Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
-
- #61
kama hatujui Kiingereza tungetoa tafsiri yake!!?Jifunzeni lugha ya kingereza sio mnaishi kwa kulalamika hata kwa Mambo Madogo
Siyo kweli. Ni kasumba tu kuonesha kwamba Kiingereza ndiyo utaalamu, kiingereza ni Lugha tu sawa na Kisambaa.Kiswahili hakitoshi kuelezea mambo mengi na ujumbe uliokusudiwa ukafika bila walakini.., tujifunze kiingereza wakuu
Aaaah , Mkuu wachambuzi wetu wakiongea hivyo ndo wanajiona wameongea sahihi 😁kama hatujui Kiingereza tungetoa tafsiri yake!!?
Au wewe unadhani Kiingereza ni Lugha ya mungu kwa ivo ili uijue ni lazima uwe malaika au mtakatifu??
Wawe na sababu za msingi kuchanganya Lugha. Wenzao kina Charles Hilary, Ahmed Kipozi au Sued Mwinyi walikuwa watangazaji mahiri na maarufu bila ya kuchanganya Lugha kishamba kishamba.Aaaah , Mkuu wachambuzi wetu wakiongea hivyo ndo wanajiona wameongea sahihi 😁
Mkuu kiswahili hakitoshi na ni kirefu, mfano haya maneno Good,better and Best ni rahisi zaid kuyatumia kufanya ulinganifu kuliko kiswahiliSiyo kweli. Ni kasumba tu kuonesha kwamba Kiingereza ndiyo utaalamu, kiingereza ni Lugha tu sawa na Kisambaa.