Wabunge wa CHADEMA wamekengeuka, wanajifanya hawaoni kazi nzuri ya uletaji maendeleo ndani ya miaka minne

Watu hawajui - gharama ya kujenga hivyo vituo vyote na hospitali za wilaya, zikiwekwa pamoja, hazifikii gharama ya kujenga na kuwekea vifaa hospitali 3 tu za awamu iliyopita - Mloganzila, Taasisi ya Moyo ya JK na Hospitali na Benjamin Mkapa.

Kujenga vituo na hospitali za Wilaya ni jambo jema, lakini siyo maajabu. Maana hata hizo awamu nyingine zilizopita kuna mambo mazuri yalifanyika, na mengine awamu hii haijayafikia.
Nafikiri unatakiwa ujue,hakuna mashindano kati ya awamu zilizopita na hii ya awamu ya tano.Hoja ya msingi ni mbunge kubeza maendeleo katika sekta ya afya ambayo yamefanyika kwa muda wa miaka minne.
 
Tena miaka minne watanzania amekua awalipi kodi kabisa.
 
Watanzania wamelipa kodi na kuwezesha kujenga hivyo vituo mkuu.Hao wasimamizi tu na tunawalipa kutoka kwenye kodi zetu. Ajajenga CCM,CUF ,CHADEMA etc
Vituo hivyo ni mali ya umma maana umma ndiyo umefanya hayo
Huo usimamimizi sasa! Maana zamani pesa zilikuwa zinaliwa tu. Na usimamizi huo makini wa serikali wa awamu ya tano ndio matokeo ya ujenzi huo kukamilika.
 
Hii ni kwa sababu uchaguzi umekaribia na mwezi Juni tarehe 31 Bunge litavunjwa. Sasa wabunge wa Chadema wamekumbwa na kiholo. Wanajiuliza wataenda kuwaambia nini wananchi? Maana walizoea siasa za kupakana matope, na wananchi wamebadilika wanataka siasa za kuletewa maendeleo.

Muda wote wamekuwa wanashinda mahakamani wakijifanya wanaharakati na kusahau kuwa wananchi wao wanahitaji maendeleo badala ya harakati zilizopitwa na wakati.

Cha kushangaza anasimama mbunge wa Chadema anabeza eti vimejengwa vituo vya afya mia nne thelathini na tatu kwenye kila tarafa, wakati kuna kata nyingi hapa nchini. Anashindwa kutambua hivi vituo vya afya vimejengwa vina hadhi ya kuwa hospital ya wilaya. Maana vina kila jengo ambalo linakidhi kuwa hospital ya wilaya. Alafu kuwekwa katika kila tarafa ni kuwasogezea wananchi huduma ambazo walitakiwa wazipate mpaka waende hospital ya wilaya.

Haya majengo 433 ni majengo ya kisasa na yatatumika kwa manufaa ya watanzania wote na tena hata kwa kizazi kijacho.
Pia kujenga vituo vya afya 433 na hospital za wilaya 67 ndani ya miaka minne sio kazi ndogo.

Unaposimama na kubeza hili jambo ni kupata kiwewe na kiholo. Na October inafika sijui mtasema nini kwa wananchi! Najua kujua umeshashindwa kabla mechi haijaanza ni jambo baya sana kisaikolojia ila ndio hivyo kubalini matokeo.

Kwa taarifa yako vituo vyote hivyo havifiki 400b. Huko Arusha kuna mradi mmoja wa maji wa 500b uliokubaliwa enzi za JK, mradi huo mmoja ni zaidi ya hivyo vitu vyote na hospitali unazotaja. Huenda unatishww na idadi na sio thamani ya hivyo vituo. Tume huru ya uchaguzi itaweka kila kitu mezani
 
Kwa hiyo unatoa maoni kabisa lockdown ifanyike Tanzania? Sijasoma hata hilo uzi lako. Ila mpaka sasa watalaamu huko Usa wanasema social distancing ndio imeonekana ndio suluhu. Jana kulikuwa na maandamano state of Michigan sababu watu wamechoka kukaa ndani. Kwa hiyo suala la msingi ni kuwa makini

Mkuu wala sijakuitisha kusoma changu chochote.

Nilichoambatanisha pale wala si changu ila uthibitisho tu wa kuwa dunia inatambua kuwa tumekaa juu ya bomu ambalo muda wowote litatulipukia.

Mbona unaanza kutapatapa kana kwamba na wewe umo kwenye jopo la wala wafu mnaosubiria tufe wengi ili mpate mlo zaidi?

Hadi wafe wangapi ndiyo muweze kujua la Corona ni zaidi ya hizo siasa uchwara zenu ambazo kukija suala la posho zenu si upinzani wala CCM mnakuwa na kauli moja?
 
Kwa taarifa yako vituo vyote hivyo havifiki 400b. Huko Arusha kuna mradi mmoja wa maji wa 500b uliokubaliwa enzi za JK, mradi huo mmoja ni zaidi ya hivyo vitu vyote na hospitali unazotaja. Huenda unatishww na idadi na sio thamani ya hivyo vituo. Tume huru ya uchaguzi itaweka kila kitu mezani
Hata kama vingegharimu bil 20 suala la msingi ni kusogeza huduma za afya kwa wananchi. Na jambo kubwa ni vimejengwaa ndani ya miaka minne. Kasi ya hali ya juu kabisa.
 
Out of point.
 
Halafu unapojenga Hospitali au Kituo cha Afya weka na vifaa tiba na dawa otherwise yanakuwa ni ma white elephant.

Kama mama mja mzito hawezi kupata gloves, gauze, pampas, Na vifaa husika anapokwenda Kituo cha Afya basi hakuna tofauti na kujifungulia nyumbani kwa wakunga wa jadi.

Ubora wa huduma za afya siyo majengo bali ni watumishi, vifaa tiba na dawa. Hospitali za Serikali hakuna dawa kabisa inabidi wagonjwa wajinunulie.
 
Uwepo wa upinzani wenyewe ni mafanikio ya sera safi za CCM.
 
April 11, 2020

ZITTO KABWE AICHAMBUA RIPOTI YA CAG 2018/19
Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Mh. Zitto Kabwe (Mbunge Kigoma Mjini), akichambua ripoti ya CAG kwa mwaka 2018-19 na Ripoti za CAG kwa miaka 5 ya serikali ya awamu ya tano .
Hivyo uchambuzi huo unalenga ktk maeneo makubwa kumi muhimu :

Source: Mwanahalisi TV
  1. Kuporomoka kwa makusanyo ya kodi : hivyo serikali kushindwa kukidhi mahitaji ya bajeti na hivyo bajeti kukosa maana inayo kusudiwa ya uwiano wa makusanyo dhidi ya matumizi pia ufanisi wa kukusanya kodi.
  2. Deni la Taifa ktk awamu ya tano ya serikali ya CCM linakuwa kwa kasi kubwa yaani asilimia 12% kuliko kasi ya ukuaji wa uchumi wa nchi ulio ktk wastani wa asilimia. Serikali imeanza kushindwa kulipa madeni ya ndani mfano kulipia Hati Fungani yaani Government Bonds jambo lililo hatari maana yake wananchi na wanunuzi wengine wa hati fungani kukosa imani ya serikali kuweza kulipwa amana zao. Serikali inadaiwa kiwango kikubwa na watoa huduma ikiwemo wakandarasi, makampuni na watu binafsi. Wakala wa Barabara yaani TANROADS ni mdaiwa sugu mwenye deni kubwa yaani Bilioni 900. Serikali pia inaficha kipande cha madeni ya Hifadhi za Jamii yanayofikia trilioni 3 shilingi za kiTanzania na wastaafu kuwa ktk hatihati ya kushindwa kulipwa malipo yao.
  3. Ufisadi umerudi nchini kupitia transit goods kwenda nchi jirani umeongezeka sana kufuatana na taarifa ya CAG. Kiasi cha bilioni 300 ni kimepotea ktk awamu ya 5 huku awamu ya Jakaya Kikwete upotevu ulikuwa bilioni 45 tu.
  4. Kesi dhidi ya serikali yaani contingent liability kimefikia trilioni 1.8 za shilingi za kiTanzania kutokana na kutotii mikataba na wadai kukosa imani ya kulipwa.
  5. Manunuzi yasiyofuata sheria yafikia Shilingi Trilioni moja kwa unapproved suppliers.
  6. Serikali inaendelea kutumia fedha za umma bila kufuata katiba ibara ya 135 yaani kupitia mfuko Mkuu wa serikali yaani Consolidated fund bila idhini ya Controller and Auditor General.
  7. Ukaguzi wa Benki Kuu ya Tanzania umefanywa na GAG bila kutumia kampuni za Ukaguzi za binafsi Deloitte, KPMG n.k hivyo kukosa uwazi na uhuru wa kufanya ukaguzi huru unaoaminiwa na IMF, WORLD BANK na wabia wengine.
  8. Korosho zanunuliwa na fedha kutoka Benki Kuu na fedha hizi hazijarejeshwa Benki Kuu
  9. Ndege kununuliwa bila taratibu za kifedha zilizo wazi.
 
April 9, 2020

RIPOTI YA CAG YAWASILISHWA KWA WANANCHI KWA AJILI YA MJADALA MPANA

SERIKALI YAKUSANYA MAPATO KUTOKA SERIKALI ZA MITAA NA KUZITUMIA BILA KUZIPITISHA KWENYE MFUKO MKUU

Source : Chadema Media

https://chadema.or.tz › 2018/03/01
SERIKALI YETU NA UVUNJWAJI WA KATIBA YA NCHI - Chadema

1 Mar 2018 · Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 135(2) inaeleza kwamba , nanukuu “Fedha ambazo hazitawekwa Mfuko Mkuu wa Serikali Consolidated Fund....
 
Hata kama vingegharimu bil 20 suala la msingi ni kusogeza huduma za afya kwa wananchi. Na jambo kubwa ni vimejengwaa ndani ya miaka minne. Kasi ya hali ya juu kabisa.

Cdm hawana la kusifia kwenye hilo maana huo ni wajibu wa serikali, kazi ya kusifia hiyo ni kazi ya NCCR na CUF waliokula hela za ccm. Kuna vyama ndio vinaweza kusifia miradi ya 400b, sio cdm. Hakikisheni CUF, NCCR, TLP, nk waliokula pesa ya ccm ndio wafanye kazi ya kuwasifia kwenye wajibu wa serikali.
 
Hii ni kwa sababu uchaguzi umekaribia na mwezi Juni tarehe 31 Bunge litavunjwa. Sasa wabunge wa Chadema wamekumbwa na kiholo. Wanajiuliza wataenda kuwaambia nini wananchi? Maana walizoea siasa za kupakana matope, na wananchi wamebadilika wanataka siasa za kuletewa maendeleo.

Muda wote wamekuwa wanashinda mahakamani wakijifanya wanaharakati na kusahau kuwa wananchi wao wanahitaji maendeleo badala ya harakati zilizopitwa na wakati.

Cha kushangaza anasimama mbunge wa Chadema anabeza eti vimejengwa vituo vya afya mia nne thelathini na tatu kwenye kila tarafa, wakati kuna kata nyingi hapa nchini. Anashindwa kutambua hivi vituo vya afya vimejengwa vina hadhi ya kuwa hospital ya wilaya. Maana vina kila jengo ambalo linakidhi kuwa hospital ya wilaya. Alafu kuwekwa katika kila tarafa ni kuwasogezea wananchi huduma ambazo walitakiwa wazipate mpaka waende hospital ya wilaya.

Haya majengo 433 ni majengo ya kisasa na yatatumika kwa manufaa ya watanzania wote na tena hata kwa kizazi kijacho.
Pia kujenga vituo vya afya 433 na hospital za wilaya 67 ndani ya miaka minne sio kazi ndogo.

Unaposimama na kubeza hili jambo ni kupata kiwewe na kiholo. Na October inafika sijui mtasema nini kwa wananchi! Najua kujua umeshashindwa kabla mechi haijaanza ni jambo baya sana kisaikolojia ila ndio hivyo kubalini matokeo.
Hizo tarafa zilizojengewa hivyo vituo ni zipi?
Mbona mimi nafahamu tarafa tatu ambazo hazina hivyo vituo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo mimi sina taarifa nalo. Kama hauamini panda basi nenda Dodoma kamuone Waziri Jaffo atakupa taarifa na takwimu kamili. Ila mimi nimezungaka sehemu nyingi nimeziona kwa macho yangu. Ila kwa bajeti ya 2010-2021 nafikiri watajenga kama 160+ basi na huko kwenu mtafikiwa.
 
Hii ni kwa sababu uchaguzi umekaribia na mwezi Juni tarehe 31 Bunge litavunjwa. Sasa wabunge wa Chadema wamekumbwa na kiholo. Wanajiuliza wataenda kuwaambia nini wananchi? Maana walizoea siasa za kupakana matope, na wananchi wamebadilika wanataka siasa za kuletewa maendeleo.

Muda wote wamekuwa wanashinda mahakamani wakijifanya wanaharakati na kusahau kuwa wananchi wao wanahitaji maendeleo badala ya harakati zilizopitwa na wakati.

Cha kushangaza anasimama mbunge wa Chadema anabeza eti vimejengwa vituo vya afya mia nne thelathini na tatu kwenye kila tarafa, wakati kuna kata nyingi hapa nchini. Anashindwa kutambua hivi vituo vya afya vimejengwa vina hadhi ya kuwa hospital ya wilaya. Maana vina kila jengo ambalo linakidhi kuwa hospital ya wilaya. Alafu kuwekwa katika kila tarafa ni kuwasogezea wananchi huduma ambazo walitakiwa wazipate mpaka waende hospital ya wilaya.

Haya majengo 433 ni majengo ya kisasa na yatatumika kwa manufaa ya watanzania wote na tena hata kwa kizazi kijacho.
Pia kujenga vituo vya afya 433 na hospital za wilaya 67 ndani ya miaka minne sio kazi ndogo.

Unaposimama na kubeza hili jambo ni kupata kiwewe na kiholo. Na October inafika sijui mtasema nini kwa wananchi! Najua kujua umeshashindwa kabla mechi haijaanza ni jambo baya sana kisaikolojia ila ndio hivyo kubalini matokeo.
Maendeleo tunaona mawazari wakikata mauno na kuropoka kama kiongozi wao afanyavyo,awamu zilizopita tuliona viongozi wakifanya kazi bila blahblah za kusifiwa kama meko
IMG_20200328_074550.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri unatakiwa ujue,hakuna mashindano kati ya awamu zilizopita na hii ya awamu ya tano.Hoja ya msingi ni mbunge kubeza maendeleo katika sekta ya afya ambayo yamefanyika kwa muda wa miaka minne.

Sio juu ya mbunge wa cdm kusifia, kuna wabunge wengi tu wa ccm wanaweza kusifia. Kama wamebeza walisema nini, maana bunge liko kifichoni, halafu unatuletea upotoshaji wako wa siasa za majitaka.
 
Back
Top Bottom