Tetesi: Wabunge wanne, kuhama vyama vyao

Afadhali aende tu, huwezi kuishi na kinyesi sebuleni....wakae tu na Lowasa wao.
Magufuli ameshawapa ubalozi, nawakumbusha ahadi ya kumsomesha mtoto wa Mwangosi muitimize.

Kama si uchochezi wa Padre Slaa Mwangosi angekuwa hai leo, kwahili Padre Slaa ana la kujibu siku ya mwisho mbele za Mungu.

 
JF inageuka ya hovyo kwa Kuruhusu muda wote nyuzi za hovyo hizi! Kaanza Juzi ELizabon, Lowassa kakanusha, na sasa Mpuuzi mwingine huyu hata kuandika tu hajui. JF Chukueni heshima yenu.
 
Afadhali aende tu, huwezi kuishi na kinyesi sebuleni....wakae tu na Lowasa wao.
Mafisadi unao humo humo CCM Lowasa kaiba nini? Kwani Lowasa ndiyo alinunua kivuko kibovu ndege kujenga uwanja wa ndege chato kuuza nyumba za serikali na kula chenji ya rada chenji bunge la katiba kiwanda hewa kule Lindi
 
Hujasikia Membe anajiunga na ACT?
 
Jamii forum tumeanza kupoteza maana ya jukwaa hili, watu wanazusha tu taarifa ambazo hazina ukweli, this is terrible
 
Hear say
 
Reactions: bht
Magufuli ameshawapa ubalozi, nawakumbusha ahadi ya kumsomesha mtoto wa Mwangosi muitimize.

Kama si uchochezi wa Padre Slaa Mwangosi angekuwa hai leo, kwahili Padre Slaa ana la kujibu siku ya mwisho mbele za Mungu.

View attachment 637064
Mkuu bila shaka nawe umefurahishwa na hili jembe letu Dr Slaa kupewa nafasi ili asaidie kujenga Taifa letu.!
 
Mambo mengine Muwe mnatumia akili jamani, hivi ni lini hasa Chadema ilipata kupambana na ufisadi? Mamlaka ya kuchunguza na kukamata wabadhirifu wa mali ya umma yako mikononi mwa ccm toka miaka na miaka ni lini Chadema walikuwa na mamlaka hayo?

Leo hii ili kuhakikisha kuwa ufisadi unaofanywa na viongozi wa serikali hauibuliwi hadharani wamezuia mikutano ya hadhara ya kisiasa na wamebana vyombo vya habari ulitegemea Chadema wazungumzie wapi uchafu unaofanywa na serikali?

Halafu mtu mzima unaibuka na maneno ya kitoto kuyaleta kwa watu wazima wenye akili zao kwa nini hamjipi muda wa kutosha kutafakari hizi propaganda za kijinga? Uhuru wa kujieleza katika jukwaa huru kama hili unapaswa kulitumia kwa kujenga hoja zenye mashiko na sio utoto kama vile wote huku ni wajinga, tusiharibu maana ya the home of great thinkers jamani
 
Sasa hao wanachadema asilia ndiyo huyo myika? Nilidhani una list ndefu ya hao wanachadema.asilia kumbe ni mtu mmoja!!!
 
Mnyika huyuhuyu ambaye CCM wamemfukuza bungeni kwa mwaka mmoja na wakamfukuza bungeni kama paka mwizi au kuna mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…