Wabunge wanne - Anthony Komu, Joseph Selasini, David Silinde na Wilfred Lwakatare wafutwa uanachama wa CHADEMA

Wabunge wanne - Anthony Komu, Joseph Selasini, David Silinde na Wilfred Lwakatare wafutwa uanachama wa CHADEMA

Akifutwa uanachama Membe kelele nyingii hapo ufipa lakini leo hatusikii hizo kelele, ha ha ha.
Membe amefutwa kwasababu ya kutangaza nia ya kugombea urais ila hao silinde,komu,lwax ni kukiuka maagizo ya chama,ushaona utofauti hapo?
 
Kama kuna mtu Mbowe ana mmis sana ni Zitto. Mbowe alishachoka kuwa mwenyekiti Ila hana mtu wa kumuachia chama. Yaani hana kiongozi rafiki ambaye ana mthubutu kumshauri ukweli.Chama kimejaa watu waoga mno. Hii tofauti kwa chama cha mapinduzi,wapi watu wengi ambao hawa muogopi yeyote ,CCM inafanya kazi nyingi kwa wakati mmoja ,yaani kifupi kuilinda nchi.
Geleja, Makamba, Nape hawakwenda Ikulu kumlamba miguguu mfaulme?
 
Geleja, Makamba, Nape hawakwenda Ikulu kumlamba miguguu mfaulme?
Kuna kipindi nae atalamba miguu ya wengine, japo itakuwa ndani ya chama. Kuna watu wanaweza kumwambia ukweli mwenyekiti unajua wenyeviti wa mikoa kama Mara,tabora,mwanza, Geita , nk. wanaweza kumwambia ukweli bila woga Ila chama kimem shield tu kulinda power
 
Kama kuna mtu Mbowe ana mmis sana ni Zitto. Mbowe alishachoka kuwa mwenyekiti Ila hana mtu wa kumuachia chama. Yaani hana kiongozi rafiki ambaye ana mthubutu kumshauri ukweli.Chama kimejaa watu waoga mno. Hii tofauti kwa chama cha mapinduzi,wapi watu wengi ambao hawa muogopi yeyote ,CCM inafanya kazi nyingi kwa wakati mmoja ,yaani kifupi kuilinda nchi.
Hata Mugabe alikosa mtu wa kumuachia uongozi kilichofuata kinajulikana!
 
CHADEMA ni chama makini sana!!
Ni chama pekee kinachofanya maamuzi yake kwa umakini mkubwa mno.

Wanaotaka kuondoka ni ruksa waondoke kwa heshima na si kwa kudharau maamuzi ya taasisi. na mbaya zaidi kuendelea kutoa maneno ya kashfa kwa viongozi..huu si uungwana tu bali ni kukosa adabu.

Wanasiasa senior kabisa hata kwa umri wao na uzoefu wao kwenye siasa kufanya mambo ya kitoto namna hiyo ni aibu kwao...Bora wafanye wanasiasa vijana 30+ mtu unaweza kuelewa..sasa wewe mtu mstaafu kabisa 65+ kufanya mambo ya aibu hivi vijana wajifunze nini toka kwako.

Sasa hao waliofutwa uanachama wabakie humo humo bungeni kwa ticket ya chama kipya cha Spika.
 
Goma likivuma Sana, mwishowe..........

Ndo kinachofuata,

Chadema Wapigweeee!!! Ni sauti ya Mch Gwajima siku akitoa mahubiri ktk moja ya kanisa lake huko Darisarama, kitachofuata ni kutojengwa kabisa mnara sababu itakuwa lugha gongana, kiongozi akisema leta tofari inaletwa misumari

Yetu macho
 
We Bwege tu hujui maana ya media. Hivi unaishi ahera au dunia hii ya CCM? Sasa hivi Mambo ni kwa mtandao. Upo!
Serikali yenu huwa kila mara inafanyia Kazi taarifa za Mtandaoni mpaka na barua za KUGHUSHI?
Punguza hasira mkuu, au ndio mlichoambiwa kuja kuzima maoni ya watu Kwa mitusi mkuu
 
Back
Top Bottom