Dr Ismaily
JF-Expert Member
- Dec 24, 2016
- 289
- 552
Kama hamkupata enzi ya mkwere ndio basi tena ; aliwaambia nyie wakwere wenzie na Watu wa Pwani "TUMIENI FURSA NINGALI MADARAKANI NIKIONDOKA MTAKUJA JUTA"
Hapa hapa mkuu, mwaga madini.Nasisi wakinga tunakomenti wapi
HeheheHellow africa
Wachaga mnatutia hasira sana hapa mjini inamaana sisi wengine hatujui kutafuta hela? Hapa mjini wachaga mna mandinga makali sana yaani ukijaribu kuuliza ili ili gari la mdosi gani unaambiwa mchaga huyo wa marangu 🙄🙄🙄
Nilikuwa moshi kipindi mwezi wa kumi na mbili magari yalikuwa mengi sana af magar ya hela nyingi
Hellow africa
Wachaga mnatutia hasira sana hapa mjini inamaana sisi wengine hatujui kutafuta hela? Hapa mjini wachaga mna mandinga makali sana yaani ukijaribu kuuliza ili ili gari la mdosi gani unaambiwa mchaga huyo wa marangu 🙄🙄🙄
Nilikuwa moshi kipindi mwezi wa kumi na mbili magari yalikuwa mengi sana af magar ya hela nyingi
SawaUtajuaje na wewe huwafahamu wachagga! Ni mchagga mwenyewe ndie anaweza kufahamu mtu asiye mchagga.
1.Tafuta orodha ya walifutwa kazi kwa sbb ya vyeti fekiWaforge vyeti wakati Wana shule kibao?
Wanaomini ushirikina ni maskini always.
Wanamwibia yupi ambaye ana Mali kuzidi wao? Au wanadhulimu akina nani ambao hawendi kuwashtaki
Hamna mimi nimemjibu tu...anatakiwa aseme mtu atatamani kwa kipi kwa mfano?[emoji23] hebu mjibie basiHhaha dooh hii ndio ile wanayoita povu ruksa
Nasisi wakinga tunakomenti wapi
Hahahah nao hata hawakanushi wanakubali tu[emoji23]Je kwanini wapare nao wanaitwa wachagga! wapare kwasababu sio waongeaji watu wengi wanafikiri ni wa chagga. Hata Nandy na Lulu watu wanawaita wachagga wakati wote ni wa pare.
Siwezi kumjibia, maana mimi ni mchaga na ninajivunia kuwa mchagga, sijawahi kutamani kuwa kabila jingine, na kila ninapoenda najiona nipo top sitishwi yaaniHamna mimi nimemjibu tu...anatakiwa aseme mtu atatamani kwa kipi kwa mfano?[emoji23] hebu mjibie basi
Ahahaha mimi sitaki ugomv na wachagaHehehe
Nikiwaza amri ya mahakama kwa jamaa wakapimwe circumference ya spika za tumbo nacheeeka kweli kweli.
Yaani una utani na wachaga na hawajakustukia
Umejibu vema. Mimi siyo Mchaga na sitamani kuwa Mchaga wala kabila lingine lolote. Na kila nilipo nakuwa nyota na icon. Hao wanaotamani makabila ya watu ni wajinga mno na waombewe sana aiseeSiwezi kumjibia, maana mimi ni mchaga na ninajivunia kuwa mchagga, sijawahi kutamani kuwa kabila jingine, na kila ninapoenda najiona nipo top sitishwi yaani
Sijui kama nimeshamjibia au bado[emoji28][emoji28][emoji28]
Nandi kwao si pale nyuma ya kisangara jina limenitokaJe kwanini wapare nao wanaitwa wachagga! wapare kwasababu sio waongeaji watu wengi wanafikiri ni wa chagga. Hata Nandy na Lulu watu wanawaita wachagga wakati wote ni wa pare.
Na Kevin wakeNoeli Mushi asitoe mbinu, mbinu zake akae nazo mwenyewe
Ila kila mtu anapenda kabila lake kiuhalisia kutokana mazoea yake kwa kweli sehemu niliyokaa sana wachaga wahusishwa na mambo ya hovyo basi hawana raha japo wapo wema wengi ila wasichana ndo wanachekwa kabisa 😂😂..Umejibu vema. Mimi siyo Mchaga na sitamani kuwa Mchaga wala kabila lingine lolote. Na kila nilipo nakuwa nyota na icon. Hao wanaotamani makabila ya watu ni wajinga mno na waombewe sana aisee
Na kevin ni mangi? Basi wachaga wanaupiga mwingi....Na Kevin wake
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Lolote linalosemwa na wazee kwa kusisitizwa, si la kupuuzwa. Huenda ni kweli wana mambo meusi (opportunists wa mali).Ila kila mtu anapenda kabila lake kiuhalisia kutokana mazoea yake kwa kweli sehemu niliyokaa sana wachaga wahusishwa na mambo ya hovyo basi hawana raha japo wapo wema wengi ila wasichana ndo wanachekwa kabisa [emoji23][emoji23]..
Unaweza kusikia mtu "anasema usioe yule mchaga " sometime najiuliza sababu ni nn ?
Ahahaha mimi sitaki ugomv na wachaga