Wachambuzi "Bingwa wa Kombe la Dunia Argentina aliandaliwa Mapema na Makusudi Kabisa ili Messi Ashinde"

Wachambuzi "Bingwa wa Kombe la Dunia Argentina aliandaliwa Mapema na Makusudi Kabisa ili Messi Ashinde"

Ishu sio kafungwa na muarabu

The case is mmebeba kombe ila nyie sio timu bora , kama mngekua timu bora magoli yasingekua yanarudishwa mercilessly

Angalia mlivocheza na uholanzi, any team winning thru penalties isn't a BIG TEAM

Ova

Na log off
so funny, we jamaa penalt ni sehemu ya mchezo, timu nzuri ni pamoja na uwezo wa kufunga penalt na kudaka penalt, magoli hufungwa kutokana na makosa as the game goes, wala hakuna ajabu kufunga na yakarudi, basi wangefungwa kama ni dhaifu, umetoa hoja dhaifu kama si mtu wa mpira!, af nkukumbushe kwa zaid ya dk 70 argentina walitawala mchezo sio mbape wala yeyote aliyeonekana, grizman, dembele na giroud mliokuwa mnawategemea wote walifichwa vibaya, huwez kuwa timu ya kawaida uwapoteze france kiasi hcho, kosa tu la kocha ilikuwa kumtoa di maria, hapo ndo mbape akafufuka, vinginevyo kazi ilikuwa inaisha 2-0 , lakini mpira ni dk 90 au 120 na kila timu hupambana ila mwenye uwezo ndo aliyebeba kombe.. kuliwa ni kuliwa tu hakuna kuliwa kwa mbinde🤣
🤣🤣
 
Taja timu bora!! ,ila usitaje vitoto vya mwaka 99 sijui kilinda mbappe.
Timu bora

i) France
Ii)Netherland
Iii) croatia
Iii) Brazil
Iv) Morrocco na

sAUD ARABIA 😄😄😄😄 njoo unipige nimekaa palee
 
Poa mkuu kajibambe basi
 
Timu bora

i) France
Ii)Netherland
Iii) croatia
Iii) Brazil
Iv) Morrocco na

sAUD ARABIA 😄😄😄😄 njoo unipige nimekaa palee
Haa Upo Central Hapo Kwa Jumanne Muliro
 
Dk 72 France haina shoot on target hata 1. Mara zote ilikuwa ikitoka nyuma kusawazisha...tena penati 2 ni ishara ya France kuzidiwa.
 
so funny, we jamaa penalt ni sehemu ya mchezo, timu nzuri ni pamoja na uwezo wa kufunga penalt na kudaka penalt, magoli hufungwa kutokana na makosa as the game goes, wala hakuna ajabu kufunga na yakarudi, basi wangefungwa kama ni dhaifu, umetoa hoja dhaifu kama si mtu wa mpira!, af nkukumbushe kwa zaid ya dk 70 argentina walitawala mchezo sio mbape wala yeyote aliyeonekana, grizman, dembele na giroud mliokuwa mnawategemea wote walifichwa vibaya, huwez kuwa timu ya kawaida uwapoteze france kiasi hcho, kosa tu la kocha ilikuwa kumtoa di maria, hapo ndo mbape akafufuka, vinginevyo kazi ilikuwa inaisha 2-0 , lakini mpira ni dk 90 au 120 na kila timu hupambana ila mwenye uwezo ndo aliyebeba kombe.. kuliwa ni kuliwa tu hakuna kuliwa kwa mbinde[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787]
Di Maria kumtoa bonge la kosa.
 
Nyie mmeleweshwa na safari ya Penaldo kubeboa papai badala ya kombe[emoji38][emoji38]

1. Wakati Argentina inafungwa na Saudi Arabia kwa nini hamkusema wanabebwa, mbwa nyie?

2. Wakati Argentina wanafunga goli mbili na zote zinarudishwa na Nertherlands kwa nini hamkusema Argentina wanabebwa, mbwa nyie?

3. Wakati timu nzima ya Argentina inapigwa kadi na za njano na refa, kwa nini hamkusema wanabebwa, mbwa nyie?

4. Wakati kipa wa Argentina Martinez anadaka na kutoa penalty zenu hao FIFA ndo waliingia golini kudaka? Au ndo walipindisha miguu ya wachezaji wenu, mbwa nyie?

5. Wakati Argentina wanafika fainali timu nyingine zilikuwa wapi? Kwa nini fainali isingekuwa kati ya France na Portugal?

Kuna wakati unaweza sema watu ni was.e.nge sana. Tujufunze ku appreciate juhhdi za watu.
Mashabiki wa Ronaldo hawana akili bro, nakazia hawana akili.
Sasa mtu kabebwaje, alaf aliyeongea ni Muafrika yaani hii ngozi nyeusi.
 
Team ronaldo wiki hii yote mtaweweseka sana ndotoni
 
Ila washabiki wa Ronaldo no wasengerema Sana mna wivu kama mmeolewa nyumba ndogo!! Hamna facts hata kidogo

Ile mbuzi yenu mfanye mkaichinje mpate faida inaweza kuwa na msongo wa mawazo
 
Timu bora

i) France
Ii)Netherland
Iii) croatia
Iii) Brazil
Iv) Morrocco na

sAUD ARABIA [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] njoo unipige nimekaa palee
Bingwa ni nani?
 
Sawa Kwahiyo Mbeleko Zipo

Ila Kawa Bingwa Wa Mchongoma
Kolo mwanani alizuiwa kufunga ndo ikawa mbeleko[emoji38]
IMG_20221218_230228.jpg
 
Back
Top Bottom