Wabunge wana interest kubwa na Unfair election , Mkurugenzi TANESCO na Mpango wa Kugombea Jimbo la Bunda ulivyosemwa

Dereva wa mkurugenzi alikua na nia ya kugombea jimbo gani maana naye kafariki? Au wabunge ndo walimwambia awe machafu?
 
Yaani uache Ukurugenzi wa TAAZETU ukagombee ubunge?

Labda kama alikuwa na "promise" ya kuwa Waziri. Hakuna taasisi inamianya ya kupiga pesa ndefu kama Taazetu.

Package ya MD wa TAAZETU Mbunge anasubiri mbali sana kwa mwezi. Mimi nikiwa MD TAAZETU nauchuna tuu mpaka wanitimue. 😁
Ndicho huwa wanawaza! Maana si wanajua uwaziri unatokana na ubunge hivyo wanafanya pata potea au kwa Kiswahili cha sasa wanabet! Maana kama uwaziri wa kuahidiwa si unaweza kupewa kwa kuteuliwa?
 
Alikuwa na wazo kitambo, kabla hajawa mkurugenzi wa TANESCO, lakini kimaslai ni kweli mbunge hamfikii. Ili huwezi jua moyo wa mtu
Kustaafu ndio kunawapelekea, kutoka Mahali kwenda Mahali pengine mfano aliye kuwa mkurugenzi wa crdb
 
Naweza kusema katika inshu za uchaguzi mkuu, watu wakali zaidi na ambao sio wa kuchezewa ni wabunge ambao kimsingi wao hudhani Fikrani kuwa majimbo wanayoongoza ni Mali Binafsi kitu ambacho si cha kweli na mtu yeyote ambaye ataonekana kutaka jimbo hilo basi lolote limkute.

Pia katika Uwizi mkubwa wa Kura unaofanyikaga katika uchaguzi, wasuka mipango na wahusika wakubwa huwa ni Wabunge wanaomaliza vipindi vyao au ambao wanagombea, na kwa kidogo serikali ya Wilaya, na Rais mara nyingi huwa yupo mbali kwenye chain of Command hivyo interest ya wizi wa kura kwako ni kidogo. Hivyo kiuhalisia Uchaguzi ukiwa huru na wa Haki sidhani kama Rais aliyepo madarakani anaweza kushindwa bali atapata kura kwa Uchache sana, ila sasa wabunge ndo wataanguka vibaya mno, na wabunge wanalijua hilo hivyo wao huwa wanahusika na uwizi kwa asilimia kubwa.

Wabunge ambao ni mawaziri , na ambao ni washauri wakubwa wa Rais hawawezi kumshauri Rais aweke Uchaguzi huru na wa Haki kwakuwa wanajua wao ndo watakuwa wakwanza kuondolewa majimboni , kitu ambacho hawataki na hawawezi kufanya ili waendelee kuwa wabunge kwa njia hizo haramu, wabunge wa CCM waliingia kwa njia haramu hivyo hawatakubali njia hizo zitolewe mana zitawaathiri sana. Rais Hataathirika sana na atashinda japo kwa tofauti ya kura Chache. Hivyo No reform No Election na kutosaini kanuni kumehamisha vita ndani ya CCM, kuwa Ukipitishwa CCM wewe tayari ni mbunge moja kwa moja, sidhani kama CHAUMA au ACT wanaweza Tangazwa kwa Staili ya uchaguzi huu hata wakishinda

Pia kwa watu wa Karibu wa Mkurugenzi wa TANESCO aliyepata Ajali (Rest in Peace) toka kitambo alikuwa na mpango wa kugombea Jimbo la Bunda, hata kabla hajateuliwa kuchukua nafasi ya maharage chande, hivyo hatujui kama alikuwa na lengo la kugombea mwaka huu au la, lakini alikuwa na Nia ya kuchukua jimbo la Mtu.
Bado rasharasha
 
Mkurugenzi wa TANESCO agombanie ubunge wapi na wapi. Mbunge hanauwezo wa kumfikia kimaslahi mkurugenzi wa TANESCO.
Ule wa kuteuliwa, aliemteua akiamka na kumtengua hana chake, ubunge ukipennya tu bungeni hakuna wa kukuondoa
 
Siasa ni utajiri kaangalieni magorifa, mahoteli, Dodoma mengi ni ya Wabunge na mawaziri mafisadi , ambayo hawataki uchaguzi huru na WA haki
 
Naweza kusema katika inshu za uchaguzi mkuu, watu wakali zaidi na ambao sio wa kuchezewa ni wabunge ambao kimsingi wao hudhani Fikrani kuwa majimbo wanayoongoza ni Mali Binafsi kitu ambacho si cha kweli na mtu yeyote ambaye ataonekana kutaka jimbo hilo basi lolote limkute.

Pia katika Uwizi mkubwa wa Kura unaofanyikaga katika uchaguzi, wasuka mipango na wahusika wakubwa huwa ni Wabunge wanaomaliza vipindi vyao au ambao wanagombea, na kwa kidogo serikali ya Wilaya, na Rais mara nyingi huwa yupo mbali kwenye chain of Command hivyo interest ya wizi wa kura kwako ni kidogo. Hivyo kiuhalisia Uchaguzi ukiwa huru na wa Haki sidhani kama Rais aliyepo madarakani anaweza kushindwa bali atapata kura kwa Uchache sana, ila sasa wabunge ndo wataanguka vibaya mno, na wabunge wanalijua hilo hivyo wao huwa wanahusika na uwizi kwa asilimia kubwa.

Wabunge ambao ni mawaziri , na ambao ni washauri wakubwa wa Rais hawawezi kumshauri Rais aweke Uchaguzi huru na wa Haki kwakuwa wanajua wao ndo watakuwa wakwanza kuondolewa majimboni , kitu ambacho hawataki na hawawezi kufanya ili waendelee kuwa wabunge kwa njia hizo haramu, wabunge wa CCM waliingia kwa njia haramu hivyo hawatakubali njia hizo zitolewe mana zitawaathiri sana. Rais Hataathirika sana na atashinda japo kwa tofauti ya kura Chache. Hivyo No reform No Election na kutosaini kanuni kumehamisha vita ndani ya CCM, kuwa Ukipitishwa CCM wewe tayari ni mbunge moja kwa moja, sidhani kama CHAUMA au ACT wanaweza Tangazwa kwa Staili ya uchaguzi huu hata wakishinda

Pia kwa watu wa Karibu wa Mkurugenzi wa TANESCO aliyepata Ajali (Rest in Peace) toka kitambo alikuwa na mpango wa kugombea Jimbo la Bunda, hata kabla hajateuliwa kuchukua nafasi ya maharage chande, hivyo hatujui kama alikuwa na lengo la kugombea mwaka huu au la, lakini alikuwa na Nia ya kuchukua jimbo la Mtu. Sasa
KAWE Jimbo lipo wazi
 
Back
Top Bottom