Wabunge wa CHADEMA kurejea Bungeni kuanzia leo

Mbona boss wenu hatoki kisiwani rubondo?

Sent from my Infinix NOTE 3 Pro using JamiiForums mobile app
 
Kabla ya kuja na hoja yako mfu ungejiuliza kwanza kwanini shule zote na vyuo pamoja na usafiri wa anga hasa za Kimataifa zimesitisha shughuli zao?? Siku corona ikipiga hodi mlangoni kwako ndiyo utajitambua maana hujui hata kwanini mpaka hivi sasa M/Kiti wa chama chako hayuko ofisini kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwani hao Wengine wanaokaa Karantini hadi yule Mbunge wa CCM wanavyorudi Maofisini na Bungeni CORONA imeshakwisha?
 
mwanzisha mada umechemka.
paragraphy ya mwisho imechangnya mambo kufanya mada nzima isieleweke
umeshindwa kutofautisha Quarantine na Lockdown
umeshin dwa kujua CDM walichagua na kutekeleza kipi
ni mbaya sana kama mwanzisha uzi mwenyewe haelewi alichokiandika kwa usahihi kina maana gani
 
Haya nafuta
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na huku mtaani sio hotspot!😁😁😁😁
Wahamie mwezini duniani kuna Corona

I guess hujui lolote kuhusu epidemiology 😁😁😁😁😁
kama umesoma epidemiology usingeliandika hivyo. Pale kulikuwa ni hotspot ya coronavirus. It was right ku pa lock from everybody to enter. Hivyo what they did is what is expected of a sensible man
 
Ivi kunawajinga Kama MBOWE na genge lake kwenye hii nchi?yani kama matoto madogo

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…