GE2025 Wabunge wa sasa waliokatwa kugombea CCM hawa hapa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hapo kwa Makamba hajakatwa, zile nafasi za Rais ipo moja inamsubir. Lakini pia, atakua huru kuzunguka nchi nzima uchaguzi huu bila pressure za jimboni.
 
17. Flatei massay mbulu vijijini
 
Josephat Gwajima hajakatwa bali hakuchukua fomu kama Kasdim Majaliwa na George Mkuchika
 
Mkorea ndiye mgombea mwenye nguvu. Ingawa ana hama hama vyama. Alikuwa CCM akahamia CHADEMA baadae akahamia ACT Sasa karudi CCM.
Kaka fuatilieni watu vizuri kabla hamjawapa uongozi,huyo bwana alikuwa halipi watu mishahara,Tanzania hii hana hata nyumba aliyojenga,ni dhumati hana mfano.Kama unabisha mark my word,miaka 3 tu utakuja kukubali maneno yangu
 
ila mimi kwa yote haya ya hao kupata hizi nafasi
siwashangai wala kuwalaumu.

HAPA BILA KUPEPESA MACHO WENYE SHIDA ZA AKILI NI wananchi wa hayo majimbo kama Chalinze na kwingineko huko anakotokea huyo Salma.

Hao wananchi wa hayo maeneo ndiyo wanapaswa kupimwa akili zao, kama kweli zipo sawa.
Siamini kuwa wanashikiwa bunduki kuwakubali hao watia nia.
ila kwa kuwa wanaendekeza njaa na umasikini wao.
Kumbuka kila mtu ana price.
Wanatumika kwa njaa zao na umasikini wao kisha wanakuja humu JF kujiliza nyuma keyboards.

Makamba wananchi walimkataa na kweli
imekuwa hivyo
sasa hayo majimbo mengine wanashindwa nini kama sio kuendekeza njaa zao na umaskini wao katika kufanya maamuzi magumu?

Hivyo tusiwalaumu familia ya kikwete na ya Mwinyi kwa wao kupata hizo nafasi.
 
Gekul nimemuona mbona? Kwanini majaliwa hujamtaja?
 
Stephen Byabato ni ma fav Man, nampenda yule mwanaume, kwanini ameachwaa?
Handsome man!! Sijapendaaaa.
 
Ila kuna watu wamepitishiswa hadi hisia zangu zinahisi kuwa hapa kuna mkono wa Kikwete.
1. William Ngereja ( kashfa ya escrow)
2. Sospeter Muhogo. (Kashfa kibao)
3. Aggrey Mwanri.
4. Mary Nangu.
5. Kangi Lugola.
6. Ezekieli Maige
7...............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…