Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Wewe ni mshabiki wa simba umefurahia ushindi kwamwe huwezi kubali hatakama madhaifu na hii tabia iko hadi kwa mashabiki wa YangaMara ya mwisho mlifunga lini tukaongea?
Haya chomoa mwiko huko nyuma na zile shanga zako za shirikishoMi ni simba ila tumebebwa ukweli usemwe.
Sasa mkuu, kwani leo Simba imeurudisha mpira wetu nyuma au imeupeleka mbele?Wewe ni mshabiki wa simba umefurahia ushindi kwamwe huwezi kubali hatakama madhaifu na hii tabia iko hadi kwa mashabiki wa Yanga
Na kinachorudisha mpira wetu nyuma ni ile hali ya unafki kwa sababu jambo limefanya timu yake hawezi ongea utasifia
Kuna watu wanashangaza sana Tsh. Wamefungwa waarabu lakini wao watanzania wanaumia
KawasaidieWaarabu walipambana Sana na walistahili kupata Alama ila Refa alikua mwiba mkali dhidi Yao.
Kama timu Yako ipo ugenini na refa anachezesha kwa namna ya Leo mpira ulivyo chezeshwa uta nung'unika na utatukana Kila aina ya tusi na hutakua na lakufanya.
Wale ni utopolo Simba wameshinda kwanini wafanye fujoSimba wapumbavu wanawarushia mashabiki viti kisa nini
Wakiongelea ndio itabadilika iwe moja moja,,utopolo mshaanza kuwa wehuHapa ndipo naposhaangaa hawa wachambuzi yaani ni kama hiyo kasoro hawajaiona.
Yaani hao saa ya kocha hawaioni japo Camera inaionyesha vizuri?
Wachawi wa nyuma mwiko waliacha kushikilia map.u.mbu wakijua mchezo umekwisha!Hapa ndipo naposhaangaa hawa wachambuzi yaani ni kama hiyo kasoro hawajaiona.
Yaani hao saa ya kocha hawaioni japo Camera inaionyesha vizuri?
Waarabu wa twiga na jangwani mmetukana sana na kuumia kwa kiwango cha sgrWaarabu walipambana Sana na walistahili kupata Alama ila Refa alikua mwiba mkali dhidi Yao.
Kama timu Yako ipo ugenini na refa anachezesha kwa namna ya Leo mpira ulivyo chezeshwa uta nung'unika na utatukana Kila aina ya tusi na hutakua na lakufanya.
Wanaume hairuhusiwi kusidia kombe la kina Mama.Kawasaidie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hueleweki kama sigara nyotaSimba wapumbavu wanawarushia mashabiki viti kisa nini
Achana na huyo dunga dunga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizi ni nongwa za wazi kabisa ndugu yangu
Muda uliongeza kipa wa CS Sfaxien akiwa amelala huoni kama refa alikua anafidia dakika zilizopotea?
Ingekua wewe ndo refarii wa mechi kama ile ambayo wachezaji wanajilaza ungefanyeje?