..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mtazamo wangu maamuzi ya Chadema hayakuwa ya busara, COVID unaweza kupata kokote....pili chadema walitakiwa kutumia inteligensia kujua maamuzi yao yatachukuliwa je na bunge kabla yakufanya maamuzi
 
Hotuba ya kambi ya upinzani ilikua isomwe mapema kabisa kabla ya quarantine ya CHADEMA, spika aliikataa!
 
Hapa ndio nimeamini chadema ni kundi la wajinga na waliteleza kuondoka bungeni maana hata korona bado haijakwisha na sidhani kama wamepima kujiangalia kama wana Corona au lah!

Halafu chadema watwambie bungeni ni salama au lah? Maana mwanzo walisema siyo salama kabisa!

Wanatwambia kuwa bungeni ni salama sasa na walifanya makosa kukimbia?


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Yesu wangu !! Kama akili kubwa ndo hii naomba huyo anaegawa asinipe mimi wala wa uzao wangu, ni takataka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usimkufuru Muumba Kwa sababu ya tofauti za itikadi! Na hata ikibidi kukufuru, usiwatakie uzao wako laana zisizo na sababu! Kwanini ujiapize kwa mambo madogo tu haya, ambayo ni tofauti za kimtazamo tuu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…