Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,729
- 10,500
Maneno tote ulivyoandika hapo yametoholewa.Lete la kiingereza lisilo na kiswahili chake ama lisilotoholeka. Goli (Goal) Golikipa (Gaolkeeper) Kona (Conner) Jezi (Jesey). Kama hayo yaliwezekana, hayo mengine inashindikana vipi?
Twende hili half space yup kiswahili chake.
Wachambuzi wanasaidia kuongeza msamiati wa kiingereza kwa jamii. Jambo ambalo shule haikumaliza kutupa msamiati kutokana na muktadha haukuwa kimichezo