Wachambuzi mbona hawaongelei suala la muda ambao goli limefungwa?

Wachambuzi mbona hawaongelei suala la muda ambao goli limefungwa?

Imekuuma sana Uchomoe Mpini au utaendelea kuugulia
FB_IMG_17342946276533615.jpg
FB_IMG_17342951939935107.jpg
 
Sikuangalia mechi ya Wydad. Tunaweza kustick kwenye mada husika kama hutojali?

Unaweza kunitajia matukio ya mpira kusimama ndani ya dakika saba za nyongeza?
Hapa mkuu kinachowapigisha kelele ni hizo sekunde thelathini na sita?
 
Haya semeni tena
 

Attachments

  • Snapchat-1252032019.jpg
    Snapchat-1252032019.jpg
    1.4 MB · Views: 2
Dakika za nyongeza azinaga nyongeza Babu,,dakika zilishakwisha za kawaida na nyongeza sasa zile nyingine alitaka kitu Gani!
Mpira hauishi hadi red amalize

Tulieni ipenye
 
Kuna Sheria ya dakika za nyongeza UEFA waliitumia kwenye michuana ya mataifa ya ulaya ile Sheria nzuri sana inawafaa sana hawa waarabu wapumbavu ambao wamebobea kwenye kupoteza muda na kuharibu ladha ya mpira .
 
Hapa ndipo naposhaangaa hawa wachambuzi yaani ni kama hiyo kasoro hawajaiona.

Yaani hao saa ya kocha hawaioni japo Camera inaionyesha vizuri?
Kuhusu dakika za nyongeza, nimeambiwa sheria na kanuni zimeboreshwa ukipoteza muda ule wa nyongeza refa anasimamisha saa aliyo nayo kwaajili ya mchezo husika, wewe ukitegemea unapoteza muda, wapinzani watakupelekea moto unashanga goooo! Na mpira unaisha
 
Hapa ndipo naposhaangaa hawa wachambuzi yaani ni kama hiyo kasoro hawajaiona.

Yaani hao saa ya kocha hawaioni japo Camera inaionyesha vizuri?
 

Attachments

  • a80b55ab-5d57-488b-8f8f-338755265c29.jpeg
    a80b55ab-5d57-488b-8f8f-338755265c29.jpeg
    68.8 KB · Views: 3
View attachment 3177811
Mnaojua kiinglishi someni hapa. Nimekopi tu na kuiweka hapa.
Mechi tumeiona ilivyo chezeshwa huitaji ufafanuzi wowote kujua Refa alichezesha kwa upendeleo katika matukio mengi Sana.

Mambo ya muda kuongezwa na Goli kufungwa nje ya muda ni muendelezo wa uchezeshaji Chini ya viwango.

Chem alone alistahili Red ila Refa kama hajui anacho Fanya.

Refa alistahili kufanyiwa Yale mambo kwakua aliyatengeneza mwenyewe.
Uwezi kuuza utu wako kama Refa kwa kuhongwa Dola 200.

Simba watafutiwe uwanja usio na viti wacheze mechi zao wanalitia Taifa hasara.
 
Goli lilifungwa nje ya muda?
Ndio makosa ya kibinadamu uko shirikisho makosa ya kibinadamu yanaruhusiwa.
Ni kama Ndondo cup ndio maana mechi Ina kwisha refa anashindiliwa Magumi na mateke na viti kung'olewa.
 
Hapa ndipo naposhaangaa hawa wachambuzi yaani ni kama hiyo kasoro hawajaiona.

Yaani hao saa ya kocha hawaioni japo Camera inaionyesha vizuri?
Soma LAW 7 ya soccer, hautahangaika tena na dakika za nyongeza

1734331891639.png


1734332096586.png
 
Back
Top Bottom