Wabunge wana interest kubwa na Unfair election , Mkurugenzi TANESCO na Mpango wa Kugombea Jimbo la Bunda ulivyosemwa

Wabunge wana interest kubwa na Unfair election , Mkurugenzi TANESCO na Mpango wa Kugombea Jimbo la Bunda ulivyosemwa

Magufuri alibadilisha Ngazi za mishaara mwisho ni milioni 30 tu
 
Hayo maslahi ya mbunge uliyotaka ni fake ,ni vile mnawaonea wivu ila hakuna kitu kama hicho...Wabunge wananufaika na mfumo tu basi ,kama mawaziri ila hawa wengine hamna kitu.

Marehemu Faustine Ndungulile alitaka kuacha ubunge ili aende kwenye nafasi ya kikanda ya WHO ,maslahi yao yako wazi kabisa na mishahara iliwekwa ...So ubunge sio kiivyo kama unavyofikiria
wewe unaongozwa na hisia kuliko uhalisia. Kwa hiyo ndugulile ndo umechukulia mfano kama conclusion ya hoja yako? Unajua WHO wanalipwa kiasi gani? na ukurugenzi wanalipwa kiasi gani, mtu keshakuwa mbunge, naibu waziri na waziri kamili anapesa si ya kitoto alitaka aache ubunge ambapo tayari keshapiga mpunga na hataki pilikapilika ukizingatia alikuwa anajijua afya yake iko mashakani.
 
Naona haya madai ya chadema yana maana,mtu anakuwa mwenyekiti wa tume,kumbe ni kada,
Mwingine huyu hapa KAILIMA
Watu wanatokea mbali sana!.jpg
 
wewe unaongozwa na hisia kuliko uhalisia. Kwa hiyo ndugulile ndo umechukulia mfano kama conclusion ya hoja yako? Unajua WHO wanalipwa kiasi gani? na ukurugenzi wanalipwa kiasi gani, mtu keshakuwa mbunge, naibu waziri na waziri kamili anapesa si ya kitoto alitaka aache ubunge ambapo tayari keshapiga mpunga na hataki pilikapilika ukizingatia alikuwa anajijua afya yake iko mashakani.
Mishahara ya WHO iko wazi na imetolewa wala usitake kujifanya unajua landa posho na exposure..Ni ya kawaida so hawezi kufika mil 100 kwa mwez ..Wakurugenzi wa taasisi zipi ? TANESCO ni wakimya ila wana pesa ndefu ...Assume taasisi za kawaida kuna entry anakula 4.2 mil ,hii ya kawaida ana posho nyingi.
...TANESCO kuna maslahi usidanganywa dili za kutosha , biashara yao ni uhakika hata wataje hasara ujue wamezipiga pesa ...Mtu huyo ana safari za nje kutwa ufananishe na wabunge wazee wa mikopo.

Wabunge hawako hivyo toka kabisa mawazo hayo, wabunge wengi wanalinda mali na biashara zao ..Wanatumia ubunge ili kupata connection kwa sababu ubunge miaka 5 ukiingia basi uhakika mpaka unamaliza ila Wakurugenzi unaweza kutimuliwa ndani ya miezi tu.
Halafu kwa Cv ya jamaa yuko kwenye kazi nyingine kubwa tu ,yuko kwenye bodi ya ndani kabisa ,yuko sehemu nyingine kote anapiga pesa .

Mbunge nje ya mawaziri kupanda juu hana exposure ya kumzidi Mkurugenzi , Wabunge wengi hata elimu zao ni mushkeri
 
Naweza kusema katika inshu za uchaguzi mkuu, watu wakali zaidi na ambao sio wa kuchezewa ni wabunge ambao kimsingi wao hudhani Fikrani kuwa majimbo wanayoongoza ni Mali Binafsi kitu ambacho si cha kweli na mtu yeyote ambaye ataonekana kutaka jimbo hilo basi lolote limkute.

Pia katika Uwizi mkubwa wa Kura unaofanyikaga katika uchaguzi, wasuka mipango na wahusika wakubwa huwa ni Wabunge wanaomaliza vipindi vyao au ambao wanagombea, na kwa kidogo serikali ya Wilaya, na Rais mara nyingi huwa yupo mbali kwenye chain of Command hivyo interest ya wizi wa kura kwako ni kidogo. Hivyo kiuhalisia Uchaguzi ukiwa huru na wa Haki sidhani kama Rais aliyepo madarakani anaweza kushindwa bali atapata kura kwa Uchache sana, ila sasa wabunge ndo wataanguka vibaya mno, na wabunge wanalijua hilo hivyo wao huwa wanahusika na uwizi kwa asilimia kubwa.

Wabunge ambao ni mawaziri , na ambao ni washauri wakubwa wa Rais hawawezi kumshauri Rais aweke Uchaguzi huru na wa Haki kwakuwa wanajua wao ndo watakuwa wakwanza kuondolewa majimboni , kitu ambacho hawataki na hawawezi kufanya ili waendelee kuwa wabunge kwa njia hizo haramu, wabunge wa CCM waliingia kwa njia haramu hivyo hawatakubali njia hizo zitolewe mana zitawaathiri sana. Rais Hataathirika sana na atashinda japo kwa tofauti ya kura Chache. Hivyo No reform No Election na kutosaini kanuni kumehamisha vita ndani ya CCM, kuwa Ukipitishwa CCM wewe tayari ni mbunge moja kwa moja, sidhani kama CHAUMA au ACT wanaweza Tangazwa kwa Staili ya uchaguzi huu hata wakishinda

Pia kwa watu wa Karibu wa Mkurugenzi wa TANESCO aliyepata Ajali (Rest in Peace) toka kitambo alikuwa na mpango wa kugombea Jimbo la Bunda, hata kabla hajateuliwa kuchukua nafasi ya maharage chande, hivyo hatujui kama alikuwa na lengo la kugombea mwaka huu au la, lakini alikuwa na Nia ya kuchukua jimbo la Mtu. Sasa
Kama ni kweli basi. Sasa
 
nani kakwambia mbunge anazidiwa na mkurugenzi wa TANESCO kimaslahi.
mkurugenzi anadili na tanesco tu kote nchini lakini mbunge anadili na secta zote jimboni kwake. afya,elimu,ujenzi,miradi ya maendeleo nk. na huyo huyo mbunge anaweza kuwa waziri mkuu,waziri katika wizara yeyote,naibu waziri,katibu mkuu,naibu katibu mkuu, nk ubunge ni deal ndugu zangu ndo maana unaona na kusikia watu wanauana katika kipindi hiki cha uchaguzi.
Mbunge atakuwaje katibu mkuu au naibu katibu miuu, hujui hata uandikacho
 
waraka huu umfikie bwana mmoja wa kuitwa Tanganian
Nilishaandika wabunge wanalinda biashara za kwa vile mfumo wa Tz ni kwamba siasa imebwba kila mtu hata Mo dewji alishgombea ubunge so kwamba unamlipa kuliko biashara zake.

Hata unavyoona wasemaji wa timu hawana mishahara mikubwa ila wanapata dili nyingi na safari ..Kwa level ya Tanesco ,EWURA ,TPA sio wakuwachukulia poa.
 
Yaani uache Ukurugenzi wa TAAZETU ukagombee ubunge?

Labda kama alikuwa na "promise" ya kuwa Waziri. Hakuna taasisi inamianya ya kupiga pesa ndefu kama Taazetu.

Package ya MD wa TAAZETU Mbunge anasubiri mbali sana kwa mwezi. Mimi nikiwa MD TAAZETU nauchuna tuu mpaka wanitimue. 😁
Washamba sana wanaodhani MD wa TwigaNesco anaweza kuwa na njaa njaa za kipumbavu. Dili tu ambazo anaweza kuwa anamegewa percent ziko kama zote. Ana deal na wasaka tenda toka kampuni kibao. Huwezi pewa dili ya billion 50 bila kuacha fungu la kumi kw mkulungwa.

Kwa maana nyingine MD wala hana haja hata ya kuhangaika na mambo ya ubunge. Hizo million 350 za miaka mitano ya ubunge kwake yeye ni deal za miezi michache tu. Na zipo zile zinafumuka wanagawana B's
 
Watu hawalijui hili. Kuwa DG wa tanessco wewe ni kigogo haswa.

Huwezi kuwa DG afu ukagombee Ubunge huo ni ukichaa.
Jaman hebu tutoeni matongotongo mtu kama huyu mnavosema ni kigogo ilikuaje kupuyanga pk yake mda huo jaman anaejua protocol ya hv vyeo atuandikie tujifunze
 
Nadhani hili jambo limekaa kimaslai zaidi ndio mana linakuwa gumu, much money is involved. Nadhani Kwa uthubutu Magufuli angeweza SEMA alikuwa hataki, ila katika maraisi wote ambaye angeweza kubadili katiba alikuwa magufuli na angeacha legacy kubwa sana, SEMA alikuwa hataki.
Hawa maraisi wengine hata wakitaka wanazongwa na watu
Mimi naamini huyu mama kwa kutaka kusifiwa kusiko na kikomo ikiwa atashinda urais ataweka katiba mpya mezani
 
Washamba sana wanaodhani MD wa TwigaNesco anaweza kuwa na njaa njaa za kipumbavu. Dili tu ambazo anaweza kuwa anamegewa percent ziko kama zote. Ana deal na wasaka tenda toka kampuni kibao. Huwezi pewa dili ya billion 50 bila kuacha fungu la kumi kw mkulungwa.

Kwa maana nyingine MD wala hana haja hata ya kuhangaika na mambo ya ubunge. Hizo million 350 za miaka mitano ya ubunge kwake yeye ni deal za miezi michache tu. Na zipo zile zinafumuka wanagawana B's

Nimeshangaa, watu wanafikiri kuwa MD Tanesco ni jambo la kitoto sana kwa nchi kama yetu hii. Ukute hiyo LC ZX 300 ilikuwa yake wala haikuwa ya shirika. 😁
 
Back
Top Bottom