Raja Casablanca
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 706
- 368
Kitendo cha CHADEMA kuhama kutoka kwenye chama cha wanaharakati kwenda chama dola sio kibaya ila inaonekana some tips are missing on the whole process.Chadema sasa sio ile ya kusimamia maadili, sio ile ya 'opersheni sangara', 'list of shame' na makamanda wa uhanarakati. Kipindi kile watu walikipenda chama na ideology yake...
Nilitegemea kuhamia kwenye status ya chama dola kutawafanya wawe wakomavu zaidi kisiasa ikiwemo kukubaliana na fikra tofauti juu ya maamuzi ya kamati kuu (chama).
Bado CHADEMA ina safari ndefu ya kujifunza na kukomaa zaidi kifikra na kimkakati