GE2025 Wabunge wa sasa waliokatwa kugombea CCM hawa hapa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Bora huyo wa musoma mjini apumzike tu jaman, yaan musoma yote iwe mjini ama vijijin hamna kila kitu wabunge wao yaan, mji unaingiza mapato sana ila hamna kila kitu.
 
Unaumwa wewe. Ukiwa pale kanisani kwake wale mateka wanaoshangilia Kila anachokiongea unajua ni Tanzania nzima? Wale hata lakini Moja hawafiki
Ayo ni mawazo mgando ndg
Ww subiri imebak miez miwili
Utaona watu wanavyoenda down
 
Huyu Mungu tunae mwabudu, acha aitwe MUNGU. Gambo akiwa mkuu wa wilaya ya Arusha, alimtafutia visa mkuu wake wa mkoa, Ntibenda hadi aka onekana ni chukizo kwa Rais Magufuli, aka mtoa, alipo pandishwa yeye kuwa mkuu wa mkoa, aka hamishia unafiki wake kwa Godbless Lema, hadi kutumia vyombo vya usalama kumsumbua Lema.
Sasa KARMA ime geuka, mashambulio yako kwake, malipo ni hapa hapa
 
Karma is a bitch, Gambo alimnyanyasa sana Lema, sasa ni zamu yake to feel the pain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…