Wabunge wana interest kubwa na Unfair election , Mkurugenzi TANESCO na Mpango wa Kugombea Jimbo la Bunda ulivyosemwa

Wabunge wana interest kubwa na Unfair election , Mkurugenzi TANESCO na Mpango wa Kugombea Jimbo la Bunda ulivyosemwa

Nimeshangaa, watu wanafikiri kuwa MD Tanesco ni jambo la kitoto sana kwa nchi kama yetu hii. Ukute hiyo LC ZX 300 ilikuwa yake wala haikuwa ya shirika. 😁
Hio ya kwake sema imesajiliwa kwa jina la kampuni ya kichina ambayo wameipa tender ili kuficha maelekezo. Ukimkagua unaona yupo clean ila chuma ni yake.
 
Mbunge hatenguliwi ila mkurugenzi wa TANESCO muda wowote analiwa kichwa
Swala sio kutenguliwa au kutotenguliwa. MD ana fursa za kupiga hela ndefu kuliko hata mbunge ndani ya muda mfupi😂
 
Watu hawalijui hili. Kuwa DG wa tanessco wewe ni kigogo haswa.

Huwezi kuwa DG afu ukagombee Ubunge huo ni ukichaa.
Ma DG wanaweza kwenda kugombea ubunge ili waje wawe mawaziri. Wakati mwingine pia swala la umri linaweza kumsukuma mtu kugombea maana DG ikifika miaka 60 unaondoka. Sasa kama mwaka 2025 nina miaka 58, nimebakiza miaka 2 ku retire kwa nini nisijaribu ubunge?
 
Washamba sana wanaodhani MD wa TwigaNesco anaweza kuwa na njaa njaa za kipumbavu. Dili tu ambazo anaweza kuwa anamegewa percent ziko kama zote. Ana deal na wasaka tenda toka kampuni kibao. Huwezi pewa dili ya billion 50 bila kuacha fungu la kumi kw mkulungwa.

Kwa maana nyingine MD wala hana haja hata ya kuhangaika na mambo ya ubunge. Hizo million 350 za miaka mitano ya ubunge kwake yeye ni deal za miezi michache tu. Na zipo zile zinafumuka wanagawana B's
Jamaa wanapiga mshindo wa maana ... Wajanja sana wana exposure nyingi...Nilisoma CV ya mkurugenzi mmoja duh, jamaa ana cheo mpaka kwenye taasisi za ukaguzi za Urusi ,katembea sana ,kwanza elimu imepnda kweli.
 
Ma DG wanaweza kwenda kugombea ubunge ili waje wawe mawaziri. Wakati mwingine pia swala la umri linaweza kumsukuma mtu kugombea maana DG ikifika miaka 60 unaondoka. Sasa kama mwaka 2025 nina miaka 58, nimebakiza miaka 2 ku retire kwa nini nisijaribu ubunge?
Umenena...Ukurugenzi pia security ya kazi ni ndogo sana ,wanaweza kutimuliwa muda wowote ule
 
Wabunge wana maslahi makubwa zaidi,pensheni tu miaka 5 ni Tsh.250mil
Sasa 250m miaka mitano wakati mkurugenzi akishiriki kusaini kupitisha tender ya billion 100 ambayo kihalisia ni billion 70 anaweza kukatiwa billion 10 kwenye kile cha juu halafu 20 akala waziri na katibu.

We vihela vya miaka mitano kwenye ubunge mwenzio deal moja anapiga hela yako ya miaka 20!
 
Jamaa wanapiga mshindo wa maana ... Wajanja sana wana exposure nyingi...Nilisoma CV ya mkurugenzi mmoja duh, jamaa ana cheo mpaka kwenye taasisi za ukaguzi za Urusi ,katembea sana ,kwanza elimu imepnda kweli.
Eeh jamaa wanakuwaga na elimu zilizonyooka sana. Yani kama amesoma vyema yeye fursa ni worldwide.
 
Mkurugenzi wa TANESCO agombanie ubunge wapi na wapi. Mbunge hanauwezo wa kumfikia kimaslahi mkurugenzi wa TANESCO.
Unafikiri wote wanaogombea ubunge wanataka hiyo mishahara ya mil. 18 kwa mwezi? Watu wanakuwa na mahesabu tofauti. Watu wanataka kunyoosha deal zao. Sio milioni hizo.
 
Eeh jamaa wanakuwaga na elimu zilizonyooka sana. Yani kama amesoma vyema yeye fursa ni worldwide.

Watu wapo "obsessed" sana na ubunge, wanaona ubunge ni jambo kubwa kuliko Ukurugenzi wa Mashirika nyeti nchini. 😁
 
Watu wapo "obsessed" sana na ubunge, wanaona ubunge ni jambo kubwa kuliko Ukurugenzi wa Mashirika nyeti nchini. 😁
Tatizo huo ukurugenzi wa hayo mashirika ni vyeo vya kiteuzi tu, kwa hisani ya anayekuteua....Leo upo kesho anateuliwa mwingine.
 
Tatizo huo ukurugenzi wa hayo mashirika ni vyeo vya kiteuzi tu, kwa hisani ya anayekuteua....Leo upo kesho anateuliwa mwingine.

Unazungumzia uhakika wa kazi au maslahi ya kazi mkuu?
 
Interest kubwa sana kuliko kipimo. Wote hawa kuanzia rais wanafanya ubunge kama uwekezaji wa kupiga hela. Kwa hiyo wananufaika na huo upuuzi. Ndio maana hawa mapumbavu yaliyoegesha upinzani kwa ajili ya matumbo yao yanaona kama yanacheleweshwa
 
Kimsingi ilitakiwa kuwepo na ukomo wa kugombea ubunge Yaani mtu ameongoza zaidi ya miaka ishirini ni dhahiri kuwa huyu analiona Jimbo hilo ni Mali yake Hadi majimbo mengine yamekuwa kama Mali ya familia Fulani alianza baba sasa kafuata kijana mwisho atafuata mjukuu
yes mwisho iwe mara mbili tu na Viti maalum owe mara moja tu
 
Ukisoma maoni ya huu uzi ndio unatambua kuwa nchi nchi inaliwa , wakurugenzi wanaila sana hii nchi aisee!
 
Nadhani hili jambo limekaa kimaslai zaidi ndio mana linakuwa gumu, much money is involved. Nadhani Kwa uthubutu Magufuli angeweza SEMA alikuwa hataki, ila katika maraisi wote ambaye angeweza kubadili katiba alikuwa magufuli na angeacha legacy kubwa sana, SEMA alikuwa hataki.
Hawa maraisi wengine hata wakitaka wanazongwa na watu

Hii katiba ni Mbaya Ukiwa Huku chini Uraiani, Lakini ukiwa Juu kiongozi kama Raisi, Ni katiba Moja nzuri saaana.

Hivyo inahitaji Uzalendo wa Juu sana, na kulilenda hili Taifa kuliko Tukukuka kwa Rais kukubali kwa hiari kufanya mabadiriko ta Katiba.

Hujiulizi kwann kikwete alileta mabadiriko ya katiba awamu ya 2. Kwa sababu alitaka hicho kikombe yeye kimuepuke, Kije kumnyinga ajae, Hata Magu lazima angesubiri Term ambayo anaondoka(Kama Angeondoka) ndo alete katiba mpya ili ije kua bottleneck kwa Ajae
 
Swala sio kutenguliwa au kutotenguliwa. MD ana fursa za kupiga hela ndefu kuliko hata mbunge ndani ya muda mfupi😂
Akiwa Mbunge na waziri wizara ya nishati huoni kama mkurugenzi ni Cha mtoto maana atakuwa boss wake? N.B akiwa Mbunge na waziri wa wizara husika.
 
Back
Top Bottom