Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je mchawi mwenzao hawezi kuwapelekea huko jera,
je hawawezi kuvificha wakati wa kukaguliwa visionekane ili baadae wavitumie kutoroka wakiwa jera
Duu wewe sio tu magereza hata bank huibi kichawi labda uje na mi smg....mmwage midamu
Salaam wakuu, leo naomba kujua kuhusu wachawi, je kwa nini huwa wanashindwa kutoka gerezani kama wakifungwa? Kwa nini hata wasijigeuze mende au mjusi ili watoke? Au ndio tuseme uchawi una sehemu zake za kuufanyia na sio popote?
mkuu dadavua kidogo basiUchawi wa namna hiyo upo sana tu kinachowashinda wengi ni masharti unamkumbuka Osale Otango wa Tanga? Alikuwa hafungiki wala hakamatiki
Uchawi wa namna hiyo upo sana tu kinachowashinda wengi ni masharti unamkumbuka Osale Otango wa Tanga? Alikuwa hafungiki wala hakamatiki
mkuu dadavua kidogo basi
tuambie kuhusu Osale Otango.
Nimekutana na wawili walioweza kutoka gerezani kwa nguvu za kichawi.
Mmoja alifungwa kama leo, kesho yake asubuhi askari wakakuta kinyesi mbele ya mlango huku kufuri zito bado lipo mlangoni, walipofungua wakauliza, ni nani kanya mbele ya mlango na huku ulikuwa umefungwa, jamaa akajibu ni yeye. Akaulizwa alitokaje mpaka akaenda kunya kwa nje akajibu "niliamka usiku nikajikuta tu nimetoka nje ya gereza na kujisaidia kisha nikarudi ndani tena"
Siku hiyo hiyo akaachiwa huru asitoroshe wafungwa wengine. Alipoachiwa alienda kituo cha polisi na gunia la nyoka kulipiza kisasi kwa waliomkamata...ilikuwa patashika