Leonardo Harold
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 1,088
- 2,122
so funny, we jamaa penalt ni sehemu ya mchezo, timu nzuri ni pamoja na uwezo wa kufunga penalt na kudaka penalt, magoli hufungwa kutokana na makosa as the game goes, wala hakuna ajabu kufunga na yakarudi, basi wangefungwa kama ni dhaifu, umetoa hoja dhaifu kama si mtu wa mpira!, af nkukumbushe kwa zaid ya dk 70 argentina walitawala mchezo sio mbape wala yeyote aliyeonekana, grizman, dembele na giroud mliokuwa mnawategemea wote walifichwa vibaya, huwez kuwa timu ya kawaida uwapoteze france kiasi hcho, kosa tu la kocha ilikuwa kumtoa di maria, hapo ndo mbape akafufuka, vinginevyo kazi ilikuwa inaisha 2-0 , lakini mpira ni dk 90 au 120 na kila timu hupambana ila mwenye uwezo ndo aliyebeba kombe.. kuliwa ni kuliwa tu hakuna kuliwa kwa mbindeπ€£Ishu sio kafungwa na muarabu
The case is mmebeba kombe ila nyie sio timu bora , kama mngekua timu bora magoli yasingekua yanarudishwa mercilessly
Angalia mlivocheza na uholanzi, any team winning thru penalties isn't a BIG TEAM
Ova
Na log off
π€£π€£