Wabunge wa CHADEMA wamekengeuka, wanajifanya hawaoni kazi nzuri ya uletaji maendeleo ndani ya miaka minne

Sio juu ya mbunge wa cdm kusifia, kuna wabunge wengi tu wa ccm wanaweza kusifia. Kama wamebeza walisema nini, maana bunge liko kifichoni, halafu unatuletea upotoshaji wako wa siasa za majitaka.
Bunge haliko kifichoni kila siku hotuba zinapatikana na ndio maana hata hotuba ya bajeti ya tamisemi tumeipata.
 
Bunge haliko kifichoni kila siku hotuba zinapatikana na ndio maana hata hotuba ya bajeti ya tamisemi tumeipata.

Hata bangi inapatikana japo inauzwa kwa kificho. Tunataka bunge tuone mijadala unavyofanyika, sio kuletewa wanachotaka serikali. Tulishatoka dunia ya kulishwa mitazamo ya serikali. Ww unatuambia wapinzani wanabeza, nikikuuliza walibeza nini na uliona kupitia TV gani huna majibu, zaidi ya kuleta upotoshaji wa siasa za kichovu.
 
Mimi sio mtu wa kukurupuka.
 
Huo usimamimizi sasa! Maana zamani pesa zilikuwa zinaliwa tu. Na usimamizi huo makini wa serikali wa awamu ya tano ndio matokeo ya ujenzi huo kukamilika.
Vyuo vikuu vitatu
Shule kila kata
Hospitali kila Wilaya
Ajira kila mwaka
Mikopo kwa wanafunzi wote
Michango ya NSSF na mafao kwa wakati
Rami nchi nzima
Maabara kila shule ya Sekondari
HIYO NI AWAMU YA NNE KUMBUKA
2.5 Trion awamu ya tano azionekani
Unifomu hewa za polisi
Manunuzi bila taratibu
Lugola scandal
 
Mimi sio mtu wa kukurupuka.


Kwani lazima utaambie kuwa ww sio mtu wa kukurupuka? Point zako tu zinaonyesha sio tu kuwa ni mtu wa kukurupuka, bali ni bendera fuata upepo, tena wa propaganda za kizee.
 
Mkuu una uhakika sasa hela hailiwi?
Mkuu kuidhibiti rushwa asili mia ni ngumu. Ila ukikaba mpaka asilimia tisini unakuwa umejitahidi. Leo nafikiri umesikia namna Wb wanavyoisifia Tz katika kudhibiti matumizi ya fedha za umma.
 
Mh... Huko ni kutapatapa.
 
Huo usimamimizi sasa! Maana zamani pesa zilikuwa zinaliwa tu. Na usimamizi huo makini wa serikali wa awamu ya tano ndio matokeo ya ujenzi huo kukamilika.
JANA - "kagonjwa haka kadogo ka Corona"

LEO - "Janga la ugonjwa huu wa Corona"

KESHO - [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]

My life is mine to remember
 

Eleza, alikosoa Nini juu ya hayo majengo unayoyaita hospitali za WILAYA?

Usilaumu upinzani kwa kupotosha mada ukiwa umejificha kwenye uzushi.

Wapinzani wako SAHIHI.
 
huku kila kijiji kituo cha afya,lami imetanda kila barabara za mtaa...maji ndo usiseme yapo ya kuchebaaa
 
Niambie ni awamu gani ambayo imefanya makubwa katika hizi awamu tano? Nakubaliana na wewe kila awamu imefanya kazi, ila ipi ni bora?
Ficha ujinga wako ili hata wazazi wako wakiona bandiko wajue kuwa wanafaida ya uzazi,kwani hizo ndege mlizonunua mmenunua na viwanja vyake,hizo Meri mmezileta pamoja gati zake vituo vya afya mmevijenga kwenye mapori? Yaani kila kinachofanyika kwa sasa inakuwa kama ndiyo tumepata Uhuru leo na hatujawahi kuwa na Raisi,ndiyo maana hata ukinywa uji unapiga picha na kupost hata kwenye mawe mnapost hata kanisani ,sokoni yani yote hayo ni mageni kwenu.
 
Eleza, alikosoa Nini juu ya hayo majengo unayoyaita hospitali za WILAYA?

Usilaumu upinzani kwa kupotosha mada ukiwa umejificha kwenye uzushi.

Wapinzani wako SAHIHI.
Tofautisha kukosoa na kubeza. Usiwe unakurupuka tu kujibu.
 
Kama ingekuwa ni kuangalia gharama za miradi nafikiri ungetole mfano mradi kama JNHHP na SGR ambazo zinakula matrilioni ya shilingi. Kwa hiyo hoja yako haina mashiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…