Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mwendo wa Kaole Sanaa Group š¤£Kinachofanyika leo ni igizo hakuna jipya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwendo wa Kaole Sanaa Group š¤£Kinachofanyika leo ni igizo hakuna jipya
Paskal, kama serikali yetu imeshindwa kusimamia na kuendeleza bandari iliyopakana na Ikulu, je inaweza kusimamia uchimbaji wa Nickel kule ngara?Wanabodi,
Leo asubuhi hii waheshimiwa wabunge wetu, wataujadili mkataba wa IGA ( Intergovernmental Agreement), na baada ya hapo ndipo HGA ( Host Government Agreement) zitaingiwa kati ya TPA na DPW baada ya IGA kupitishwa.
IGA kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya Dubai, kuruhusu kampuni ya DP World ya Dubai, kutuboreshea Bandari zetu.
Huku mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kumeisha anza kuibuka makundi sogozi yanayoleta uhayawani wa sentiments za kibaguzi, Mwarabu wa Oman anataka kumpa Bandari yetu Mwarabu wa Dubai hivyo Watanzania Wazalendo tusikubali!. Hawa ni muflis!.
Kule nyuma nilipopandisha pandisha bandiko hili Udhalimu wa Waarabu Zanzibar na Pemba: Ndugu zetu waliteswa, hasiwa, bakwa, na kuuawa kinyama nilitoa angalizo hili
Angalizo hili ni muhimu sana kwenye mjadala wa leo mule Bungeni kwetu. Tunawategemea kuwasikia waheshimiwa wabunge wetu wakitanguliza mbele maslahi ya taifa letu katika kulijadili hili la DP World. Hatutarajii kabisa kutokea mbunge mmoja yoyote muflis kuipinga DP World kwa Uarabu wao, kwa hoja za kibaguzi za Mwarabu ni Mwarabu tuu, awe ni Mwarabu wa Oman, Mwarabu wa Dubai, Mwarabu wa Arabuni, Mwarabu wa Zanzibar, Mwarabu ni Mwarabu tuu ni wale wale na mambo yao ni yale yale..., watu wa type hii ni ma hayawani!, hatutegemei kabisa uhayawani huu ukaibuka kwenye mjadala huu!.
Naendelea kusisitiza, ikitokea wewe huwezi jambo fulani, lazima utasaidiwa tuu!, utake kusaidiwa, utasaidiwa, usitake kusaidiwa, utasaidiwa!, mpaka pale utakapoweza kujisaidia! Watanzania tujifunze kujikubali kuwa kuna vitu hauwezi, na tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?
Nawatakia waheshimiwa wabunge wetu mjadala na majadiliano mema kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
Paskali
Katika hizi ngonjera na sijaskia serikali itanufaikaje kifedha. Watapata asilimia ngapi katika hio faida itokanayo na uendeshaji?
Wacha tujadili mambo ya Bandari usitupotezee lengo
Naona hujapenda mama alivyoupiga mwingi. Tuendelee:Wacha tujadili mambo ya Bandari usitupotezee lengo
Watapitisha na kisha jioni wataenda kutia kiberiti kodi zetu kwa kupongezana niko pale [emoji117][emoji117]Hamna mbunge pale, watampitisha huu upumbavu Kwa 100%
Kinachijadiliwa bungeni ni nini? Tuanzie hapo, tusidanganyane.Hamna mbunge pale, watampitisha huu upumbavu Kwa 100%
Bora iwe hivyo maana hakuna jinsi nyingineHahahahah kuna mtu atapigwa Covid19 kisha itabaki story
Wewe bibi nawe ni wakala wa shetani, huwezi divert attention yetu kitoto hivi.
2020 hakukuwa na uchaguzi. Mwendawazimu aliamua kuweka vikaragosi vya kumtengenezea utawala usio na kikomo,bahati Mungu akaingilia kati bali vimeo vyake bado vipo vinaleta usumbufuKwanini Watanzania hawaliamini Bunge lao lenye wabunge waliowachagua kwa mbwembwe nyingi 2020?
Bunge kibogoyo la majizi ya kura halina jipya. Hao watapitisha kinachotakiwa na serikali na sio kinachotakiwa na wananchi. Ifahamike hawako huko bungeni kwa kura za wananchi, bali kwa utashi wa Magufuli na serikali yake.Wanabodi,
Leo asubuhi hii waheshimiwa wabunge wetu, wataujadili mkataba wa IGA ( Intergovernmental Agreement), na baada ya hapo ndipo HGA ( Host Government Agreement) zitaingiwa kati ya TPA na DPW baada ya IGA kupitishwa.
IGA kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya Dubai, kuruhusu kampuni ya DP World ya Dubai, kutuboreshea Bandari zetu.
Huku mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kumeisha anza kuibuka makundi sogozi yanayoleta uhayawani wa sentiments za kibaguzi, Mwarabu wa Oman anataka kumpa Bandari yetu Mwarabu wa Dubai hivyo Watanzania Wazalendo tusikubali!. Hawa ni muflis!.
Kule nyuma nilipopandisha pandisha bandiko hili Udhalimu wa Waarabu Zanzibar na Pemba: Ndugu zetu waliteswa, hasiwa, bakwa, na kuuawa kinyama nilitoa angalizo hili
Angalizo hili ni muhimu sana kwenye mjadala wa leo mule Bungeni kwetu. Tunawategemea kuwasikia waheshimiwa wabunge wetu wakitanguliza mbele maslahi ya taifa letu katika kulijadili hili la DP World. Hatutarajii kabisa kutokea mbunge mmoja yoyote muflis kuipinga DP World kwa Uarabu wao, kwa hoja za kibaguzi za Mwarabu ni Mwarabu tuu, awe ni Mwarabu wa Oman, Mwarabu wa Dubai, Mwarabu wa Arabuni, Mwarabu wa Zanzibar, Mwarabu ni Mwarabu tuu ni wale wale na mambo yao ni yale yale..., watu wa type hii ni ma hayawani!, hatutegemei kabisa uhayawani huu ukaibuka kwenye mjadala huu!.
Naendelea kusisitiza, ikitokea wewe huwezi jambo fulani, lazima utasaidiwa tuu!, utake kusaidiwa, utasaidiwa, usitake kusaidiwa, utasaidiwa!, mpaka pale utakapoweza kujisaidia! Watanzania tujifunze kujikubali kuwa kuna vitu hauwezi, na tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?
Naw ftatakia waheshimiwa wabunge wetu mjadala na majadiliano mema kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
Paskali