Wachambuzi mbona hawaongelei suala la muda ambao goli limefungwa?

Wachambuzi mbona hawaongelei suala la muda ambao goli limefungwa?

Mi yanga bhan,acha mtani ashinde,refa ndo muamuzi anajua kwanini aliacha mpira uendelee. kibudenga safi kbs....nachukia unafiki....yanga tulishinda mfululizo misimu kadhaa,mashabiki WA Simba walikua wanongea upumbavu sn,mara mmecheza na timu mbovu,mara gsm anafadhili huyo mpinzani wenu,nilijua ni mashabiki wapumbavu TU ila moyoni waliujua ukweli/uhalisia. Nilijua hivo na nyie mnajua mlikua mnazuga maumivu kwa kujidanganya nafsi zenu....Leo tunafanya vby coz ya fatique...na Simba wanashinda acha washinde tupate akili. Safi Simba safi kibudee👏👏👏👏👏👏
 
Hapa ndipo naposhaangaa hawa wachambuzi yaani ni kama hiyo kasoro hawajaiona.

Yaani hao saa ya kocha hawaioni japo Camera inaionyesha vizuri?
aggysimbasportsclub-20241215-0001.jpg
Screenshot_20241215-215108.png
 
Hapa ndipo naposhaangaa hawa wachambuzi yaani ni kama hiyo kasoro hawajaiona.

Yaani hao saa ya kocha hawaioni japo Camera inaionyesha vizuri?
Huko nyuma mwiko hamjui kanuni za mpira, hizo dakika ni fidia ya utoto walioufanya hao CS Sfaxien

Ona hii mechi ya leo pia
 
Attachments

  • 20241215_205724.jpg
    20241215_205724.jpg
    467.5 KB · Views: 2
Hapa ndipo naposhaangaa hawa wachambuzi yaani ni kama hiyo kasoro hawajaiona.

Yaani hao saa ya kocha hawaioni japo Camera inaionyesha vizuri?
Hamna kasoro hapo acha upumbavu
Mkitaka muendelee kulala na next game afu tutawafundisha saivi ni vitendo tuuh hakuna kuwa hoji
 
Dakika za nyongeza azinaga nyongeza Babu,,dakika zilishakwisha za kawaida na nyongeza sasa zile nyingine alitaka kitu Gani!
Kwa akili hizi ukiambiwa hujui mpira utasema umeonewa? Hapo Yanga dk zake za nyongeza hazikuwa na nyongeza?
 
Attachments

  • aggysimbasportsclub-20241215-0001.jpg
    aggysimbasportsclub-20241215-0001.jpg
    71.1 KB · Views: 2
Mpira ni mchezo wa malengo. Kuna upande utahitaji dakika nyingi na kuna upande utahitaji dakika chache.

Wale jamaa ni kweli walikuwa wanapoteza muda na ndio maana zikaomgezwa dakika saba
. Ndani ya dakika saba za nyongeza hawajapoteza muda kabisa, nafikiri refa ameamua tu kuwakomoa.
Hata dakika za kawaida hawakujiangusha sana! Refa hajafanya fair
 
Hizo dk zilikuwa za Simba tu? Wengine waliambiwa waacheni Simba wacheze mfungwe.
Halafu wako wanapigia kelele sekunde thelathini na sita mkuu maana goli limefungwa dakika saba na sekunde hizo
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hapa ndipo naposhaangaa hawa wachambuzi yaani ni kama hiyo kasoro hawajaiona.

Yaani hao saa ya kocha hawaioni japo Camera inaionyesha vizuri?
Hivi Mod.wa zamu nawe umevurugwa na ushindi wa Simba au! Thread kama hii una cha hewani ya nini!?
 
Hata dakika za kawaida hawakujiangusha sana! Refa hajafanya fair
Ni kweli mkuu. Furaha ya ushindi inafanya wasigundue makosa ya refa.

Uzuri kuimba kupokezana, kuna siku kibao kitageuka zitafululiza nyuzi hapa.
 
Dakika za nyongeza azinaga nyongeza Babu,,dakika zilishakwisha za kawaida na nyongeza sasa zile nyingine alitaka kitu Gani!
Kajifunze sheria za mpira vizuri kwa hiyo dakika zikiongezwa kipa akalala tibiwa dakika zaishia hapo
 
Ni kweli mkuu. Furaha ya ushindi inafanya wasigundue makosa ya refa.

Uzuri kuimba kupokezana, kuna siku kibao kitageuka zitafululiza nyuzi hapa.
Hivi mnakumbuka kama widady walimfunga simba dakika ya tisini na tano wakati ziliongezwa nne?
 
Hivi mnakumbuka kama widady walimfunga simba dakika ya tisini na tano wakati ziliongezwa nne?
Sikuangalia mechi ya Wydad. Tunaweza kustick kwenye mada husika kama hutojali?

Unaweza kunitajia matukio ya mpira kusimama ndani ya dakika saba za nyongeza?
 
Back
Top Bottom