GE2025 Wabunge wa sasa waliokatwa kugombea CCM hawa hapa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Orodha ya wabunge watakaofyekelewa mbali itaongezeka raundi ya pili tusumbiri, kuna majimbo wabunge wake wa sasa ni reject zamu yao ya kufyekelewa mbali yaja
Itasaidia Nini!??
 
Bumbuli huko!
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu, katika hao 7 unafikiri kuna mwenye ushawishi kumzidi MAKONDA?

Kijana wa makamo nyota imekwishang’aa, mwacheni asonge mbele.
Bashite ilitakiwa aende na Jiwe. Basi tu Tz bado mnalea ujinga
 
Askofu Gwajima hakuchukua form so hajakatwa

January alichukua kakatwa
 
Makamba na naibu wake Byabato watakuwa walimfanyia kosa kubwa sana Rais Samia
Malipo ni hapahapa Dunia, alimfanyia figisu DG wa EWURA by then Lumato kisa kukataa kupitisha uchafu wake, leo kimemramba...Karma is real!!!
 
Your browser is not able to display this video.
 
Pesa ndo suluhisho eeeeh
Tuna safari ndefu sana na rushwa haitawahi kuisha na maendeleo ni ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…