Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
- Thread starter
-
- #21
Nafikiri unatakiwa ujue,hakuna mashindano kati ya awamu zilizopita na hii ya awamu ya tano.Hoja ya msingi ni mbunge kubeza maendeleo katika sekta ya afya ambayo yamefanyika kwa muda wa miaka minne.Watu hawajui - gharama ya kujenga hivyo vituo vyote na hospitali za wilaya, zikiwekwa pamoja, hazifikii gharama ya kujenga na kuwekea vifaa hospitali 3 tu za awamu iliyopita - Mloganzila, Taasisi ya Moyo ya JK na Hospitali na Benjamin Mkapa.
Kujenga vituo na hospitali za Wilaya ni jambo jema, lakini siyo maajabu. Maana hata hizo awamu nyingine zilizopita kuna mambo mazuri yalifanyika, na mengine awamu hii haijayafikia.
Tena miaka minne watanzania amekua awalipi kodi kabisa.Nafikiri unatakiwa ujue,hakuna mashindano kati ya awamu zilizopita na hii ya awamu ya tano.Hoja ya msingi ni mbunge kubeza maendeleo katika sekta ya afya ambayo yamefanyika kwa muda wa miaka minne.
Huo usimamimizi sasa! Maana zamani pesa zilikuwa zinaliwa tu. Na usimamizi huo makini wa serikali wa awamu ya tano ndio matokeo ya ujenzi huo kukamilika.Watanzania wamelipa kodi na kuwezesha kujenga hivyo vituo mkuu.Hao wasimamizi tu na tunawalipa kutoka kwenye kodi zetu. Ajajenga CCM,CUF ,CHADEMA etc
Vituo hivyo ni mali ya umma maana umma ndiyo umefanya hayo
Hii ni kwa sababu uchaguzi umekaribia na mwezi Juni tarehe 31 Bunge litavunjwa. Sasa wabunge wa Chadema wamekumbwa na kiholo. Wanajiuliza wataenda kuwaambia nini wananchi? Maana walizoea siasa za kupakana matope, na wananchi wamebadilika wanataka siasa za kuletewa maendeleo.
Muda wote wamekuwa wanashinda mahakamani wakijifanya wanaharakati na kusahau kuwa wananchi wao wanahitaji maendeleo badala ya harakati zilizopitwa na wakati.
Cha kushangaza anasimama mbunge wa Chadema anabeza eti vimejengwa vituo vya afya mia nne thelathini na tatu kwenye kila tarafa, wakati kuna kata nyingi hapa nchini. Anashindwa kutambua hivi vituo vya afya vimejengwa vina hadhi ya kuwa hospital ya wilaya. Maana vina kila jengo ambalo linakidhi kuwa hospital ya wilaya. Alafu kuwekwa katika kila tarafa ni kuwasogezea wananchi huduma ambazo walitakiwa wazipate mpaka waende hospital ya wilaya.
Haya majengo 433 ni majengo ya kisasa na yatatumika kwa manufaa ya watanzania wote na tena hata kwa kizazi kijacho.
Pia kujenga vituo vya afya 433 na hospital za wilaya 67 ndani ya miaka minne sio kazi ndogo.
Unaposimama na kubeza hili jambo ni kupata kiwewe na kiholo. Na October inafika sijui mtasema nini kwa wananchi! Najua kujua umeshashindwa kabla mechi haijaanza ni jambo baya sana kisaikolojia ila ndio hivyo kubalini matokeo.
Kwa hiyo unatoa maoni kabisa lockdown ifanyike Tanzania? Sijasoma hata hilo uzi lako. Ila mpaka sasa watalaamu huko Usa wanasema social distancing ndio imeonekana ndio suluhu. Jana kulikuwa na maandamano state of Michigan sababu watu wamechoka kukaa ndani. Kwa hiyo suala la msingi ni kuwa makini
Hata kama vingegharimu bil 20 suala la msingi ni kusogeza huduma za afya kwa wananchi. Na jambo kubwa ni vimejengwaa ndani ya miaka minne. Kasi ya hali ya juu kabisa.Kwa taarifa yako vituo vyote hivyo havifiki 400b. Huko Arusha kuna mradi mmoja wa maji wa 500b uliokubaliwa enzi za JK, mradi huo mmoja ni zaidi ya hivyo vitu vyote na hospitali unazotaja. Huenda unatishww na idadi na sio thamani ya hivyo vituo. Tume huru ya uchaguzi itaweka kila kitu mezani
Out of point.Mkuu wala sijakuitisha kusoma changu chochote.
Nilichoambatanisha pale wala si changu ila uthibitisho tu wa kuwa dunia inatambua kuwa tumekaa juu ya bomu ambalo muda wowote litatulipukia.
Mbona unaanza kutapatapa kana kwamba na wewe umo kwenye jopo la wala wafu mnaosubiria tufe wengi ili mpate mlo zaidi?
Hadi wafe wangapi ndiyo muweze kujua la Corona ni zaidi ya hizo siasa uchwara zenu ambazo kukija suala la posho zenu si upinzani wala CCM mnakuwa na kauli moja?
Halafu unapojenga Hospitali au Kituo cha Afya weka na vifaa tiba na dawa otherwise yanakuwa ni ma white elephant.Kwa taarifa yako vituo vyote hivyo havifiki 400b. Huko Arusha kuna mradi mmoja wa maji wa 500b uliokubaliwa enzi za JK, mradi huo mmoja ni zaidi ya hivyo vitu vyote na hospitali unazotaja. Huenda unatishww na idadi na sio thamani ya hivyo vituo. Tume huru ya uchaguzi itaweka kila kitu mezani
Out of point.
Hicho ndiyo kipindi cha HOVYO kuliko vyotePoint ni kushindo cha awamu ya 5. Komaa hapo hapo.
Hata kama vingegharimu bil 20 suala la msingi ni kusogeza huduma za afya kwa wananchi. Na jambo kubwa ni vimejengwaa ndani ya miaka minne. Kasi ya hali ya juu kabisa.
Hizo tarafa zilizojengewa hivyo vituo ni zipi?Hii ni kwa sababu uchaguzi umekaribia na mwezi Juni tarehe 31 Bunge litavunjwa. Sasa wabunge wa Chadema wamekumbwa na kiholo. Wanajiuliza wataenda kuwaambia nini wananchi? Maana walizoea siasa za kupakana matope, na wananchi wamebadilika wanataka siasa za kuletewa maendeleo.
Muda wote wamekuwa wanashinda mahakamani wakijifanya wanaharakati na kusahau kuwa wananchi wao wanahitaji maendeleo badala ya harakati zilizopitwa na wakati.
Cha kushangaza anasimama mbunge wa Chadema anabeza eti vimejengwa vituo vya afya mia nne thelathini na tatu kwenye kila tarafa, wakati kuna kata nyingi hapa nchini. Anashindwa kutambua hivi vituo vya afya vimejengwa vina hadhi ya kuwa hospital ya wilaya. Maana vina kila jengo ambalo linakidhi kuwa hospital ya wilaya. Alafu kuwekwa katika kila tarafa ni kuwasogezea wananchi huduma ambazo walitakiwa wazipate mpaka waende hospital ya wilaya.
Haya majengo 433 ni majengo ya kisasa na yatatumika kwa manufaa ya watanzania wote na tena hata kwa kizazi kijacho.
Pia kujenga vituo vya afya 433 na hospital za wilaya 67 ndani ya miaka minne sio kazi ndogo.
Unaposimama na kubeza hili jambo ni kupata kiwewe na kiholo. Na October inafika sijui mtasema nini kwa wananchi! Najua kujua umeshashindwa kabla mechi haijaanza ni jambo baya sana kisaikolojia ila ndio hivyo kubalini matokeo.
Hilo mimi sina taarifa nalo. Kama hauamini panda basi nenda Dodoma kamuone Waziri Jaffo atakupa taarifa na takwimu kamili. Ila mimi nimezungaka sehemu nyingi nimeziona kwa macho yangu. Ila kwa bajeti ya 2010-2021 nafikiri watajenga kama 160+ basi na huko kwenu mtafikiwa.Hizo tarafa zilizojengewa hivyo vituo ni zipi?
Mbona mimi nafahamu tarafa tatu ambazo hazina hivyo vituo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hii habari imeletwa hapa na Waziri Jafo au imeletwa na wewe?Hilo mimi sina taarifa nazo. Kama hauamini panda basi nenda Doda kamuone Waziri Jaffo atakupa taarifa.
Kama hutaki kuamini na husomi, magazeti sasa mimi nikusaidie nini?Kwani hii habari imeletwa hapa na Waziri Jafo au imeletwa na wewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Maendeleo tunaona mawazari wakikata mauno na kuropoka kama kiongozi wao afanyavyo,awamu zilizopita tuliona viongozi wakifanya kazi bila blahblah za kusifiwa kama mekoHii ni kwa sababu uchaguzi umekaribia na mwezi Juni tarehe 31 Bunge litavunjwa. Sasa wabunge wa Chadema wamekumbwa na kiholo. Wanajiuliza wataenda kuwaambia nini wananchi? Maana walizoea siasa za kupakana matope, na wananchi wamebadilika wanataka siasa za kuletewa maendeleo.
Muda wote wamekuwa wanashinda mahakamani wakijifanya wanaharakati na kusahau kuwa wananchi wao wanahitaji maendeleo badala ya harakati zilizopitwa na wakati.
Cha kushangaza anasimama mbunge wa Chadema anabeza eti vimejengwa vituo vya afya mia nne thelathini na tatu kwenye kila tarafa, wakati kuna kata nyingi hapa nchini. Anashindwa kutambua hivi vituo vya afya vimejengwa vina hadhi ya kuwa hospital ya wilaya. Maana vina kila jengo ambalo linakidhi kuwa hospital ya wilaya. Alafu kuwekwa katika kila tarafa ni kuwasogezea wananchi huduma ambazo walitakiwa wazipate mpaka waende hospital ya wilaya.
Haya majengo 433 ni majengo ya kisasa na yatatumika kwa manufaa ya watanzania wote na tena hata kwa kizazi kijacho.
Pia kujenga vituo vya afya 433 na hospital za wilaya 67 ndani ya miaka minne sio kazi ndogo.
Unaposimama na kubeza hili jambo ni kupata kiwewe na kiholo. Na October inafika sijui mtasema nini kwa wananchi! Najua kujua umeshashindwa kabla mechi haijaanza ni jambo baya sana kisaikolojia ila ndio hivyo kubalini matokeo.
Nafikiri unatakiwa ujue,hakuna mashindano kati ya awamu zilizopita na hii ya awamu ya tano.Hoja ya msingi ni mbunge kubeza maendeleo katika sekta ya afya ambayo yamefanyika kwa muda wa miaka minne.