Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Membe amefutwa kwasababu ya kutangaza nia ya kugombea urais ila hao silinde,komu,lwax ni kukiuka maagizo ya chama,ushaona utofauti hapo?Akifutwa uanachama Membe kelele nyingii hapo ufipa lakini leo hatusikii hizo kelele, ha ha ha.
Geleja, Makamba, Nape hawakwenda Ikulu kumlamba miguguu mfaulme?Kama kuna mtu Mbowe ana mmis sana ni Zitto. Mbowe alishachoka kuwa mwenyekiti Ila hana mtu wa kumuachia chama. Yaani hana kiongozi rafiki ambaye ana mthubutu kumshauri ukweli.Chama kimejaa watu waoga mno. Hii tofauti kwa chama cha mapinduzi,wapi watu wengi ambao hawa muogopi yeyote ,CCM inafanya kazi nyingi kwa wakati mmoja ,yaani kifupi kuilinda nchi.
Ndio maana kaka yako aliuliwa huko Angola kwa sababu hamna akili nyie.Membe amefutwa kwasababu ya kutangaza nia ya kugombea urais ila hao silinde,komu,lwax ni kukiuka maagizo ya chama,ushaona utofauti hapo?
Kuna kipindi nae atalamba miguu ya wengine, japo itakuwa ndani ya chama. Kuna watu wanaweza kumwambia ukweli mwenyekiti unajua wenyeviti wa mikoa kama Mara,tabora,mwanza, Geita , nk. wanaweza kumwambia ukweli bila woga Ila chama kimem shield tu kulinda powerGeleja, Makamba, Nape hawakwenda Ikulu kumlamba miguguu mfaulme?
Chama cha kipuuzi sana. Wana laana ya dr.slaa.CHADEMA ni chama makini sana!!
Hata Mugabe alikosa mtu wa kumuachia uongozi kilichofuata kinajulikana!Kama kuna mtu Mbowe ana mmis sana ni Zitto. Mbowe alishachoka kuwa mwenyekiti Ila hana mtu wa kumuachia chama. Yaani hana kiongozi rafiki ambaye ana mthubutu kumshauri ukweli.Chama kimejaa watu waoga mno. Hii tofauti kwa chama cha mapinduzi,wapi watu wengi ambao hawa muogopi yeyote ,CCM inafanya kazi nyingi kwa wakati mmoja ,yaani kifupi kuilinda nchi.
Ni chama pekee kinachofanya maamuzi yake kwa umakini mkubwa mno.CHADEMA ni chama makini sana!!
Kama wameshafanya maamuzi sasa mbona hawajayaweka kwa gazeti la mwenyekiti wao? Au ndio mikwara mbuzi?
Punguza hasira mkuu, au ndio mlichoambiwa kuja kuzima maoni ya watu Kwa mitusi mkuuWe Bwege tu hujui maana ya media. Hivi unaishi ahera au dunia hii ya CCM? Sasa hivi Mambo ni kwa mtandao. Upo!
Serikali yenu huwa kila mara inafanyia Kazi taarifa za Mtandaoni mpaka na barua za KUGHUSHI?
Naambiwa za Ndani Jualikali Anaushawishi Mkubwa sn ndan ya chama na Nje ya Chama hagusiki hata lema amuanya balaasafi sanaaa! juakali vp