Wabunge wana interest kubwa na Unfair election , Mkurugenzi TANESCO na Mpango wa Kugombea Jimbo la Bunda ulivyosemwa

Rip Rev Mtikila
Rip Rev Mtikila
Mkuu kitambo Sana umepotea yapi yalikusibu ?? mpaka ukauliziwa hapa 👇👇
 
Naweza kusema katika inshu za uchaguzi mkuu, watu wakali zaidi na ambao sio wa kuchezewa ni wabunge ambao kimsingi wao hudhani Fikrani kuwa majimbo wanayoongoza ni Mali Binafsi kitu ambacho si cha kweli na mtu yeyote ambaye ataonekana kutaka jimbo hilo basi lolote limkute.

Pia katika Uwizi mkubwa wa Kura unaofanyikaga katika uchaguzi, wasuka mipango na wahusika wakubwa huwa ni Wabunge wanaomaliza vipindi vyao au ambao wanagombea, na kwa kidogo serikali ya Wilaya, na Rais mara nyingi huwa yupo mbali kwenye chain of Command hivyo interest ya wizi wa kura kwako ni kidogo. Hivyo kiuhalisia Uchaguzi ukiwa huru na wa Haki sidhani kama Rais aliyepo madarakani anaweza kushindwa bali atapata kura kwa Uchache sana, ila sasa wabunge ndo wataanguka vibaya mno, na wabunge wanalijua hilo hivyo wao huwa wanahusika na uwizi kwa asilimia kubwa.

Wabunge ambao ni mawaziri , na ambao ni washauri wakubwa wa Rais hawawezi kumshauri Rais aweke Uchaguzi huru na wa Haki kwakuwa wanajua wao ndo watakuwa wakwanza kuondolewa majimboni , kitu ambacho hawataki na hawawezi kufanya ili waendelee kuwa wabunge kwa njia hizo haramu, wabunge wa CCM waliingia kwa njia haramu hivyo hawatakubali njia hizo zitolewe mana zitawaathiri sana. Rais Hataathirika sana na atashinda japo kwa tofauti ya kura Chache. Hivyo No reform No Election na kutosaini kanuni kumehamisha vita ndani ya CCM, kuwa Ukipitishwa CCM wewe tayari ni mbunge moja kwa moja, sidhani kama CHAUMA au ACT wanaweza Tangazwa kwa Staili ya uchaguzi huu hata wakishinda

Pia kwa watu wa Karibu wa Mkurugenzi wa TANESCO aliyepata Ajali (Rest in Peace) toka kitambo alikuwa na mpango wa kugombea Jimbo la Bunda, hata kabla hajateuliwa kuchukua nafasi ya maharage chande, hivyo hatujui kama alikuwa na lengo la kugombea mwaka huu au la, lakini alikuwa na Nia ya kuchukua jimbo la Mtu. Sasa
Wanaccm Hawaachiani maji ya kunywa mezani- Kikwete
 
Huyo alinyang'anywa simu baada ya wanaomtuma kuharibu mada hapa jf kukasirika, Amerudishiwa jana asubuhi
 
uchaguzi huru, wa haki na wa wazi ni pamoja na kukataliwa na wananchi kwenye box la kura bila kupiga mayowe.

hata hivyo,
kila nafsi itaonja umauti hata kama uzushi na porojo za pata pote dhidi ya wanasiasa na watia nia waliotangulia mbele za haki kwa namna mbalimbali zitapewa kipaumbele zaidi ya ukweli na uhalisia :NoGodNo:
 
Wanaccm Hawaachiani maji ya kunywa mezani- Kikwete
kuna wakati ilikua ni hatari zaidi kuingia chadema HQ bila kuvaa bullet proof vest:pedroP:

ili fikia mahali kamanda mropokaji anasema siendi kula tena msosi kwa chairman wanaweza kuniwekea sumu:pedroP:
 
Mkurugenzi wa TANESCO agombanie ubunge wapi na wapi. Mbunge hanauwezo wa kumfikia kimaslahi mkurugenzi wa TANESCO.
Hujaangalia mbali zaidi.

Ukurugenzi ni kazi ya hisani tu ile, leo yupo kesho katenguliwa.

Akiwa mbuge anaweza akawa hata waziri, akawa anatoa maelekezo kwa mkurugenzi.
 
nani kakwambia mbunge anazidiwa na mkurugenzi wa TANESCO kimaslahi.
mkurugenzi anadili na tanesco tu kote nchini lakini mbunge anadili na secta zote jimboni kwake. afya,elimu,ujenzi,miradi ya maendeleo nk. na huyo huyo mbunge anaweza kuwa waziri mkuu,waziri katika wizara yeyote,naibu waziri,katibu mkuu,naibu katibu mkuu, nk ubunge ni deal ndugu zangu ndo maana unaona na kusikia watu wanauana katika kipindi hiki cha uchaguzi.
Tupe maslahi yao basi tuone ... Weka mishahara mpaka posho na dili.
 
unajua posho za wabunge bungeni? Unajua katika jimbo lako miradi mingapi inapitia katika ofsi ya bunge na kupotea? Ehe,tuachane na hapo tuseme mbunge amekuwa waziri wa nishati, amekuwa boss wa mkurugenzi wa tanesco bado utasema anazidiwa? Yani hapo atakula posho za kama mbunge,atakula pesa za miradi ya maendeleo jimboni,atalipwa mshahara kama waziri atapewa posho kama mbunge na waziri,atapiga deal huko tanesco huku meneja akimpa au akimnyima gawio,huku huyu huyu mbunge waziri atamwamlisha meneja kufanya kazi usiku na mchana. Matokeo yake wanaendesha magari kama roketi tena usiku wa manane wanaparamia magari. Meneja wa tanesco ni fala tu kimaslahi kwa mbunge.
 
Si kweli🤣🤣labda kama hujui .
 
Tupe maslahi yao basi tuone ... Weka mishahara mpaka posho na dili.
kwani nini kinachokukwamisha kutoweka uringanisho wao unaokufanya useme mkurugenzi ana maslahi makubwa kuliko mbunge? Haya hebu weka maslahi ya mkurugenzi wako nikupe maslahi ya mbunge?
 
Nadhani hili jambo limekaa kimaslai zaidi ndio mana linakuwa gumu, much money is involved. Nadhani Kwa uthubutu Magufuli angeweza SEMA alikuwa hataki, ila katika maraisi wote ambaye angeweza kubadili katiba alikuwa magufuli na angeacha legacy kubwa sana, SEMA alikuwa hataki.
Hawa maraisi wengine hata wakitaka wanazongwa na watu
Unajua Kwa nn alikataaa coz yy pia ni mwizi wa mali za serikali na wafanyabiashara
 
kwani nini kinachokukwamisha kutoweka uringanisho wao unaokufanya useme mkurugenzi ana maslahi makubwa kuliko mbunge? Haya hebu weka maslahi ya mkurugenzi wako nikupe maslahi ya mbunge?
Hayo maslahi ya mbunge uliyotaka ni fake ,ni vile mnawaonea wivu ila hakuna kitu kama hicho...Wabunge wananufaika na mfumo tu basi ,kama mawaziri ila hawa wengine hamna kitu.

Marehemu Faustine Ndungulile alitaka kuacha ubunge ili aende kwenye nafasi ya kikanda ya WHO ,maslahi yao yako wazi kabisa na mishahara iliwekwa ...So ubunge sio kiivyo kama unavyofikiria
 
Naweza kusema katika inshu za uchaguzi mkuu, watu wakali zaidi na ambao sio wa kuchezewa ni wabunge ambao kimsingi wao hudhani Fikrani kuwa majimbo wanayoongoza ni Mali Binafsi kitu ambacho si cha kweli na mtu yeyote ambaye ataonekana kutaka jimbo hilo basi lolote limkute.

Pia katika Uwizi mkubwa wa Kura unaofanyikaga katika uchaguzi, wasuka mipango na wahusika wakubwa huwa ni Wabunge wanaomaliza vipindi vyao au ambao wanagombea, na kwa kidogo serikali ya Wilaya, na Rais mara nyingi huwa yupo mbali kwenye chain of Command hivyo interest ya wizi wa kura kwako ni kidogo. Hivyo kiuhalisia Uchaguzi ukiwa huru na wa Haki sidhani kama Rais aliyepo madarakani anaweza kushindwa bali atapata kura kwa Uchache sana, ila sasa wabunge ndo wataanguka vibaya mno, na wabunge wanalijua hilo hivyo wao huwa wanahusika na uwizi kwa asilimia kubwa.

Wabunge ambao ni mawaziri , na ambao ni washauri wakubwa wa Rais hawawezi kumshauri Rais aweke Uchaguzi huru na wa Haki kwakuwa wanajua wao ndo watakuwa wakwanza kuondolewa majimboni , kitu ambacho hawataki na hawawezi kufanya ili waendelee kuwa wabunge kwa njia hizo haramu, wabunge wa CCM waliingia kwa njia haramu hivyo hawatakubali njia hizo zitolewe mana zitawaathiri sana. Rais Hataathirika sana na atashinda japo kwa tofauti ya kura Chache. Hivyo No reform No Election na kutosaini kanuni kumehamisha vita ndani ya CCM, kuwa Ukipitishwa CCM wewe tayari ni mbunge moja kwa moja, sidhani kama CHAUMA au ACT wanaweza Tangazwa kwa Staili ya uchaguzi huu hata wakishinda

Pia kwa watu wa Karibu wa Mkurugenzi wa TANESCO aliyepata Ajali (Rest in Peace) toka kitambo alikuwa na mpango wa kugombea Jimbo la Bunda, hata kabla hajateuliwa kuchukua nafasi ya maharage chande, hivyo hatujui kama alikuwa na lengo la kugombea mwaka huu au la, lakini alikuwa na Nia ya kuchukua jimbo la Mtu. Sasa
Jamaa kafa Kifo kibaya sana.

Kombora la Ulozi alotegeshewa ni balaa.
 
Back
Top Bottom